Poyongo Baraka
732 posts

Poyongo Baraka
@Bpoyongo
A Pharmacist, Husband, Father, Brother and Son. Life is full of choices, Choose wisely.
Dar es Salaam, Tanzania Beigetreten Aralık 2017
422 Folgt447 Follower

@Mkuruzenzi Hizo ukipita Advance zinakuwa nyepesi, zinakuwa ngumu kwa sababu hujapita Advance.
Filipino

@godbless_lema Perfect combo! Nilipendekeza hivyo, nadhani kimaono naendana na CHADEMA. Naomba pia uingie KAMATI KUU Kaka. Zile nafasi za Mwenyekiti kuteua, moja iwe yako!
Indonesia

It’s a worthy cause - MPharm Quality Control and Quality Assurance journey at Muhimbili University of Health and Allied Sciences @muhimbiliuniver comes to an end today!
#TrustYourPharmacist

English
Poyongo Baraka retweetet

@YoungAfricansSC Trust me sasa sasa ukilipia 110k mwezi wa kwanza
Mwezi wa pili unaanza kulipia 70k tu
Contact wa.me/255752313909

Filipino

Hivi wale Vijana waliosomeshwa program ya Petroleum and Gas....kwa ajili ya project ya MSIMBATI...waliajiriwa wapi?
#AjiraNaVijana
Indonesia
Poyongo Baraka retweetet
Poyongo Baraka retweetet

@MahengeInlove @Mwakyagi_ Matokeo yalishapangwa wanatupotezea tu muda.
Filipino

@rollymsouth Kwa dar ni ndotoo za mchanaa.. Labda kama huna mke..huna mtoto.. unaishi chumba cha 40k..kazini hutumii naulii.. hununui chakula kazini🤣🤣🤣
Filipino

Sema hapa ndo ma bro huwa mnatufanya tujione tuna matumizi mabaya coz hamsemi ukweli,kuingiza 400K kwa mwezi na kusave 200K ni uwongo..hujala,hujalipa kodi,nauli,luku,maji,hujaa,vocha,hujapigania uroda,hujaombwa hela na ndugu…hutoboi
Dr. Hamisi Kigwangalla@HKigwangalla
Kama unapata Total 400k. Jitahidi u-save 200k, matumizi ya mwezi 100k, binafsi ya kila siku 100k!
Indonesia

@HKigwangalla Leo umetema point tupu Daktari.. Ngoja niwaite washikaji zangu zitawasidie hizi😊
@DMvukie @mosibrk @mvukie
Indonesia

For boys (na Labda wasichana pia wanahitaji kusikia haya! 🤷🏾♂️):
1. Hakikisha unaoa. Kuoa ni lazima. Kuoa siyo lazima uwe na pesa. Ukikua kiasi cha kuzalisha mwanamke, oa! Mengine yatajipanga. Uoe nani sasa, sikia mtazamo wangu!
2. Oa tu mwanamke kama unampenda na una nia ya kuanzisha familia iliyo bora. Oa mwanamke atakayekuwa rafiki mzuri kwako na mama mwema kwa wanao. Oa mwanamke mwenye MUNGU ndani yake. Ni bonus ukipata mwenye shape, lakini lazima awe na Mungu ndani yake.
3. Ikitokea ukaoa usiwe mwepesi kutoa talaka. Ipambanie ndoa yako isimame. Hakuna viumbe wagumu kuwaelewa kama wanawake. Wanadamu tuko wawili tu - Ke na Me! 😀. Lakini Ke my brother, ni mgumu sana kumuelewa. Ukiishaamua kumuoa, jifunze kumvumilia, kumhurumia, kumpuuza (akianza maneno, maana kwa uhakika ataanza tu!)
4. Usije ukarogwa hata siku moja ukamuoa msichana ambaye ana MENTALITY, ya kuwa eti Wewe ni chanzo chake cha pesa na maisha mazuri; ila zingatia tu kwamba wanawake wote duniani watakupenda na kukukubali kama una pesa!
5. Jua kwamba ni jukumu lako kumhudumia mwanamke wako, lakini mwanamke aliye bora ni yule asiye na mentality ya kukuchuna, ni yule mpiganaji anayezalisha chake, anayeweza kukizalisha chako/chenu na anayeweza kukusaidia kujenga maisha ya familia yenu.
6. Mwanaume kamili aliye bora haulizi kipato cha mkewe, hamgawii mwanamke majukumu ya familia (hata kama mwanamke ana kipato kikubwa kuliko yeye). Zingatia neno ‘mentality’ ya kiume. Na mentality ya ‘kike’! Kaa kwenye mentality yako, ila kama ulichagua mwanamke sahihi, ata-step in kuinyanyua familia na hali ya maisha yenu bila kuambiwa, bila kulalamika, kwa siri na staha kubwa, na bila kukudhalilisha.
7. Epuka kukaa kwenye mahusiano na mwanamke anayekuomba nauli kila siku mkitaka kwenda out, anayekuomba pesa ya salon kila mkitaka kutoka, anayelewa pombe sana, anayependa kuwasiliana na kujenga urafiki na wanaume wengine, anayependa kufuatilia maisha ya couples nyingine na kujifananisha nao, anayetamani vitu vikubwa vikubwa wakati anakuona unajitafuta!
8. Epuka kuwa na mahusiano na mwanamke anayeona anakupa favour kuwa na wewe, anayeona uzuri wake ama show zake kitandani ndiyo kila kitu!
9. Epuka kuwa na mwanamke anayeona wewe siyo saizi yake sema basi tu, asiyeweza kukutambulisha kwa ndugu na rafiki zake, asiyejivunia kuwa na wewe, asiyeweza kwenda out na wewe! Epuka huyo!
10. Epuka mwanamke mwenye password nyingi sana kwenye simu yake, anayesevu namba za wanaume kwa codes, asiyeweza kupokea simu mbele yako, anayeweka airplane mode mbele yako, anayezima data mbele yako, anayeanzisha biashara bila wewe kujua mipango yake, anayependa sana kujiremba hadi kupitiliza! Epuka huyo!
#HK #Fighter #NjeYaBox
Indonesia

@Horoya95 @ronnie_zul Haaa haaa, am here waiting for his/her answer.
English

@mwigulunchemba1 Ndo tuko Jan, 2024 wakuu mnawaza tu uchaguzi wa Oct, 2025 ili muendelee kutafuna keki ya Taifa.
Indonesia

Tumeongeza Kiungo Mshambuliaji (Central Midfilder), Striker tunaye SSH2025, Playmaker tunaye Kiungo muungwana PMpango, Beki Mkoba tunaye Kinana, KiungowaUlinzi tunaye, HAMwinyi. Mimi naomba nipangwe Winga, hakika watalala na Viatu 2025. Tunasajili wao wanalalamikia REFA ATAKUWA NANI (Yaani Tume), OOH SHERIA ZIBADILISHWE (Sheria za Uchaguzi). 💪💪💪💪 HONGERA SANA DR NCHIMBI. @nchimbie

Indonesia
Poyongo Baraka retweetet

Comparison of knowledge, attitude, practice and predictors of self-medication with antibiotics among medical and non-medical students in Tanzania frontiersin.org/articles/10.33…
English

@Bpoyongo @TMnyama4_ Huyu kijana anafanisha kunguni na vitu vya ovyooo
Indonesia

@rollymsouth @furedii Kwamba mpaka hapo hujaona kuna shida kwa watunga sera na wanaohusika na kuajiri?
Indonesia

Hayo mazuri sio hisani ni kazi yao ndo maana wanalipwa mshahara,haya mabaya sio kazi yao yanatakiwa yawe mazuri ndo maana tunawakumbusha..hawatakiwi kufanya mabaya
Don@sankat02
@rollymsouth Kwenye sekta ya afya kuna mengi pia mazur yanafanywa na serikali na watumish kwa ujumla ni vile tu mnachagua angle ya kusema mabaya tu
Indonesia

@igy_bm23 Mzee baba Candesartan 8&16mg, Exforge 5&10, Nebivolol 5mg, Felodipine 5&10mg zote hizi hazipo kwenye kitita kipya cha nhif hata kwa tertiary hospital.
Kuanzia tarehe 01/01/2024 maisha yanarudi kuwa ya mwaka 2012.
Filipino
















