🤠
16.4K posts


Yani kama huyu kaniambia “I am broke”. Nipo najiuliza kwanini anapumua kama hana hela
FUNDI JUMA 🇿🇦@YcuL___
Wanaume siku hizi hawaoni aibu kusema hawana hela🤣 back in the day men used to rent cars to look loaded.
Indonesia

@mTusiOriginal Kwa nini uparamie watu usiowajua?wewe ulimfuata sababu ya umaarufu wake na kama sio basi ungekuwa umewapa hi wanaume wote waliokuwepo hilo eneo😂
Indonesia


@beipoa01 Wanawake were never assigned to have OR look for money. Women have a different assignment
English

@criannicas_ Inabidi ubadilike kabla haijawa mbaya siku moja ukajifunza the hard way kama mimi😁
Indonesia

Kuna fundi nimempata hapa Twitter,
Anitengenezee meza kama hii.
Kazi zake nimeona… fresh,
bei pia iko fresh.
Akanambia,
Inabidi nimlipe nusu,
Akimaliza namalizia pesa yote.
Lakini shida yangu…
Nimetoa hela yote kwa pamoja 😭
Hii tabia ya kumwamini mtu haraka itani-cost siku moja.
C R I A N N I C A S ♟️@criannicas_
Kwa Bongo wapi naweza pata meza kama hii?
Filipino
🤠 retweetet

@BarakaMaviatu Vyote vina umuhimu ila ukija kuangalia mianya ya hela zinazochotwa wala hakutakiwa kuwa hapo anapiga kelele
Filipino

Workshop/Viwanda vidogo vya Bilioni 8 kila wilaya au magereza kupanga ni kuchagua.
Swahili Times@swahilitimes
Serikali imesema takribani wilaya 50 hazina magereza, na kwamba ujenzi wa kila moja utagharimu takribani bilioni 8.
हिन्दी

@geofreymtemaka1 @JamiiForums Huna akili kama huyo mbunge,kwa nini wasizuie mianya ya upigaji na kupunguza gharama za kuendesha serikali?
Indonesia

@JamiiForums Mi nadhani waweke tozo kubwa zaidi ili iharakishe ujenzi wa Madarasa na tozo iwekwe kwenye pombe,laini za simu,kupiga na kupigiwa simu pia ,yangu ni hayo ,itasaidia kukuza uchumi kwa haraka
Indonesia

DODOMA: Mbunge wa jimbo la Tanganyika, Selemani Kakoso ameyasema hayo Bungeni Aprili 13, 2026 wakati akichangia Hotuba ya Bajeti ya Ofisi ya Waziri Mkuu.
Nini maoni yako Mdau?
Shiriki kwenye mjadala jamii.app/TozoMiamala
#JamiiForums #Governance #Uwajibikaji
Indonesia


@glorynnah @joharimshana Kuna mtu kasema yupo simple hana hayo mambo ni mtoto tu kaamua kuwa wa mjini,sijakubaliana naye lakini
Indonesia

Watu wa X, Mnapenda mambo makubwa 😂 nimewaona kwenye video hapo chini wote, mnaitana mpaka DM kwasababu ya huyu binti 😂.
Jaman huyu ni binti mdogo 😂 ila nimeona hapo mmesema yuko kwenye GSM family, hapana bali alizaa na mfanyakazi wa kutoka GSM aliingia kingi binti wa watu akihisi ni family member!!
Hata hiyo G wagon ni ya mama yake, Mama yake ndio well wealth na hata surgery pia kalipiwa na Mama yake! Shida moja ni mtoto wa mjini sanaa ila sio wa kuhongwa hela maparachichi 😂 kazi kwenu mlioitana DM 😂!



Indonesia

@spana_Konki Colonialism mindset ndio inapoteza hawa viumbe kudhani wazungu ni malaika na kumbe ndio wanaongoza kuwatreat vibaya zaidi,haya huyu akajaa kwa kibabu na kipara chake mtoto mdogo kisa black men mambo hayakwenda alivyotaka na greedy imemletea kifo
Indonesia

Wana: Atakuua
Masista doo wa soft life: Beautiful, Happy for you 😘, Yes Sista, May this kinda love find me 💀 lmao
Kuna kundi ni wanafiki dhidi ya wenyewe always ila sijui ni lipi hapo

Alban 🇨🇩@albanene
MULTIPLE people have warned her WEEKS ago. It’s almost as if she wanted this to happen.
Indonesia

@IgoraIrene32964 Jinsi unavyotuuza ndio unatupa connection mpya,tunakupenda pia😂😂
Filipino









