wakipekee...

7K posts

wakipekee... banner
wakipekee...

wakipekee...

@DMLfireboy3345

..hustle boy in town living my life. Don't cry when am die look on the sky and say goodbyee...🏋‍♀️🏋🏋‍♂️.Man united ,REAL MADRID $ Simba sport fans..

Netherlands 🇳🇱 Beigetreten Eylül 2023
2.3K Folgt1.2K Follower
Zoba
Zoba@Czooba·
Between PSG vs Bayern Munich and Man United Vs Lyon — which was more thrilling?
Zoba tweet mediaZoba tweet media
English
203
317
5.2K
118.9K
wakipekee...
wakipekee...@DMLfireboy3345·
@eastafricatv Saa yulee jamaa anasemaa anakulaa minyamaa hamna vurugu aaah qmmmk tunaenda wapii kama nchiii...
wakipekee... tweet media
Eesti
0
0
0
15
EastAfricaTV
EastAfricaTV@eastafricatv·
#HABARI Wimbi la hofu limewakumba wahamiaji wa mataifa mbalimbali ya Afrika wanaoishi nchini Afrika Kusini baada ya maandamano makubwa ya kupinga wahamiaji haramu kuzuka jijini Pretoria, huku maandamano mengine yakitarajiwa kuendelea leo Jumatano mjini Johannesburg. Maelfu ya wageni wameonywa kuchukua tahadhari, kufunga biashara zao na kupunguza shughuli za nje kutokana na hofu ya kushambuliwa na makundi yenye msimamo mkali wa kupinga wageni. Tahadhari hiyo imetolewa na balozi na jumuiya za wahamiaji, ikiwemo Ghana na Nigeria, baada ya mamia ya waandamanaji kuandamana Jumanne kupitia mitaa ya Pretoria hadi Majengo ya Muungano wakitaka serikali iwafukuze wahamiaji wasio na nyaraka. Waandaaji wa maandamano hayo wanadai wageni wamekuwa wakichukua ajira, kufanya biashara holela na kunufaika na huduma za umma, jambo lililosababisha baadhi ya wafanyabiashara wa kigeni kufunga maduka yao kwa hofu ya uvamizi au vurugu. Licha ya shinikizo hilo la wananchi, Rais Cyril Ramaphosa ameonya kuwa malalamiko kuhusu uhamiaji haramu yasitumike kuchochea chuki dhidi ya Waafrika wenzao, akisisitiza kuwa Afrika Kusini ina deni la kihistoria kwa mataifa ya Afrika yaliyoiunga mkono katika vita dhidi ya ubaguzi wa rangi. Serikali imeweka vikosi vya polisi katika hali ya tahadhari wakati maandamano hayo yakisambaa kutoka Durban hadi Gauteng, huku hofu ya mashambulizi ya kibaguzi ikiendelea kuongezeka. #EastAfricaTV
EastAfricaTV tweet media
Indonesia
4
1
10
604
Trica Online Store
Trica Online Store@TriciaAbou·
Kwako ilikua mechi bora au Mechi yenye magoli mengi ?
Trica Online Store tweet media
Indonesia
9
2
40
1.1K
chuga girl❣️
chuga girl❣️@Lizzie36021·
Hii game ya psg Ina goal 30 leo😅😅😅😅
Indonesia
3
1
34
648
chuga girl❣️
chuga girl❣️@Lizzie36021·
Za ndani ndani ukiacha big kujifanya mteja dm kuna mwinsheshe alikua anaelewa kazi ile dadeki ila cycle yangu Ina mazunye😅😅😅🙌🏻
Indonesia
23
22
128
4.5K
❤️ Miss Platnumz ❤️💃🏽🧚🏻‍♀️❣️
Kijana mwenye umri wa miaka 21 amezua mjadala mkubwa mtandaoni baada ya video yake kusambaa akieleza wazi kuwa hana mpango wa kutafuta kazi. Akizungumza kwa msimamo mkali, kijana huyo alisema: “Sikuwahi kuomba kuzaliwa, kwa hiyo kwa nini nifanye kazi ili kuishi maisha ambayo sikuyachagua?” Kwa mujibu wa maelezo yake, anaamini kuwa wazazi wake ndio walifanya uamuzi wa kumleta duniani, hivyo wanapaswa kubeba jukumu la kumuhudumia. Huyu kijana ana hoja au tumpuuzie ?
❤️ Miss Platnumz ❤️💃🏽🧚🏻‍♀️❣️ tweet media
Indonesia
40
8
182
22.9K
BeLINDA
BeLINDA@belindaPINDA01·
Team PSG weka handle yako tukufollow before kipindi cha pili🔥🔥🔥🔥🔥 Repost 🔥🔥
Indonesia
35
16
95
1.2K
MADOPE🌾
MADOPE🌾@Ugeniaconso·
Ishi vzuri na majirani zako.
Slovenščina
15
24
67
957
NGASSA+255
NGASSA+255@Therealngassa·
Ukiona movie inaanza kuna watu wanachunga chunga mbuzi jangwani alafu kuna pick up imefungwa mashinee gun nyuma aisee hapo tambara umepata🔥🔥
Filipino
40
32
620
22.2K
Boss
Boss@Boss_941·
Ningejua maisha ndio haya, nisingepiga kelele darasani😂😂😂💔
Boss tweet media
Indonesia
25
28
97
2.1K
Tisa David
Tisa David@tisadavidtisa·
Leo nimemuona dogo yupo kwenye school bus anashangaa watu wanaruka madimbwi sinza 😂😂 dogo anahisi watu hawajapanda hayo magari.
Indonesia
27
39
289
8.8K
Mwinshehe 🕊️
Mwinshehe 🕊️@Mwinshehe07·
ⓘ This account stands against violence and disrespect toward women
English
50
70
194
5.3K
Ulimwengu 🇹🇿
Ulimwengu 🇹🇿@fizoo_2040·
Tumetoka kumpumzisha MAMA YANGU mchana wa leo,Sikuwahi kufikiria kama nitakuwa yatima katika umri wangu mdogo kiasi hiki.Imekuwa mapema sana aisee. Tumuombee sana kipenzi changu apate pumziko la milele. Daah! Why MAMA 😥😓😭🙌
Ulimwengu 🇹🇿 tweet media
Indonesia
160
89
790
15.2K
BP
BP@bp_punter·
Drop your correct scores prediction👇
BP tweet media
English
27
2
20
2.2K