zimbwe
1.6K posts


Ofisi ya Mufti Nchini Uganda imetangaza kuwa baada ya mwezi kuandama Sikukuu ya Eid Al Fitr inafanyika leo March 20,2026 Nchini Uganda ambapo pia Serikali ya Uganda tayari imetangaza kuwa leo ni mapumziko ya Eid Al Fitr na imewatakia Waganda wote Sikukuu njema yenye amani na utulivu.
#MillardAyoUPDATES

Indonesia

Mojtaba Khamenei ameteuliwa kuwa Ayatollah wa Iran kuchukua nafasi ya baba yake.
Taarifa za familia yake
Baba yake Khamenei ameuwawa
Mama yake Monsoureh ameuwawa
Mke wake Zahra ameuwawa
Mtoto wake kiume ameuwawa
Dada yake Hoda ameuwawa
Mtoto wa Dada yake ameuwawa
Wote hawa wameuwawa kwenye shambulio moja. Hebu vaa viatu vya Mojtaba. 😇
Indonesia

@muafrica1234 @PushatheTruth @mangekimambi Yani hawa jamaa wangekuwapo hapa Bongo nadhani hawa wasiojulikana wangekimbia Nchi....
Indonesia

@muafrica1234 @PushatheTruth @mangekimambi Check channel moja you tube inaitwa Disturbed reality. Jamaa anawaelezea Cartels nyingi kubwa za Mexico pamoja na History zao. Hawa jamaa unyama wao ni beyond imagination, ni zaidi hata ya Medieval period kipindi ile ya Roman Empire.
Filipino

Mfanyabiashara wa Arusha ni vile familia yake inamstiri marehemu ila marehemu amekutwa na majeraha zaidi ya hayo ya macho, kuvunjwa mkono na kuumizwa kichwani.
Mnaambiwa sehemu za siri hazitamaniki. mapumbu hayatamaniki, yani wamemfanyia ukatili mkubwa mno.
Na sababu ya kumuua ni moja tu, yule jamaa alihisiwa kuwa alichochea vijana wa Arusha kufanya maandamano sababu jamaa alikuwa close sana na vijana wa Arusha. . Na alishakamatwa na kupewa kesi ya uhaini ila ikafutwa ndo wakaona kwa vile kesi mahakamani watashindwa ndio wakaona wamuue. Na jamaa alishatonywa siku chache na hapo hapo Polisi wa hapo central kabla kuwa kina Mahita wanamuwinda so siku 3 kabla ya kifo chake alienda polisi kuripoti akawaambia nasikia natafutwa vipi kuna shida gani? wakamwambia wala sisi hatukutafuti we nenda zako. 3 days later wakamuua .
Achaneni na hao machawa wanaosema sijui jamaa alikuwa jambazi, sijui nini, kifo chake hakihusiani hata kidogo na maisha yake aliyoishi, kama kweli alikuwa jambazi.
Kwa Watanzania ambao hamjui, watu wengi wanaohisiwa walichochea yale maandamano wanauawa kimya kimya. Yani kuna msako mkubwa unafanywa na polisi na usalama wa taifa wa kuua yoyote wanaehisi alichochea maandamano yale au wakihisi sasa hivi anachochea mapambano dhidi ya CCM, especially wale wenye vihela hela wanaohisiwa wanaweza kufadhili mapambano.
Na hawafanyi hata uchunguzi, wakipelekewa umbea tu kuwa huyu anahusika basi wanakuua.
Ushauri wangu kwa Watanzania kwa kipindi hiki. Tafadhali usikubali kuwa peke yako sehemu yoyote ile. Hakikisha uko na mtu. Usidhubutu kutembea peke yako. Yani hata kama unaenda gym, beba hata houseboy na watchman wako nenda nao gym. Especially kama unajijua unaweza kuwa target. Na usijidanganye eti maeneo flani ni salama. Hakuna eneo salama kwa sasa Tanzania. Huyu Banjoo katekwa kwa mkuu wa Wilaya, opposite na Bot ulinzi kama woote, camera kama zote. It’s not safe anywhere in Tanzania.

Indonesia

@PushatheTruth @mangekimambi Mkuu,, unaifahamu CJNG lakini? Au mexican Cartel yoyote? Hao jamaa bwana ni bora hata ukutane na hawa wasiojulikana. Polisi wenyewe wanawaogopa
Indonesia

@mangekimambi Hawa ndio wanaume. Ukigusa mtu wao jua na wewe utaguswa. Why watanzania hawana hii spirit…Sijui kwasababu ya low Testosterone? JUST IN: 🇲🇽 CJNG cartel has reportedly stormed the Guadalajara Airport in Mexico after the Mexican army killed its leader El Mencho.
Filipino

@kwamekivaisi Kwahiyo umemfahamu jambazi kwa miaka 19 na haukutoa ushirikiano kwa polisi ili wamkamate, Lakini leo unakuja kutudanganya hapa na maneno yako ya uongo?
Indonesia

Sisemi kuchukua uhai wa binadamu ni jambo zuri. Nasema tulee watoto wetu vizuri. Tuwakanye ndugu, jamaa na marafiki. Nasema bila kuficha nimemfahamu Banjoo kwa miaka 19. Banjoo ameshiriki matukio makubwa ya ujambazi Arusha, Kilimanjaro, Singida na Tanga ambayo baadhi watu walipoteza uhai. Amelindwa kwa miaka mingi na godfathers wake ambao nao wamepotea mmoja baada ya mwingine. Damu hutaka damu. Watu hulipi visasi. Watu hutafuta majibu ya damu za watu wao. Sisemi kuchukua uhai wa mtu ni jambo zuri bali nasema damu hulilia damu. Nawatakia kila la heri polisi katika uchunguzi wao. Sheria ifanye kazi ili watu waache kujichukulia sheria mkononi.

Indonesia

@TuuPhilbert @lastedAD @Binamu01 Unanitajia jero tena na mimi nakuambia hapo mwanzoni hazikuwapo. Wakati simu zinaingia vocha zilikuwa kuanzia sh. 5000 tu kwenda juu..
Indonesia

@MsomiKhan18 Difference ni laki 8 Kwa siku 2, hata wakikupa hizo 2 days unaweza kutengeneza hyo laki 8 mwenyewe.?? wakati Kuna watu wanalipwa laki 8 Kwa mwezi. Tembea na hesabu tu.
Indonesia

@lifeofmshaba AU iko na presidents 54, hayo ni majina matatu tu. Yaani huu ujinga wenu utaishi lini? Mbona aliongea kwa vikao vingine
Indonesia

Samia Suluhu alikwenda kwenye mkutano wa AU pamoja na mambo mengi alitegemea kutambulishwa kama Rais aliyemaliza CHAGULIWA nchini Tanzania
Wenzake waliomaliza kushinda uchaguzi wakatambulishwa, yeye akaondoka kwa aibu kuliko hata alivyokwenda
Kombo akaenda kukutana na ICC kuwapiga maneno, analikata kuwaingiza mjini kwamba wanaoweza zungumza tu kuhusu ile haki ya kujibu waliyopewa, yeye akataka kufanya upwani kwamba ajibu tu kwa maneno ya ghahawa, akatoshwa
Samia akaanza saka maraisi wa kupiga nao PICHA, akiwa amekaa nao kwenye vikao vya pembeni, Wengi wakamkimbia, hata wastaafu wakamkwepa kabisa
Kama leo AU inakimbia mtu namna hii ujue wanajua huyu ni mfungwa kujihusisha naye italeta shida kisiasa baadaye, kwa mauaji aliyofanya
ubaya ni kwamba kule UAE nako kuna waka moto, wao wakipelekewa deal wanachukua ila kwa mazingira yao ya sasa bora aanze kuongea na India tu, India wanaweza mchukua ikasaidia sisi kufunga urafiki nao maisha yakaendelea
Kwa sasa sehemu ambaye Samia yuko salama ni India, CHINA na Rusia uwa hawataki mizigo, ukishatimuliwa madarakani hawataki vimeo, Japo kwa changamoto za tumbo alizonazo sijui kama ataweza kula nodles , nyoka na vyura huko chini, Huyu ni wa India akapiga biriani isiyo na pilipili




Filipino

@MankindUwezo We kilaza na unajiita Dr. Na ukaweka kabisa picha ya Muhoozi..Africa aliyetuloga alishakufa
Indonesia

@millardayo Unavukaje Malengo kwenye kuweka akiba? Malengo huwa yanavukwa kwenye mapato. Una reserve ya $3bilion na unauza 1/3 ya reserve?
Filipino

Benki Kuu ya Tanzania (BOT) imesema mpaka sasa Tanzania ina akiba ya dhahabu yenye thamani ya dola bilioni 3.24 ikiwa imevuka lengo la Bodi kitendo kilichopelekea kuamua kuuza dhahabu yenye thamani ya dola bilioni 1.2 ili kuweka mizania sawa ya kuwa na akiba ya dhahabu ya dola bilioni 2.
Akizungumza kusuhusiana na mchakato huo wa uuzaji wa dhahabu hizo Mkurugenzi kutoka Kurugenzi ya Masoko ya Fedha Benki Kuu Tanzania Emmanuel Akaro amesema ni utaratibu wa kawaida wa Benki kuu kufanya hivyo ili kuweka mizania sawa ya vihatarishi na wala sio shinikizo wala maagizo kutoka Serikalini.
"Kwa lugha nyepesi kabisa limit yetu sisi ni bilioni mbili lakini tayari hata iyo bilioni tatu tumeshapita tuko 3.2 au 3.18888 kwa hiyo sababu moja kubwa kabisa ya sisi kufanya au kuwa na haya matamanio ya kuuza dhahabu ni ili kuhakikisha Benki kuu haijiweki kwenye vihatarishi ambavyo haiwezi kuvisimamia" —— Emmanuel Akaro
#MillardAyoUPDATES

Indonesia

@millardayo Hii post ni ya makusudi. Ungepaswa kuandika "Aliyekuwa mwenyekiti au M/kiti mstaafu....sasa wewe unaandika "Mwenyekiti wa chama cha demokrasia na maendeleo.......aliyepita"
Indonesia

Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo aliyepita Freeman Mbowe, mbele ya Waziri Mkuu Dr. Mwigulu Nchemba katika mazishi ya Mmoja wa Waasisi wa CHADEMA Tengeru Arusha, amesema bado Taifa la Tanzania lina maumivu hivyo ameitaka Serikali kuhakikisha inarejesha haki na uhuru wa Watu katika Nchi yao.
"Mheshimiwa Waziri Mkuu na Viongozi wenzako wa Serikali Taifa letu bado lina maumivu makubwa sana na nitakuwa Mnafiki au Mswahili nisipolisema hili, maendeleo ambayo umetueleza kwamba Serikali itasimamia ni jambo jema tunashukuru lakini hakuna jambo la maana na la muhimu kuliko uhuru wa Watu katika Nchi yao" ——— Mbowe.
"Hawa Viongozi wangu wa Chama chetu wana maumivu, Magerezani wamejaa Viongozi ambao wanastahili kuungana na Watanzania wenzao kuyaona matunda ya Nchi yao, njia bora kuliko zote za kuleta maendeleo katika Nchi yetu rejesheni kwanza uhuru wa Watu, furaha ya Watu, haki za Watu na muukiri ukweli pale ambapo Serikali imekosea isione aibu kusema tulikosea hapa, nina uhakika hata Viongozi wa Chama changu watakuwa tayari kuwasikiliza ili tuitafute kesho iliyo bora katika Nchi yetu" ——— Freeman Mbowe. #MillardAyoUPDATES

Indonesia

@millardayo Huyu angekuwa tu anakaa kimya au anaongea mambo mengine. Haya mambo asiyaongelee
Filipino

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt Samia Suluhu Hassan amesema Uchaguzi wa mwaka 2025 ulikuwa na mafanikio makubwa ikiwamo kufikia asilimia 44 ya Wabunge Wanawake huku mchakato huo ukigharamiwa kwa fedha za ndani.
Dkt Samia ameeleza hayo hii leo Januari 15, 2026 wakati akifungua mwaka wa Mabalozi wanaoziwakilisha nchi zao Tanzania katika hafla iliyofanyika Ikulu ya Chamwino jijini Dodoma ambapo licha ya mafanikio hayo, Dkt Samia amebainisha changamoto zilizojitokeza ikiwemo kuzimwa mtandao na amewapa pole Mabalozi kutokana na usumbufu uliojitokeza akiahidi kujidhatiti kuikabili hali hiyo isijiridie.
“Washirika wetu jumuiya ya kimataifa na wageni wanaoishi hapa Tanzania, ninatoa pole kwa sintofahamu iliyotokea, kukosekana kwa huduma na kuzimwa kwa mtandao mlikopitia. Ninawahakikishia tumejizatiti kulinda usalama wenu na kuhakikisha hili halitajirudia tena” amesema Dkt Samia.
Kwa mujibu wa Dk Samia, wanatambua kwa moyo mgumu yaliyotokea siku ya uchaguzi na baada ya uchaguzi. Amesema ilikuwa ni muhimu kuingilia kati ili kuilinda amani na usalama kwa mujibu wa Katiba.
“Demokrasia ni safari ya ukuaji na kila safari ya aina hiyo ina maumivu yake, hivyo ni wazi kwamba hivyo ni wazi kwamba hakuna kanuni moja ulimwenguni kwa changamoto hii ya kipekee,” ameeleza.
#MillardAyoUPDATES

Indonesia

@ProLearner77 @HildaNewton21 It doesn't make sense if the numbers aren't Fabricated
English

@filblam @HildaNewton21 Hata ikiwa $100, it doens't make any sense
English

Wakati wa Magufuli IMF ilitoa takwimu kwamba GDP per capita yetu imepanda hadi $2,400 na tukaingia kwenye orodha ya nchi za uchumi wa kati (Lower middle Income). Leo IMF haohao wametoa takwimu kuwa GDP per capita imeporomoka hadi $1,300. Nini kimetokea?
Wakati ule tumeingia Uchumi wa Kati Machawa waliongea sana, kila kitu wakasema uchumi wa kati. Gari la uchumi wa kati, nyunba uchumi wa kati, simu uchumi wa kati. Hata mapenzi nayo yakawa ya uchumi wa kati. Lakini leo watazipita hizi takwimu za IMF kama wanaaga maiti.
Kutoka $2,400 hadi $1,300 something must be very wrong. Kwa kifupi purchasing power ya Mtanzania imepungua kwa karibu nusu. And this is not abt politics its abt economy. Nyie askari wa doria mnaopita mitandaoni kutafuta umbea, msilete mihemko. Hapa tunajadili uchumi. Najua hata nyie mmepigika, kwa hiyo kaeni kwa kutulia mpate shule ya uchumi.
Nini kimetokea mpaka tumetoka nchi ya uchumi wa kati hadi miongoni kwa nchi fukara duniani? Wastani wa pato la Mtanzania mmoja mmoja lilikua $2,400 (karibu TZS 6M) kwa mwaka, lakini ndani ya miaka michache limeporomoka hadi $1,300 (TZS 3M). Tumefikaje hapa na tunatokaje?? Wachumi tusaidieni.!
Credit @MalisaGJ_

Indonesia

@filblam @HildaNewton21 Ipande au ishuke haikusaidii kitu, kama mlalahoi.
Indonesia

@ProLearner77 @HildaNewton21 Kwa akili hizi, miaka 5 baadae hiyo Gdp itashuka mpaka 700$
Filipino

@HildaNewton21 GDP siyo kigezo timamu za kupima uchumi wa watu.
Kwa kigezo cha GDP watawala wakitaka hata kesho, itakuwa $4,000 per Capita.
Filipino

@kitumbuaaa @ReganTesla_ Mila tunafanya lakini ni kwa ajili ya kujamiiana tu, ndugu wanakutana na kusheherekea...ndio maana Mbuzi akichinjwa analiwa. Mila unayoisema wewe, sadaka kama mnyama akichinjwa huwa haliwi.
Indonesia

@ReganTesla_ Vipi lakini huwa hamboost kidogo na mambo ya mila? Wengine wanaita ku,renew!
Filipino

SKIA NIKWAMBIE....
Najua umeskia sana kuhusu hii kauli ya "Kwenda kuhesabiwa" ambayo kimsingi imekuwa maarufu kwa watu wa Kilimanjaro.
Sasa ni hivi, Kama ukiwazingatia wengi ikifika December wanakuwa na shauku sana ya kurudi majumbani mwao lakini kuna siri ambayo labda wengi hatuijui..
Wengi hii shauku inatokana na kwamba kuna vitu wametanguliza huko vijiji kwao. Na wanakuwa na shauku ya kwenda kuona na wengine waone sababu huwa ni baraka.
Mfano, Unakuta mtu toka January anapambana kubadilisha kibanda cha Wazazi wake kutoka nyumba zile za mbavu za mbwa kwenda nyumba ya tofali au alikuwa anapambania kuwajengea wazazi wake ukuta wa tofali kutoka ule wa nyasi au mabanzi.
Mambo yaha ni moja ya sababu nyingine ya kuongeza shauku ya mtu kufika kijijini kwao. Sasa wakifanya wengine kuna wale ambao nao hawajafanya ila wakifika kula wakiona wenzao wamewafanyia wazazi wao basi nao wanapata hasira zaidi ya kupambana.
Ndipo sasa mtu anarudi Dar akiwa kama mbogo anaitafuta pesa kama vile aliipoteza. Basi hiyo ni moja tu ya zile sababu nyingi za watu kwenda kuhesabiwa.
Ila pamoja na yote, Kama wewe sio mtu wa wivu na unapenda maendeleo kuhusu nyumbani kwenu basi Kilimanjaro ni sehemu sahihi sana kwako kutembelea.
Nenda Rombo, Marangu, Kibosho, Sanya n.k Huko kuna watu wamefanya wonders sana na ukienda hautarudi kama ulivyotoka.

Indonesia










