Mfizikia

20.8K posts

Mfizikia banner
Mfizikia

Mfizikia

@Maisha_Pro

Tech enthusiast// Arsenal+Barcelona fan// ~Simplicity Department Chairman & Financial market analyst📈📉

Beigetreten Ocak 2022
2.6K Folgt2.3K Follower
Tazama
Tazama@tazamaMbali·
@Psiteshio1 Lakini online huslers wengi wana njaa. Mtu ana-hustle for year lakini maisha hayabadiliki. Shida huwa ni nini hasa?
Indonesia
1
0
0
36
Mfizikia retweetet
little Man fx
little Man fx@mataro_daniel·
Na hapo bado vijana wakitanzania mtasema kuwa fursa hamzioni seriously! Forex ni kiwanda tosha tu cha kuprint mawe juu ya mawe muhimu tu uwe na maarifaLet assume tu umetafuta mtaji wa100$ then una deposit kwa broker yyteyuleunaemuamin then una hakikisha kwa siku unatafuta10$-20$
little Man fx tweet media
Indonesia
2
2
8
112
Haulay
Haulay@Positivenga1·
Tanzania ina uhaba wa vijana walionyooka sana kwenye mishe nyingi sana! So Kijana Ukinyooka kidogo tu na ukawa na exposure na uthubutu, unaondoka.
Filipino
31
124
910
22K
warida yahaya
warida yahaya@WaridaYahaya·
@Positivenga1 Uko sawa kabisa ,mi huwa nasema kibongo kibongo kijana kufanikiwa Wala sio kazi sana ukiwa na nidhamu, usiwe na tamaa, usiwe mjuaji ,bidii tayari ushatoboa mapema sana , fursa za kupata Michele bongo Bado ni nyingi mno na zinahitaji watu ila watu hawapo
Indonesia
4
1
50
1.8K
Buba9️⃣9️⃣
Buba9️⃣9️⃣@massuidentity·
Wamemaliza UE sasa wanaanza kuhangaika na House party kati vijijini kwao hata walikua hawayajui haya mambo na hawajawahi fanya. Tuwaambie au Tuwaache😅💔
हिन्दी
40
73
919
146.6K
Mfizikia
Mfizikia@Maisha_Pro·
@Robertmagobe @MarekaMalili Sema kweli kweny upande wa production tumebase kweny kilimo tu. The rest ni kilio. May be huko nje kupata hiyo mitambo ya uzalishaji ni kazi kidogo
Filipino
0
0
0
12
Magobe
Magobe@Robertmagobe·
@Maisha_Pro @MarekaMalili Mtaji upi ni tatizo? Hata kwenye uchuuzi watu wanatumia mitaji.. Mtaji ni pamoja na ARDHI, UZIMA, NGUVU YA MAARIFA/UJUZI ambavyo hizi unaweza kuanzia vikakupa mtaji PESA, mwishoni utamaliza na mtaji TEKNOLOJIA huo ndio mtaji ghali zaidi Shida si mtaji ni fikra
1
1
2
107
Lubasha Jr
Lubasha Jr@MarekaMalili·
Mimi uwa naona ni bora uka Dominate Biashara yako kwenye small towns ndani ndani huko, kuliko kwenye a regular player kwenye miji mikubwa.
Filipino
51
58
675
30.3K
Magobe
Magobe@Robertmagobe·
@MarekaMalili Nimepitia replies nyingi kwa nia ya kujua.. Nimegundua ya kwamba biashara pekee ambayo watu wanaijua ni UCHUUZI at all level, yaan.. NUNUA BIDHAA HAPA - UZA PALE KWA BEI YA JUU KIDOGO Watu hawawazi juu ya uzalishajimali, Wanawaza kuchuuza na kuuza tu. KAMA TAIFA TUTA-IMPORT SANA
Indonesia
5
2
26
821
kasesco☆
kasesco☆@kasesco_tz·
Simu yako ina nyimbo nyingi sana ila kuna ile moja unaisikilizaga mara mbilimbili itaje..?🎶
Filipino
149
50
438
25.2K
Mfizikia
Mfizikia@Maisha_Pro·
@TibaiganaT47 @IAmHaule @AbcKatson Kuna muda vitu vinawez paraganyika mzee 😃. That is why biashara ni kipaji kama vipaji vingine. Kila biashara na mtaalam wake. Ndio maana mnawez kuw na bidhaa moja, unadhifu ukaendana ila mwenzio akapata wateja et kwa sababu anasauti ya kuvutia😃
Indonesia
1
0
1
21
Æ
Æ@TibaiganaT47·
@Maisha_Pro @IAmHaule @AbcKatson Sahihi ni namna akili yako ulivyoiweka tu 😁Alafu ajira sio kwamba ndio umepoteza ,ndio umepata sehemu constant ya pesa kuliko hizi mbanga zingine
Indonesia
1
0
1
22
IAmHaule
IAmHaule@IAmHaule·
Fikiria umepata Ajira huko vijijini . Hiyo ajira inaweza kuua ndoto zako bila hata wewe kugundua. Mwanzoni unaenda ukiwa na matumaini, unaamini ni mwanzo tu wa safari. Unajiambia utavumilia kidogo halafu utarudi mjini . Ukianza harakati tu za kutaka kurudi mjini unapigwa 📌
Indonesia
21
33
547
39.7K
Mfizikia
Mfizikia@Maisha_Pro·
@MaEffect7474 @IAmHaule @MarekaMalili Motivesheni sipika Hawa wasenge sana😃😃 Kuna raia wanapesa wapo huko huko kijijini. Tatizo hawaangalii future. Kijijini unaweza kusanya mishahara hata kumi tu ukawa na heka 10 zako unajilimia😃
Filipino
1
0
2
406
Ma-Effect
Ma-Effect@MaEffect7474·
@IAmHaule @MarekaMalili Wengi wetu huwa na nadharia ya kuwa ili watusue, basi wanatakiwa kuwa mijini (Dar, Mza,Chuga n.k) kumbe angelitulia vzuri na kuExploit resources za mahali alipo, anatusua fresh kbsa. Tujitathimini.
Filipino
5
1
19
4.1K
Mfizikia
Mfizikia@Maisha_Pro·
@KyakaHaji @ErickKamihanda War and crime Remember me Slave Prison The way it is No body can stop leggae Children together Oya dube atengwe
English
0
0
1
53
Kyaka
Kyaka@KyakaHaji·
@ErickKamihanda yawezekana una hoja , ila kila nikiisikiliza "Redemption Song" nasema Bob ni Mkali Mnoo , ile ngoma ukiwa Black Man hadi kesho kuna feeling unaipata huwezi pata kwenye ngoma yeyote ya dube
Filipino
9
1
24
1.7K
Eric Does
Eric Does@ErickKamihanda·
Lucky Dube alikuwa mwandishi na mwimbaji mkali zaidi kuliko Bob Marley. Sema bahati mbaya alitokea South Africa. Bob ana impact kubwa duniani kwa sababu ya platform, management na alipotoka, lakini ukiingia kwenye 'pure artistry' na vocal range, Lucky Dube is on another level.
Filipino
97
50
580
25.5K
Mfizikia retweetet
Blue Vision Fx
Blue Vision Fx@Ernest1582767·
Wakati naanza forex niliandika kwenye notebook: “By 30 niwe na Bilioni 7.” 😂 Nachoka Mm🤣 Najua sipo pekee yangu bn wewe ulijiwekea Malengo gan??😂
Blue Vision Fx tweet media
Indonesia
7
2
26
1K
IAmHaule
IAmHaule@IAmHaule·
Niambie una mtaji wa kiasi gani nikuambie , biashara gani ni sahihi kwako kufanya na ukatoboa ndani ya miezi 3 - 6 .👇🏼
Indonesia
52
19
171
13.9K
Mfizikia retweetet
little Man fx
little Man fx@mataro_daniel·
Ilikuwa jumapili tulivu , huu ku mitaa ikisubiria matokeo mazuri ya set up zangu
little Man fx tweet media
Indonesia
0
3
6
67
Robinson Shoo
Robinson Shoo@RobinsonShoo4·
@Maisha_Pro @JOH_MCI Atari Sana chalz Hillary legend Kabisa,kikeke kizigo pia ulikuwa unaskia ladha ata namna ya utamkaji wa majina ya wachezaji wako vzur Sana ila hawa waskuzi NI kutafutia wachezaji A.K.A tuu
Indonesia
1
1
2
168
JOH✝️
JOH✝️@JOH_MCI·
Jamaa anatangaza bolu dakika tano, dakika 40 anasimulia mambo ambayo hayana ata umuhimu, kipindi kinakuwa kimeisha anaboa kisenge kmmk🖕🚮
JOH✝️ tweet media
Filipino
146
39
612
58.3K
Mfizikia
Mfizikia@Maisha_Pro·
@RobinsonShoo4 @JOH_MCI Jesse John sio poa , halafu BBC walikuwa na Charles hilali, hamos kizigo na huyu jamaa wa crown fm
Suomi
2
0
3
180
Robinson Shoo
Robinson Shoo@RobinsonShoo4·
@JOH_MCI Kuna kipindi alisifiwa nikasemaga sjawahi elewa commentetor yoyote wa bongo anaetangaza Mpira Kwa sasa labda zamani akina Enock bwigane na Jesse John nikambiwa nna chuki nao nambie ww kma unaelewa awa jamaa
Filipino
6
3
13
4.7K