Mtumshamba2

1.1K posts

Mtumshamba2 banner
Mtumshamba2

Mtumshamba2

@hozza139

Beigetreten Aralık 2023
148 Folgt53 Follower
Mtumshamba2
Mtumshamba2@hozza139·
@fadhilikangusi Ni sahihi kwenye hizo age wengi ndo wanajitafuta na kwa huo umri pia ndo wanaongoza kukataa mimba na kufanya dada zetu wahangaike peke yao kulea.
Indonesia
1
0
1
63
Fadhili Kangusi
Fadhili Kangusi@fadhilikangusi·
@hozza139 Huyo anasikiliza stories za vijiweni, bila kuzingatia logic. Uchumi mbaya, unaleta mtoto aje kuteseka?
Indonesia
1
0
2
256
Mtumshamba2
Mtumshamba2@hozza139·
@lai_babu @444holywitch We unauhakika gani utawalea hao watoto wako wote kuna wangapi wamezaa na wakafa on the sport kila kitu kinapangwa na Mungu ukilijua hilo wala husumbuki.
Filipino
0
0
0
15
Babu Lai
Babu Lai@lai_babu·
@hozza139 @444holywitch Huo uzao wako nani ataulea ukizaa uzeeni? Ndo mnataka muache mayatima wazurure kwa ndugu wanyanyasike kisa ubinafsi wako wa kutaka kula ujana🚮
Indonesia
1
0
0
12
888
888@444holywitch·
Ni mitandao na pressure za jamii ila sio kitu cha ajabu kutokuwa umeoa au kuolewa ama kutokuwa na mtoto katika miaka 30's. Umri ni namba, kuzeeka ni hisia.
Indonesia
13
36
227
24.2K
Mtumshamba2
Mtumshamba2@hozza139·
@Maleyadam @kasesco_tz Utammiliki mtu aliye na familia yake na maamuzi yake mwenyewe? Mwisho wakummiliki mtoto ni pale anapoanza kujitegemea mwenyewe wewe unabaki kuwa mshauri wake either anaweza kukubali ushauri wako ama kuukataa na usimfanye chochote.
Indonesia
0
0
0
24
kasesco☆
kasesco☆@kasesco_tz·
Busara zenu kidogo,mwanamke akiolewa kwa ndoa akifariki anayetakiwa kuamua azikwe wapi ni mume wake au wazazi wake...?
Indonesia
51
40
287
21.7K
angel bellerin02
angel bellerin02@angelbellerin02·
Sina picha nzuri itakayowekwa kwenye msiba but hii sio mbaya msije sema marehemu anapenda filter kbbk 😂😂😂🫵
angel bellerin02 tweet media
Indonesia
118
56
550
21.6K
The mandevu
The mandevu@ze_mandevu·
Msikute kuna Couple haijawahi vaa Cargo Pant 😂💔 Tazama video kwenye Comment hapo 🔥
The mandevu tweet media
Filipino
18
21
198
10K
Mtumshamba2
Mtumshamba2@hozza139·
@SalvYN_ @AmRosalinee Ee mwanangu zamani hapo zilikuwepo gari zakwenda Malimbe na Nyegezi kwa ujumla kipindi hicho kwa sasa sijui maana ni kitambo imekuwa.
Indonesia
1
0
0
9
Mtumshamba2
Mtumshamba2@hozza139·
@gratian_barbosa wasiocheza uefa utawapata ila wenye timu zinashiriki kule labda uende na dau nono na mshahara mkubwa umshawishi kama Nyumba vile walisajili kipindi kile.
Indonesia
0
0
0
6
Barbosa
Barbosa@gratian_barbosa·
@hozza139 Nyumbu mbona aliwapata kaka
Indonesia
1
0
0
27
Barbosa
Barbosa@gratian_barbosa·
Kulingana na vyanzo vyangu vya kuaminika inasemekana next summer tunaenda kusajili mbadala wa Luis Diaz na Cody Gakpo na jina linalotajwa ni Kernan Yildiz🙌🏻 bila kusahau Michael Olise kama ideal replacement ya Mohamed Salah. Tunaenda kuwa tishio kubwa sana kwa miaka 10 ijayo.
Indonesia
40
17
204
6.6K
Mtumshamba2
Mtumshamba2@hozza139·
@AlexSamoja Ukijua kuwa humu wajinga ni wengi huwezi hata kuumiza kichwa chako.
Indonesia
1
1
2
148
Sekenke One 🌻
Sekenke One 🌻@AlexSamoja·
Humu ukisiliza watu huwezi kuoa 😁😁😁
Sekenke One 🌻 tweet media
Indonesia
18
10
68
4.1K
Balyx
Balyx@Balyx_·
A legend than Gerald in my book
Balyx tweet media
English
4
3
83
2.2K
Adv.Innocent⚖️
Adv.Innocent⚖️@Adv_innocent·
An era has ended. The unstoppable Salah,Firmino,Mané front line is no more. Liverpool will never feel the same. 🥲🥲🥲💔💔
Adv.Innocent⚖️ tweet media
English
9
17
90
1K