Leonard Ritte
3.3K posts


Tuliwambia chama “kimekufa” mkakomaza mafuvu kwamba kiko mioyoni mwa watz, Leo mnajionea yaani mkutano wa Kanda ya Serengeni yenye mikao zaidi ya mitano Uzinduzi wa Ofisi umekuwa kama kikao cha ukoo watu hawazidi 25 mamae.
Hapa Dar napo Mkutano wa Kibamba ambao Makamu mwenyekiti Taifa John Heche ameongoza, hawataki hata kurusha picha maana ni aibu, Wanatembeza picha alizokwenda Magufuli Stendi na kujichekesha.
Kwasasa CUF na UPDP wanajaza watu kuliko hiki kigenge cha wanaharakati uchwara…. Na bado ngoja iishe miaka miwili hivi, mbona baadae mtashindwa hata vikao vya mtawi tu.😂
Chama pekee imara na kinachoaminika na Wananchi ni Chaumma tu



Indonesia
Leonard Ritte retweetet

يعمل دواء مونتيلوكاست (Montelukast) كمضاد انتقائي لمستقبلات الليكوترين من النوع الأول (CysLT_1).
الليكوترينات هي وسائط التهابية قوية مشتقة من حمض الأراكيدونيك والتي تلعب دوراً محورياً في إحداث تضيق القصبات الهوائية وتعمل على زيادة نفاذية الأوعية الدموية وإفراز المخاط.
يُفضل تناوله مساءً للأسباب العلمية التالية:
الإيقاع الحيوي لليكوترينات (Circadian Rhythm): حيث أن الدراسات السريرية أثبتت أن تركيز الليكوترينات في الشعب الهوائية يرتفع بشكل ملحوظ خلال ساعات الليل المتأخرة والذي يسهم في حدوث "تضيق القصبات الليلي".
بالنسبة للحركية الدوائية (Pharmacokinetics):
يصل المونتيلوكاست إلى ذروة تركيزه في البلازما (C_{max}) بعد حوالي 3 إلى 4 ساعات من تناوله عن طريق الفم لذا فإن تناوله في المساء يضمن تزامن ذروة مفعول الدواء مع وقت الارتفاع الفسيولوجي لوسطاء الالتهاب ليلاً.
بالأضافة إلى تحسين وظيفة الرئة (FEV_1): حيث أظهرت التجارب السريرية أن الجرعة المسائية تحقق تحسناً أكبر في "حجم الزفير القسري في الثانية الأولى" (FEV_1) عند الاستيقاظ مقارنة بالجرعة الصباحية.
دمتم بخير
العربية
Leonard Ritte retweetet

Correct answer: C. Causes DNA damage
Mechanism of action of Metronidazole:
Metronidazole is a prodrug.
In anaerobic organisms (like Bacteroides, Clostridium, Entamoeba, Giardia), it undergoes reduction by microbial enzymes (ferredoxin-linked pathways).
This generates reactive nitro free radicals.
These free radicals:
Damage DNA
Cause strand breaks
Inhibit nucleic acid synthesis → cell death (bactericidal/protozoacidal)
Why other options are wrong:
A. Cell wall synthesis inhibition → e.g., β-lactams (penicillin)
B. Protein synthesis inhibition → e.g., aminoglycosides, macrolides
D. Folic acid synthesis blockade → e.g., sulfonamides, trimethoprim
English

Mimi ni mwanademokrasia na mpenda mabadiliko lakini kuna muda Nikiangalia post za wanaharakati, unaona kabisa hawana uelewa na siasa za Dunia au hawajajifunza kutokana na historia. Ni hivi, Kama watanzania tunataka mabadiliko au katiba mpya basi tuendelee kushikana mashati mpka ipatikane Kama kenya na nchi zingine.
Haya mawazo ya kuomba eti kiranja wa Dunia aje kufanya mapinduzi, hayana tija. Jumuia ya kimataifa wala haijali kuhusu maisha yetu as long as wao wanapata maslahi yao. Angalia kilichotokea Venezuela. Walidai lengo ni kuleta demokrasia lakini baada ya kumkamata Maduro na kuhaikishiwa Mafuta na Raisi mpya wakaondoka.
Wale wote waliongia mtaani kushangilia, wakawekwa ndani na serikali ile ile. Imagine Kiranja wa Dunia aje amkamate Samia afu amuache Nchimbi huku akila dili nono za madini. Sisi tumefaidika nini hapo? Si CCM ile ile?
Wakija watu kufanya mapinduzi chini kwako it means wanatumia resources kufanya hiyo kazi. Hizo resources lazima mzitapike na rasilimali zenu. Tena mara nyingi wanaweka kiongozi kimeo kabisa ambaye watamtumia vizuri.
Hata Iran, kuna kauli zinatolewa unaona kabisa lengo sio kuleta demokrasia. Demokrasia ikija Iran, wao watafaidika nini?
Look around africa. Viongozi wanafikisha miaka 40 madarakani. Hizo jumuiya zinawapongeza kila uchaguzi na balozi zao bado zipo kwenye nchi husika. Angalia demokrasia ilivyolazimishwa nchi za kiarabu kwa miaka mingi, leo Marekani wameondoka nchi husika, Wamerudi kulekule or even worse.
Mabadiliko ya kweli lazima yatokee ndani sio nje.

Indonesia

Asante sana mheshimiwa waziri mkuu. Pamoja na majukumu mazito uliyonayo lkn umeweza kuona ujumbe wangu.
Mawasiliano yangu nimeshakutumia na nipo tayari kukupa ufafanuzi kwa undani kwa faida ya taifa hili.
Mungu akubariki sana kwa uchapakazi wako na kutoaacha kutufikia kila mmoja
Mwigulu Nchemba, PhD@mwigulunchemba1
Hujambo ndugu, nimepokea swali lako. Tafadhali nipatie mawasiliano yako ili niweze kupata ufafanuzi zaidi na kulifuatilia ipasavyo.
Indonesia

@LusajoNdussa @AlexSamoja @CavityDamas23 @fintanjr_ @heisnabeel @goldenmvrs Una uhakika hawa ni mademu?
Indonesia

Mwanangu niliesoma nae leo nimekutana nae kwanza kanionea sana huruma kasema nitafute sana pesa kwa sasa yeye ni mmiliki wa kampuni ya ukodishaji magari suala la milioni 50 kwake sio jambo dogo.
Amenishauri kwa lugha ya moto sana nimepokea ushauri wote kwa moyo wa shukrani kanambia anko unachelewa sana.
Muda huu nimemuuliza Mungu au kuna namna nakosea kutuma maombi yangu kwake.
Oya umaskini nikikukamata😁🫵🙌
Filipino

Jamaa kamkuta mwanamke mmoja pale Ferry analia….
JAMAA: Nini shida mama angu?
MDADA:Heri nife, maisha yamenishinda
MJAMAA: Huna haja ya kufa, sikiliza mimi ni baharia na meli yetu inaenda Ulaya leo, kama unataka ingia kwenye boksi nikakufiche stoo, meli ikitia nanga Ugiriki, nakutoa ukatafute maisha huko. Bibie akaona heri hilo akaingia kwenye boksi, jamaa akambeba na mdada akajikuta yuko kwenye stoo moja wapo katika meli, jamaa akawa anamletea chakula kila siku na mara nyingine yeye mwenyewe analala huko kwenye hako kastoo kama binadamu wengine walio kamilika walikuwa wanafanya na ya kwao huko huko kwahyo safari ilikuwa nzuri hasa kwa jamaa, kila mara akimhakikishia mdada kuwa wameshapita visiwa vya Komoro, siku nyingine akimwambia wako India. Zilipita wiki mbili ndipo yule mdada akagundulika na nahodha wa chombo hicho.
NAHODHA:We unafanya nini humu?
MDADA:Chonde naomba msinitupe baharini, nilindeni mkifika Ugiriki mnishushe
NAHODHA: Unajua mbona sikuelewi? Mdada akalazimika kumueleza nahodha ishu nzima.
NAHODHA:Dah wala usipate taabu sikutupi popote, ila jamaa yako kakudanganya hii si meli ya kwenda Ulaya ni pantoni ya kwenda Kigamboni, umekuwa unazunguka hapa hapa Dar siku zote hizo, haya tukifika Kigamboni shuka...
Ila nyie🫵🫵

Indonesia
Leonard Ritte retweetet
Leonard Ritte retweetet

A) Penicillin.
✓Scarlet fever- It is Caused by Group A beta-hemolytic Streptococcus producing erythrogenic toxins, leading to the characteristic "strawberry tongue" and sandpaper rash.
✓Drug of Choice: Penicillin V (oral) or Amoxicillin for 10 days remains the gold standard to ensure bacterial eradication and prevent post-streptococcal sequelae.
• Complication Prevention: Timely antibiotic therapy is critical specifically to prevent Acute Rheumatic Fever, though it may not prevent Post-Streptococcal Glomerulonephritis.
• Alternatives: In cases of documented penicillin allergy, first-generation cephalosporins (if non-anaphylactic) or macrolides like Azithromycin are the preferred secondary options.
English
Leonard Ritte retweetet

Inashauriwa kutovaa chupi wakati wa kulala ili kuruhusu mwili kupumua vizuri
#ElimikaWikiendi
Indonesia















