PaschalSam1

16.2K posts

PaschalSam1 banner
PaschalSam1

PaschalSam1

@P_simpleman95

A good heart atract blessing. ||SimbaSCTanzania & ManUtd ||

kuala lupmur Katılım Kasım 2025
6.1K Takip Edilen2K Takipçiler
Sabitlenmiş Tweet
PaschalSam1
PaschalSam1@P_simpleman95·
Usimdharau aliyechelewa anaweza kuja na ulichokisahau.📌
हिन्दी
14
136
584
12.2K
I AM
I AM@francismtey·
Nachukia Kukwambia - Hichi Ninachokwambia, Lakini... Ngoja nitapike Nyongo. ▻ Amani Inakuja Pale Unapokubaliana Na Kila Kinachoendelea Ndani Na Nje Yako. ... FRANCIS | ABRACADABRA
Indonesia
1
1
3
221
Eng Msaki
Eng Msaki@Aloycemsaki·
@jwise017 Kope bandi Kucha bandia Nywele bandia Sura bandia Makalio bandia Hizi kenge yaani basi tu yaani ila ni🚮🚮
Indonesia
2
1
1
166
NYANI MZEE
NYANI MZEE@jwise017·
Sijui nani aliwadanganya hawa kenge kwamba wakibandika kope wanapendeza 🚮🚮🚮😂
Indonesia
14
14
155
15.1K
PaschalSam1 retweetledi
Lubasha Jr
Lubasha Jr@MarekaMalili·
Usihangaike kutafuta usafiri. Fungua Twende Ride, rekwesti safari na dereva anakufuata ulipo. Rahisi, salama na nafuu. #TwendePamoja @twenderide
Lubasha Jr tweet media
Indonesia
1
8
9
458
The brand wiz
The brand wiz@miracleboytz·
Kila kitu kinawezekana ✓. Stop doubting yourself. 2026 is definitely the year of doing GREATNESS.
English
3
0
14
226
The brand wiz
The brand wiz@miracleboytz·
Kila nikiangalia creators wanaofanikiwa sana kuna kitu kimoja wanafanana. Wana message iliyo wazi. Ukijaribu kuongea na kila mtu hakuna anae sikiliza. Chagua idea moja komaa nayo back and forth mpaka ikupe matokeo makubwa.
Filipino
1
1
17
208
ЄƦ30
ЄƦ30@ercurry_·
Binadamu wema bado wapo.
Filipino
18
19
112
6K
RaHeeM
RaHeeM@Cowwbama·
Lubasha kumbe anaamka sa11 alfajiri anatuma pesa za birthday😆 Ndio tatizo la kua na urafiki na kidari
RaHeeM tweet media
Filipino
7
4
66
2.3K
PaschalSam1 retweetledi
IAmHaule
IAmHaule@IAmHaule·
Rafiki yangu alinialika kwenye birthday ya baba yake. Nilidhani ni sherehe ya kawaida. Kumbe wageni waliokuwa pale walibadilisha kabisa namna ninavyoona mafanikio.
Filipino
2
8
15
538
Lubasha Jr
Lubasha Jr@MarekaMalili·
Kuna milango ni ya kuvuta na kuna milango ni ya kusukuma, na haijaandikwa, bila wenyeji utasukuma sana mlango wa kuvuta.
Filipino
8
32
160
2.8K
BAD NUMBER🥷🏿
BAD NUMBER🥷🏿@ByCardoJason·
@P_simpleman95 Mimi nikiwa ugenini ili nisionyeshe tabaka ni either wao huomba au laah. Mimi kabla sijatia mkono huwa nasema “bila shaka chakula kishaombewa toka kikiwa jikoni” Wakisema ndiyo (hao hawana tamaduni ya kuombea) so nitaanza kumega tu, wakisema tuombe basi nami nitawafuatisha.
Filipino
2
1
14
452
PaschalSam1
PaschalSam1@P_simpleman95·
Unaenda ugenini Wanatenga chakula, Ile umefinya tonge unaskia wanasema "tuombe". Aibu ya hapa ..😂🙌
Filipino
16
23
58
1.1K
John kalage 🇹🇿
John kalage 🇹🇿@kalage_jr·
Ligi inaanza lini.? naona kuna watu wameanza kunenepa
John kalage 🇹🇿 tweet media
Filipino
2
2
88
1.4K