BestHope
3.1K posts

BestHope
@BestH0PE
Database analyst , IT advisory, Database Developer, Payroll System developer, HR&bio-metric system expert, #ManUnitedfan.
Beigetreten Şubat 2020
1.9K Folgt1.6K Follower

@zoetjesheeftX Alimuuzia - mashahidi wa mnunuaji alishawahi kuwatafuta?
Indonesia

Kuna Mwanamama Wakamo tu ananiambia mwaka 2012 aliwahi kumuuzia eneo Kijana mmoja, kijana huyo akajenga nyumba kubwa tu Katika eneo Hilo (nyumba inayoonekana pichani) na wakati Wote akiwa anajenga vifaa na material alikuwa anaacha Kwa mama huyo ALIYEMUUZIA eneo.
Mama anasema Jamaa akajenga Hadi ikabaki kufikia finishing tu, akamuaga mama na kumwachia funguo ili awe anamsaidia kumwagilia Maji baadhi ya sehemu Ambazo mafundi walijenga.
Mama anasema Tangu alipomwachia Funguo hizo Mwezi June 2013 Jamaa hajawahi kurudi Tena pale Hadi Leo. mama amebaki anajiuliza tu Jamaa Yuko wapi, mama Hamjui NDUGU hata mmoja WA Jamaa na Jamaa hajawahi kupatikana hata kwenye simu.
Hadi imefuka mahali mama anataka kumalizia nyumba Ile lakini anaogopa, Mama analima Lile eneo na hajui kama Jamaa yupo au la!!
Binafsi nimemshauri mama amalizie mjengo tu, Maana Chakuokota si chakuiba, Au ninyi mnaonaje wakuu!!

Indonesia

@MarekaMalili @nuzulack @NuktaAfrica Imagine Hakuna 'legal' way ya kupokea malipo mtandaoni, unapata gig remote job ili upokee malipo hadi janjajanja za kuwa na account za kufunguliwa na watu. Unafanya kazi, jina la akaunti Lubasha, akaunti ya kulipwa Mareka, mwisho unaonekana mlugaluga tuu dili hupewi tena.
Filipino

Internet inapaswa kuwa huduma ya msingi, lakini kodi na ada nyingi zinaifanya iwe ghali kwa wananchi- - @nuzulack mkurugenzi wa @NuktaAfrica
#AITF2026
Indonesia

@NightSkyToday It's useless what is there extra outside the void, just the same thing
English

@Sisimizi3 Kwa hiyo unadhani hizo studio zote unazoziona zimejengwa na zipo pale ndani?

@Budda2016 @visidady @OleMtetezi Hakuna watakachopoteza kwa sasa thamani ya kile walichonacho inabaki vilevile, kinachobadilika ni idadi tuu.
Filipino

@visidady @OleMtetezi Wale wa kutrade kazi wanayo......🤣🤣🤣
Filipino
BestHope retweetet

@MrDepalitto9 Haya dumu imefika dar 7k less 3k umebaki na 4k operational cost?
Slovenščina

@Adventure_36 Hata bila kulipia Agent anapiga kazi kujibu . Lazima umpe training kidogo maana kwingine anatoa majibu sio
Indonesia

@kasesco_tz @kilepi_tweve Dish ni sahani tuu ya kukinga mawimbi , inaweza kukinga mawimbi yoyote ilimradi tuu imeelekezwa uelekeo sahihi. Dekoda inaonyesha kulingana na mawimbi uliyoichagulia. Dish la azam linaweza kutumika kukinga mawimbi ya dstz bila shida ilimradi tuu dekoda ya kusoma iwe ya dstv.
Indonesia
































