ABD

60.1K posts

ABD banner
ABD

ABD

@SamataJr_12

AgriPreneur | Farmer | Family First | FLY🦅 First Love Yourself 🫶 FARMING isn’t a Job. It’s A LEGACY.

Madibira Mbarali Mbeya Beigetreten Ekim 2013
2K Folgt3K Follower
Angehefteter Tweet
ABD
ABD@SamataJr_12·
“Kila mmoja kwa karama yake, kadri yake na kudra yake” Muda hamsubiri Mnyonge✍🏻
Indonesia
2
17
69
0
BΞBΞRU
BΞBΞRU@incrediboss·
Duh! Afu Hapo Ukute Chumba ni cha Elfu50😬
Filipino
11
9
58
10.3K
ABD
ABD@SamataJr_12·
@djnsajigwa Yutong zinakwenda ratiba ya Alfajiri then usiku Bus no 1&2 zote zinakuwa Polo🔥
Indonesia
0
0
0
25
ABD
ABD@SamataJr_12·
@Cowwbama Ilinikutaga kwenye Telegram mpaka leo mwaka wa 2 siitumii tena
Indonesia
3
0
4
1K
RaHeeM
RaHeeM@Cowwbama·
Usijaribu kufuta whatsApp kama ya kuomba code kupitia WhatsApp Utalia na kusaga meno 😂😂 Code hazijiii
RaHeeM tweet media
Indonesia
9
4
66
13.5K
ABD
ABD@SamataJr_12·
@bonifacejoseph_ @mkemi4mkUu Utakuta hata uwezo wa kununua kiwanja hizo Location ulizozitaja hauna mpaka sasa😆
Indonesia
0
0
0
142
Bony 📚
Bony 📚@bonifacejoseph_·
Seriously kabisa, mtu unawezaje kuishi kibamba au Bunju?
Bony 📚 tweet media
Indonesia
15
11
172
5K
Thomas-Josephat
Thomas-Josephat@ThomasJosephat3·
Welcome to Mbarali Mbarali ni wilaya inayojulikana kama kitovu cha kilimo cha mpunga cha kisasa nchini Tanzania, hasa kutokana na vipengele hivi:
Thomas-Josephat tweet media
Indonesia
12
14
112
3.6K
ABD retweetet
Mdada Creative Decor 📐🖌️🔨
Oky guys stori time 😉😉 Client wa frem 1 alipenda kazi yangu so akaniunganisha na rafiki ake frem 2,nikamfanyia kazi poa ambayo matokeo Yake tunayaona kwa frem 4 inaendelea kukamilika finishing yake soon nitaipost kwa vipande ili tuone ilivyowaka Kipengele kinakuja frem 3. Sasa bhna frem 3 ni client wa kwanza mwenye frem 1 finishing ndani tayari ila nje ndo kama hivyo. Na hapo ndo kazi inayoendelea Sasa tukirudi kwenye main point ya hii post ni kuwa clients muwe mnachukua ushauri pia kwetu tunaowafanyia kazi ili kuepuka hasara na kuharibiwa kazi,sio mafundi wote ni waharibifu but yule ambae umeshaiona kazi yake kua ni nzuri ni vyema kuendelea nae. So alihitaji garden,nikampa budget akasema Iko juu sana hatofanya,nikasema fine! After 2 days nikaenda site nikakuta kazi ya garden inaendelea mim nilikua bado nakamilisha finishing ya nyumba😊 Akahitaji nimfanyie pergola nikampa budget kaikataa,kasema ana mtu ambae atamfanyia poa,me nikasema fine! So baada ya kumaliza kazi zangu nikasepa Hii yote ni last year, January akanichek tena client no1 kaniambia nahitaji uende pale home unishauri Nini cha kufanya ili pavutie maana ukoka wote nishaulima😀😀😂siutaki,pia naomba ukaangalie na lile pergola unisaidie kufanya marekebisho 😀🙌 kazi ilikamilika august last year guys so ni kama 5-6 months tu So after kufika nikapaangalia nikaona nimpe hii idea ambayo ndo Iko frem 3 akaipenda,akaniambia kwanini hatukufanya hiv kuanzia mwanzo? Nikamwambia hukutaka nihusike kwenye hilo Sasa kwenye pergola nimeshindwa kushare picha hapa nitashare next time kama nitalifanyia kazi! But kwenye pergola nimemwambia sifanyi marekebisho yeyote kwa jinsi nilivyoliona limeharibika😂🙌mafundi ?? So nikisema nilirekebishe litakaa muda mchache lakini issue ya lile pergola kuanguka Iko pale pale hata kama likirekebishwa dawa pekee ni kulivunja ajenge upya Sasa piga gharama za mwanzo alizotengenezea hivyo vitu na gharama niliyompa mim ya kumtengenezea kitu bora ya Sasa inakuja mara 3 yake🥹 Wapenzi cheap always is expensive, mim huwa nawaambia watu! Nitawaletea finishing ya frem 3 jinsi nitakavyomrekebishia na ilivyokua mwanzo Pia nitawaletea finishing ya frem 4 ilivyokua bomba 😉😉😉 Nawapenda ila msiache kuchagua @Mdada_Creative_Decor Unaweza kunilipa hata kwa kuja kushauri tu kama gharama zangu za kazi utaona ni kubwa,ila najua hatuwezi kushindwana kwa vitu vizur na unafuu wa mfuko wako tajir angu si ndio eeh 🤗🤗🤗 Pls retweet or tag someone kwaajili ya kujifunza haya
Mdada Creative Decor 📐🖌️🔨 tweet mediaMdada Creative Decor 📐🖌️🔨 tweet mediaMdada Creative Decor 📐🖌️🔨 tweet mediaMdada Creative Decor 📐🖌️🔨 tweet media
Indonesia
0
6
24
896
ABD
ABD@SamataJr_12·
@BusesDaily Ukienda kichwa kichwa kwa Mahaba ya kupata VIP na tiketi lako la online unaenda kukutana na ngumu kumeza uso kwa uso stend😆
Indonesia
0
0
0
40
ABD
ABD@SamataJr_12·
@Ninja_Damour Wanajulikana kitamboo tu labda kama mtu sio mfatiriaji
Indonesia
0
0
1
577
Thomas-Josephat
Thomas-Josephat@ThomasJosephat3·
Kwangu mbarali inabaki kuwa ni namba moja kwa kilimo cha mpunga nchini Tanzania Tena sio kilimo tu cha kawaida bali ni kilimo cha kisasa 1.Mashamba bora 2.Mbegu bora 3.Dhana bora na za kisasa
Filipino
8
10
60
1.9K
ABD
ABD@SamataJr_12·
@shibobo___ @Njoroge761 Hapo unafunga kipindi sasa🙌 Andaa tu jeshi la Ndege kulinda pesa
Filipino
0
0
3
92
R.M
R.M@shibobo___·
Boss kaja shamba bila kumtaarifu msimamizi wa shamba 🤣 Kumbe msimamizi katoroka kaenda kusalim mke Ila kaacha kazi saafi Mpunga unayeya. #SinyelaSchmesMbaraliMbeya
R.M tweet media
Indonesia
34
44
575
20.8K
YXNG-EMMAX 🇺🇸 🇨🇦
ONE WOMAN. FOREVER 💍 No cheating. No second chances. WHO YOU CHOOSING? 👀 A OR B
English
11
7
28
3.4K
ABD retweetet
Scenes In Film
Scenes In Film@ScenesInFilm·
She turned a simple spoon into her ultimate tool
English
66
916
11.6K
349.4K
Mjomba
Mjomba@IgnasMgidange·
@Adventure_36 Kidogo niseme ule mfereji wa wa mbarali pale rujewa
Polski
2
0
2
1.4K
Adventure-360
Adventure-360@Adventure_36·
Kwa miaka mingi, Mashauri Julius, mkulima kutoka Mkoa wa Iringa, aliishi kwenye mstari mwembamba wa kutokuwa na uhakika kwa kutegemea mvua zisizotabirika na mbinu za jadi za umwagiliaji ambazo hazikutoa dhamana ya mavuno. Kila msimu ulikuwa jaribio jipya, na kila wingu lilikuwa
Adventure-360 tweet media
Indonesia
6
25
214
18K
ABD
ABD@SamataJr_12·
@FOODiCOLTD @themkulima Skim ya Pawaga Iringa hiyo naona wameanza kuipromote ilikuwa kwenye ujenzi.
Indonesia
1
0
2
23