




𝘽 𝘼 𝘽 𝘼 𝙒 𝘼 𝙍 𝘿 𝘼 ®🇰🇪🇹🇿💔
21.4K posts

@Budda2016
Registered Nurse | R.i.P father | Live long Mother | The QURAN | Allah Akbar |SimbaSC| GGMU |Farmer | Health | Music | Cooking | Love | R.I.P My Daughter 💔









Rais Samia Suluhu Hassan amesema Shirikisho la Vyama vya Wafanyakazi Tanzania (TUCTA) hawakutoa madai mapya kutokana serikali kuelekeza pesa nyingi kugharamia uchaguzi, kurekebisha miundombinu iliyoharibiwa na ghasia na mvua pamoja na kulipa madeni.


🚨 UPDATE: JKT Tanzania itautumia uwanja wa KMC Complex kama uwanja wake wa nyumbani kwenye mechi ya leo ya NBC PL 🇹🇿 dhidi ya KMC FC. Uwanja wa Meja Jenerali Isamuhyo upo tayari kwaajili ya mechi ya Kariakoo Derby Mei 3, 2026.






Mlisema ni mchezaji wa Mechi ndogo ee


