🦅
15K posts


🦅 retweetledi

Zamani kuwa tofauti ilikuwa ni tiketi ya kuwa omba omba lakini leo hii ni 'brand' Social media zimekuja kuwapa watu utu na uhuru wa kifedha bila kutegemea huruma ya mtu
❄️™@N3sty09
Bongo ukiwa tofauti tayari ni kipaji😅
Indonesia
🦅 retweetledi

Mtakatifu JPM alimsaidia sana kipind anatoka WCB, mwambino aligoma kumpa termination contract na alikua anaeda Marekan Konde alikuwa anakosa haki kama msanii huru. Akampigia simu JPM, mzito akamwambia Mwambino usipande ndege kabla huja mclear dogo, Konde hawez msahau yule mzito
PàChâ#1738 💫@Tweener003
Kama nchi tumepitia mengi nakumbuka ile siku ya msiba wa jiwe konde aliingia insta live akaanza kulia daaah ila konde😅😅😅
Indonesia
🦅 retweetledi
🦅 retweetledi


















