rob savan

124 posts

rob savan

rob savan

@RobSavan8518

Beigetreten Mart 2024
465 Folgt8 Follower
rob savan
rob savan@RobSavan8518·
@Giftmwesiga @filblam @HecheJohn hili janga ni universal, fanya research niambie ni nchi gani imeshusha bei mafuta, name that country which is moving in opposite of the raise, we need to adjust and live with the situation, ukweli mchungu, but si kila kitu ni cha kukosoa
English
1
0
0
5
Son
Son@Giftmwesiga·
@RobSavan8518 @filblam @HecheJohn Unafikiria wafanyibiashara ambao wanawanyonya wananchi maskini , so serikali ipo kwa ajili ya matajiri tu na sio kwa ajili wanachi wanapata athari kubwa ya kupanda kwa mafuta?
Indonesia
1
0
0
7
John Heche
John Heche@HecheJohn·
Bwana Chalamila, Mimi nimehudumu kwenye kamati ya Nishati na madini ya bunge kwa miaka mitano. Najua utaratibu wa uagizaji wa mafuta kama ninavyojua kiganja cha mkono wangu. BPS imeundwa nikiwa mbunge nimeshiriki . Mnatakiwa kujibu maswali rahisi nyie watetezi mafisadi na Cartels. 1. Mafuta yanatumia siku ngapi kuanzia kununua mpaka yanafika Dar? 2. Mgogoro umeanza tarehe 28/2/2026, mafuta hutumia siku 50 mpaka 60 kufika bandari yetu ya Dar, hivyo mafuta yaliyonunuliwa baada ya mgogoro kuanza na bei kuanza bado hayajaingia nchini. Kwanini mafuta yaliyonunuliwa na kuingia Nchini kwa bei ya chini yauzwe kwa bei ya juu? 3. BPS wananunua mafuta kwa wingi na mara zote yanatumika miezi mitatu au minne kama alivyosema katibu mkuu wa wizara… imekuaje mafuta ya kwenye reserve yapande bei? 4. Kuna tozo na kodi kwenye lita moja ya mafuta zaidi ya 18 au 31% yaani kila sh 100 anayotoa Mtanzania kununua mafuta anakatwa sh 31, achilia mbali 4% ya logistics ikiwemo Demurrage ambayo ni uzembe unasababisha Watanzania kubeba mzigo huu. 5. Muhimu sana tenda ilitangazwa lini na wapi? Nani na nani walishindana? Nani alishinda na kwa bei ipi? Wewe umesema mama ndio aliwambia TPDC waagize!!! Hii ni sawa na Richmond nyingine.. sheria inasemaje? Sisi tunasema: 1. Mafuta yaliyopo hayastahili kupanda bei kwasababu yaliagizwa na kuingia kwa bei ya chini. 2. Mzigo wa kodi na tozo uondoke kwasababu ni nyingi na kubwa mno kuliko Nchi zote Afrika mashariki, ndio maana hata Nchi zisizo na bandari zinauza mafuta chini kuliko sisi. 3. Kuendelea kukandamiza Watanzania na dhuluma hii ya wazi kutaleta balaa kubwa kwenye maisha hasa ya mtu wa chini. Maana mafuta yakipanda kila kitu kinapanda.. Bwana Chalamila na yule kijana jifunzeni kwanza mambo haya.
Indonesia
66
487
1.7K
49.4K
rob savan
rob savan@RobSavan8518·
@Pinokyo100 @filblam @HecheJohn am i missing something??? did the goverment instruct the fuel correspondents to raise the price or did it support their idea of raising the price, do you even notice that it cant place any sanction to them because the problem is a universal crisis,
English
0
0
0
9
Pinokyo
Pinokyo@Pinokyo100·
@RobSavan8518 @filblam @HecheJohn The government is for the people, thats why its advised to reduce numerous taxations emposed on fuel to make a burden lesser to its citizens. 18 different taxes are too much....its possible to lower the price without affecting traders
English
1
0
0
16
rob savan
rob savan@RobSavan8518·
@filblam @HecheJohn i dont think so, the current adjustment is for them to be eligible to restock later without having a lot of losses of which comes as a result of sales generated from the recent raise, hawatapandisha unless bei ilipuke zaid from where it is as of now,
English
2
0
0
57
zimbwe
zimbwe@filblam·
@RobSavan8518 @HecheJohn How? Kama baadae itapanda mpaka 1.5 kwa new replenishment then you sell kwa bei ya juu zaidi. Kubadili bei kwa mzigo ulionunua kwa hela ndogo ni wizi.
Indonesia
1
0
0
52
rob savan
rob savan@RobSavan8518·
@HecheJohn ikifka mda wa restocking they know its them who will be supposed to up the purchasing amount, ni kitu very understandable regardless u ccm au u chadema
English
0
0
1
442
rob savan
rob savan@RobSavan8518·
@Nicky__001 does she owe you or something? her life her rules, ata mahakama haina legitimacy ya kuquestion her preferrencies, who the fuck do you think you are????
English
0
0
0
31
Big_Nicky01✊️
Big_Nicky01✊️@Nicky__001·
Kabla hamjapost picha zenu mitandaoni ebu shirikisha hata marafiki zako au kama vipi iangalie mara mbili, Nini sasa hiki kmmk 🚮🚮
Big_Nicky01✊️ tweet media
Indonesia
83
26
274
45.5K
SportsArenaTz
SportsArenaTz@SportsarenatzTz·
💬 | Edo Kumwembe: “Unaweza kumuadhibu mwamuzi ambaye alikataa bao ambalo lilikuwa halali, lakini haya ya mwamuzi wa pembeni kuadhibiwa kwa sababu ya kunyoosha kibendera cha kuotea kwa mchezaji ambaye hajaotea basi tutaadhibu waamuzi wengi. Nchi hii ina maajabu yake. Kuna wakati uamuzi huwa unatolewa kwa ajili ya kuwaridhisha wakubwa wa Kariakoo.”
SportsArenaTz tweet media
Indonesia
11
18
432
30.4K
Moshi Jnr
Moshi Jnr@moshijnr·
🚨Klabu ya Simba SC kupitia Rais wao wa Heshima Mohammed Dewji wameanza mchakato wa mazungumzo ya kumuongezea mkataba mpya Golikipa wao Moussa Pinpin Camara kuelekea msimu ujao na mkataba wa Mnyama na Pinpin Camara unamalizika mwishoni mwa msimu huu
Indonesia
8
12
335
9K
rob savan
rob savan@RobSavan8518·
twitter wachambuzi hii kanuni inatumika msimu huu au haitumiki????
rob savan tweet media
Eesti
0
0
0
2
rob savan
rob savan@RobSavan8518·
@MickyJnr__ please help me validate this regulation 62 article 1.2, is it official and is it active for the ongoing 2025/2026 season, too bad there are few reliable sources tanzania, want to confirm if kamara is still a legit and registered gk of simba tplb pdf is not updated 2023's,
rob savan tweet media
English
0
0
1
67
Micky Jnr
Micky Jnr@MickyJnr__·
Seychelles are on the move 🇸🇨✈️🇿🇦 They’ve departed for South Africa where they will take on Lesotho in the 2027 AFCON preliminary round qualifier. #AfricanFootball #AFCON2027
Micky Jnr tweet media
English
1
0
76
3.3K
rob savan
rob savan@RobSavan8518·
@George_Ambangil please help me validate this regulation 62 article 1.2, is it official and is it active for the ongoing 2025/2026 season, tumebishana sana ila reliable sources tanzania ni chache, say a word tplb pdf is not updated ipo ya 2023,
rob savan tweet media
English
0
0
0
33
George Ambangile
George Ambangile@George_Ambangil·
Mnapost halafu mnaficha SURA ... why ? 🤔🤔😀😀
92
55
769
46.5K
Djkid_b_____
Djkid_b_____@BlessdGrooveKid·
Huyu janja nimekaa naye hapa kijiweni naona anaanza kuvuka mipaka sasa yaaani anailinganisha PANDA ya Desiigner na MASK OFF ya Future Akitia neno lingine huyu namkata viganja sio muda
Indonesia
7
10
74
4.4K
Cindy☘️
Cindy☘️@Indemosyd·
Call me the last thing you bought today 😛
Cindy☘️ tweet media
English
903
149
1.2K
46.4K
Kobi
Kobi@UtdKobi·
Are you a Man United fan searching for Mutuals? Even if you’re starting from 0 followers, Drop your handle and follow everyone Follow back; It really is that simple ❤️
Kobi tweet media
English
460
62
1K
19.3K
Narrowbeefly
Narrowbeefly@Narrowbeeflying·
Kaweke katikati ya Mji halafu weka Vikali vya kila aina 🔥🔥
Narrowbeefly tweet media
Indonesia
19
27
255
11.9K
Transfer News Live
Transfer News Live@DeadlineDayLive·
🚨🇧🇷 𝗕𝗥𝗘𝗔𝗞𝗜𝗡𝗚: Carlo Ancelotti has confirmed the Brazilian players who are guaranteed to be in his World Cup squad if they are fit: ✅ Alisson ✅ Marquinhos ✅ Gabriel Magalhães ✅ Casemiro ✅ Bruno Guimarães ✅ Vinícius Jr ✅ Estêvão ✅ Raphinha ✅ Rodrygo ✅ Matheus Cunha ✅ Gabriel Martinelli
Transfer News Live tweet media
Português
238
380
8.6K
1.7M
Esegbona Luis
Esegbona Luis@esegbona_luis·
Adam Akor won the hearts of the world after he was spotted presenting the bronze cup to Rihanna, honoring her for leaving the U.S. to support the Super Eagles at AFCON. Rihanna became emotional and broke down in tears 🥺.
Esegbona Luis tweet media
English
587
627
9.9K
836.4K
☈ッ
☈ッ@TheFergusonWay·
Fabrizio Romano is now reporting that Guehi is on a salary of over £300,000 per week plus add-ons at Man City. Wow...
English
81
290
7.1K
224.8K
Emmanuel 🫎
Emmanuel 🫎@picasso081·
@UtdFaithfuls Anybody got the picture of carrick and casemiro after the 3rd goal ?
English
3
0
24
1.9K
UF
UF@UtdFaithfuls·
Kobbie Mainoo and Michael Carrick hugging passionately after the game. 🥹❤️
UF tweet media
English
55
466
10.5K
85.4K