Adam male
5.8K posts

Adam male
@Maleyadam
Stan culture is fan culture# #Now or Never/ #Now and Forever
Botswana Katılım Nisan 2015
124 Takip Edilen427 Takipçiler

Nikki wa II, ana hits nyingi kuliko Nikki mbishi, though Nikki mbishi got many classics than Nikki wa II. 😎
Adam male@Maleyadam
@MTENGENEZSAFINA Nahisi unamzungumzia Nikki wa II.
Eesti

@MabalaMakengeza @lwaitama1 Jamaa mzembe kulima sikia;
1. Ujumbe wake unalingana na mafundisho ya Mungu
2. Tabia na maisha yake binafsi
3. Matunda ya kazi yake kwa watu
4. Ishara au Miujiza (Ila siyo lazima mabala)
5. Utambuzi rasmi wa waumini hasa huku katoliki ipo hii
—Mungu ndiye anayejua nani kamtuma!
Indonesia

@lwaitama1 Hivi unatumia vigezo gani kuamua nani ameletwa na Mungu na nani hajaletwa? Wakatoliki wana vigezo vya wazi vya utakatifu tuambiwe vyetu vya umungu
Indonesia

@iamFallacy Kwa nadharia labda Kusini mwa Iraq au Uturuki mashariki.
NB; Wataalamu wengi wanaamini simulizi la Eden linaweza kuwa la mfano wa kiroho (symbolic) badala ya ramani halisi ya mahali pa sasa.
—-Bible ni ngumu sana Mjomba🥲😓😓—-
Indonesia

@iHumphreyz Drive Slow JCB Ft. Prof Jay
Punguza kasi kuna upepo mkali
120 haifai 80 afadhali
Filipino

Last weekend nimesafiri na jamaa wa IT, mwamba kapiga masaa 6 Oilcom VETA pale to Ruaha Mbuyuni, nilimvulia kofia 🙌🏽
Kona anapiga na 120, anatembea na 140, halafu yuko na Wish 1ZZ Engine
Lubasha Jr@MarekaMalili
Siku moja tunatoka Moro na ile benzi inamaliza 220 nawe umekataa basi tuandae Msiba 🤣
Filipino

Nikki ana hit Moja tu play boy Tena sababu ya Ben Paul.
Kwaambaali Kila siku sababu ya Godzilla na belle 9.
Kill yourself sababu ya Zilla.
Kitu kama mathematics inakuwa hit unadiss gavoo hawaogopi??
Ndio Mzee unaomba kula kwa wananchi inakuwa hit huogopi??
Nikki kawaokota maboya
N I N J A@Ninja_Damour
Kanyimwa uwezo na nani ? Hv mnadhani kuandika Ngoma ikawa hit ni rahisi 😂😂😂 kuona dude linalia kwenye mabajaji,boda boda, daladala mnadhani easy eeh..
Indonesia

Wanangu mambo ya siwezi mengi.
Mara ya kwanza ilivyo toka Business mind Ninja akaachika Tukusa yake mkasema angetulia haya juzi Tukusa na Leo Aznas kaja na hii mnasemaje.
Acheni Utamaduni uongee hapa kazi juu ya kazi.
🔥🔥🔥🔥🔥🔥
youtu.be/pgPtAmgU5dM?si…

YouTube
Indonesia

@VungaEl74 To Add More;
Hotuba Bora kuwahi kutokea Duniani;
1. Jesus Christ
2. Martin Luther King Jr.
3. Nelson Mandela
4. Winston Churchill
5. Barack Obama
6. Julius Nyerere
7. Kwame Nkrumah
Filipino

@raheliiiiiih @MarekaMalili Dogo raheli😄 stage za gari mafanikio zimevukwa….ni basic necessity✌️
Slovenščina

@she_is_nancy255 Waiter wa Dagaa dagaa kimara ukiwa na sare umedhurumiwa Pesa ya Bia🤣
Indonesia

@Adventure_36 Muda halisi wa safari kwa gari jamaa angu ni takribani km 540–56 sisi wahonga nyundo wa barabarani muda wa kawaida: masaa 6:30 hadi 8 na hapo Kwa mwendo wa haraka sana bila kusimama…..Lakini ukitaka kujaribu sawa😆😃
Indonesia

@EduTalkTz Rungwe Boys walijiita UKAME SOLDIERS.
——sikuww kwenye hiyo kikosi——-
Indonesia

Wapiga nyeto Tanzania, kuna ujumbe wenu mzuri sana hapa. Kule Kigonsera tulikuwa tuna chama kabisa kinaitwa CHANYETA (Chama cha Wapiga Nyeto Tanzania).
University of Oxford@UniofOxford
'Male masturbation may have an adaptive benefit: it flushes out damaged, stored sperm.' New Oxford research suggests that the longer sperm are stored before ejaculation, the lower their quality, with implications for men trying to conceive and IVF treatment. Find out more ⬇️
Filipino

@benonesmo1 @kasesco_tz Mkuu ndo maana nimesema tu hii kwa watoto Wangu🙏
——-Naamini hata wenza wao watabidi walijue hilo mapema!
Indonesia


@kasesco_tz Tola anakula gizani
Sadick na Chitemo
Hawa wote huku MBINGA tuliwasoma Form 3
Filipino













