Sabitlenmiş Tweet
c_truth16💥
1.6K posts

c_truth16💥
@c_truth16
#stay humble ,,#stay goated..
Mbeya, Tanzania Katılım Haziran 2022
1.2K Takip Edilen1K Takipçiler

Hii nchi tumeipambania sana kubabake!
Hapo wadwanzi walichana suti yangu mpya kabisa ya Calvin Klein, MATAKO YAO!😎
#FREELISSU #KATAARIPOTI

Filipino
c_truth16💥 retweetledi
c_truth16💥 retweetledi
c_truth16💥 retweetledi

Niseme tu Kwa umri wake wa Sasa huyu Ray Kigosi hastahili kunyoa namna hii, basi tufanye haya ni maisha yake.
Lakini kitendo Cha yeye kwenda msibani akiwa hivi tena kavaa na hereni ni kitu ambacho Kwa upande wangu naona siyo sawa, nimemuona Joti Kila mtu anajua staili yake ya nywele, Lakini alikuwa kavaa kofia na kanzu safi anaendana na tukio.
Msiba wa Hashim Kambi siyo wakwenda ukiwa namna hii yule alikuwa kama mzazi wake.

Indonesia
c_truth16💥 retweetledi


























