
Charles Lendey
1.2K posts










Asante Wakili Jebra. Uamuzi wako wa siku ile wa kujiondoa kuendelea kusikiliza kesi, baada ya Jaji Mwanga kupuuza sababu zako za kuomba hairisho la muda mfupi ili kuhudhuria mazishi, haukuwa wa kawaida. Ilikuwa ni mpango wa Mungu. Kwani usingechukua hatua hiyo, ungehalalisha zuio batili na leo lingeonekana halali. God bless you Bro!!




















#UPDATES_KUTOKA_MAHAKAMA_KUU Muda huu ni saa sita nayo dakika 17 kesi ya mchongo ya uhaini dhidi ya Mhe. Lissu bado haijaanza na Mawakili wa Serikali hawaonekani. Tetesi kutoka kwa msiri wetu zinasema wanapigiwa simu hawapokei na wengine wamezima simu. Mawakili wa Serikali wamechimba. Majaji na Mahakama imeachwa solemba, haya mambo yanashangaza kabisa. Jamhuri kama hii kesi imewashinda waiondoe au wakae na Lissu Gerezani bila kesi kuendelea tujue moja maana hapo awali leo Walisema wanahitaji lisaa limoja kutafakari muda huu yamefika masaa mawili. Hawaonekani na hawajulikani walipo. Unaambiwa hakuna anayefanikiwa kuwapata Mawakili wa Serikali na hawajulikani wameenda wapi? Sijui ndio kufuata maagizo kutoka juu.😂😂😂😂 Haya ni maajabu na ni mambo yanayoshangaza sana.


@Wakazi Wimbo wa Koffi Olomide ninayoijua ni ile inayoimbwa "tanga fotooo😂"...na ile moja mistari yake aliimbia pia kwenye wimbo wa diamond Wah!...P Square list ya nyimbo zao ninazozijua na ni hits mpaka kesho ni nyingi jamani...siwezi maliza kuzitaja





