ABD

60.6K posts

ABD banner
ABD

ABD

@SamataJr_12

AgriPreneur | Farmer | Family First | FLY🦅 First Love Yourself 🫶 FARMING isn’t a Job. It’s A LEGACY.

Madibira Mbarali Mbeya Katılım Ekim 2013
2K Takip Edilen3.1K Takipçiler
Sabitlenmiş Tweet
ABD
ABD@SamataJr_12·
“Kila mmoja kwa karama yake, kadri yake na kudra yake” Muda hamsubiri Mnyonge✍🏻
Indonesia
2
17
74
0
ABD
ABD@SamataJr_12·
@TBoundBuses Nimekuja kukumbuka nishakata kumbe hii ABC familia nikipitia kwako kuna %
Suomi
1
0
1
9
Tanzania Bound Buses
Tanzania Bound Buses@TBoundBuses·
@SamataJr_12 Hahaha, hawa washikaji kwenye swala la mpangilio wa mabasi huwa ni changamoto sana...ila kwenye kujielezea wako vizuri sana. Oi next time hata kama unajua kukata online, nitumie pesa nikukatie ili niokote % hapo
Filipino
1
0
1
36
ABD
ABD@SamataJr_12·
Wanao Wazee wa sound kwenye Ubora wao @TBoundBuses
ABD tweet media
HT
2
0
0
93
ABD
ABD@SamataJr_12·
@__sheriii Alafu tunakatazwa mahusiano na wanawake wakubwaa kwelii🤦‍♂️
Filipino
1
0
0
214
ABD
ABD@SamataJr_12·
@ksn__14 Hakuna zimepungua siti tu
Eesti
0
0
0
11
KN,
KN,@ksn__14·
@SamataJr_12 Hii si itafanya iongezeke urefu kidogo?
Indonesia
1
0
0
14
ABD
ABD@SamataJr_12·
@ShijaDenis So 9 na 10 best option ni kuruka na 9?
Filipino
1
0
0
155
Denis_developer🐼
Denis_developer🐼@ShijaDenis·
Ukiniuliza ni Google pixel ipi naweza tumia Kwa mwaka 2026 nitakwambia pixel 9 pro sababu ni Moja ya simu Bora sana na ambayo inakupa kila kitu unachotaka kwenye simu Bora 📌
Denis_developer🐼 tweet media
Indonesia
9
2
25
1.7K
ABD
ABD@SamataJr_12·
@pkomot Enyoy the view😆
English
0
0
0
44
Prophetess ,Dr.
Prophetess ,Dr.@__sheriii·
Ushirombo,Katoro,Runzewe ni vijiji vizuri kwa kujitafuta kama kijana uliyekosa ramani.
13
10
196
13.8K
ABD
ABD@SamataJr_12·
@Aruatani Hika hii ulikula wapi?
Filipino
0
0
0
48
Aruatani✨
Aruatani✨@Aruatani·
Bei ya MISHIKAKI huko kwenu ikoje, hapa nimetumia 20k tu, 2K each ..🔥✌️
Aruatani✨ tweet media
Filipino
7
7
28
805
Lubasha Jr
Lubasha Jr@MarekaMalili·
See what m saying.
Lubasha Jr tweet mediaLubasha Jr tweet media
English
25
21
273
29.6K
ABD
ABD@SamataJr_12·
@Adventure_36 Mallessa alianza na VIP kweli ila hizi sa sasa mmh nikae kimya tu
Filipino
2
0
1
111
Adventure-360
Adventure-360@Adventure_36·
Achimwene Safari wameongeza gari mbili Marcopolo G7 chuma zinaenda moja kwa moja hadi Chunya kutokea Dar es salaam. Chunya pamoto sana, Mallessas wamepeleka VIP ya kibabe sana Ngoja tuone itakuwaje
Indonesia
4
10
127
2.9K
ABD
ABD@SamataJr_12·
@mnazi36 Kijani ya Mchina tofauti na hiyo waliopaka kwenye polo
Filipino
1
0
0
186
Mnazi😤
Mnazi😤@mnazi36·
Ukweli usemwe ii Rangi ilikubali kwenye zile Mega tu,, huku kwenye ili polo imegoma kukaa vzr
Mnazi😤 tweet mediaMnazi😤 tweet media
Tanzania 🇹🇿 Slovenščina
8
1
66
3.9K
ABD
ABD@SamataJr_12·
@fintanjr_ Unamjua mwenye hilo zaga kwanza?
HT
1
0
0
491
The champ👑
The champ👑@fintanjr_·
Maisha yanabadilika sana enzi zile za Ruge bin Mutahaba, hizi deal zote zilikuwa zinaishia mawinguni, leo kila kitu kimebadilika ,.. deal muhimu zote zinaishia kwenye media haina hata 5years kwenye game, ama kweli kila zama na zama zake✍🙌
The champ👑 tweet media
Filipino
23
26
352
17K
ABD
ABD@SamataJr_12·
@PolycarpMDM Iringa Kule Kilolo anapata eneo zaid ya hilo hapo tembea tembea Bongo kubwa sana utajionea, kule juu ukanda wa Masalali/Masege walipokuwa wanalima Ngano kuna view zaid ya hiyo
Filipino
1
0
0
234
Polycarp The Bibliophile
Polycarp The Bibliophile@PolycarpMDM·
Ukimchukua mkulima mkubwa, Ambaye anatumia setup machine kubwa kama hii. Then umlete Tanzania, Mwambie achague mkoa unaomfaa kwa Kilimo. Lazima atachagua Either Dodoma, Tabora, Singida, Maeneo kama haya ni ngumu sana kuyapata Iringa Mbeya njombe au Ruvuma.
Indonesia
13
4
53
4.6K
Mudi Mabiriani in Dubai
Mudi Mabiriani in Dubai@Mudimabiriani·
Tsh 50000/= Morocco 🇲🇦 Style Original 📍Dubai to Dar es Salaam Usafiri Kilo 1 ya mzigo $ 12 Whatsaap +971545112568 / 0719068333
Mudi Mabiriani in Dubai tweet mediaMudi Mabiriani in Dubai tweet mediaMudi Mabiriani in Dubai tweet mediaMudi Mabiriani in Dubai tweet media
Filipino
3
22
57
3.3K
ABD
ABD@SamataJr_12·
@hamzaalbhanj MKL kwanza uweke oda kule shop kwake na kulipia ndani ya week unapata mzigo wako
Filipino
1
0
0
56
hamza Lule
hamza Lule@hamzaalbhanj·
@SamataJr_12 yule mwanao MKL mfano ukiagiza JVC ya Arsenal Inatua mzizima baada ya siku ngap
Indonesia
3
0
5
443
ABD
ABD@SamataJr_12·
@BusesDaily Moja kama kikukuu cha dawa🔥
Indonesia
0
0
0
141
ABD
ABD@SamataJr_12·
@ThomasJosephat3 Ulikuwa bado sana huu mzigo aisee ameamua kwenda kuvundika ndani🤦‍♂️
Suomi
1
1
1
271
Thomas-Josephat
Thomas-Josephat@ThomasJosephat3·
Ugomvi wa wakulima na wafugaji hauwezi ukaisha leo wala kesho. Huyu mkulima baada ya kuona wenzake wote wanaomzunguka wamevuna mipunga yao nae kaamua avune tu ili wafugaji wasije wakamlishia ng'ombe mpunga wake japo ulikuwa bado kidogo kuiva.
Thomas-Josephat tweet mediaThomas-Josephat tweet media
Indonesia
3
1
45
3.5K