
Prince
4.1K posts

Prince
@lughxt11
#Feather ruffler #philanthropist # SDG 11
Tanzania Beigetreten Ekim 2021
512 Folgt1.1K Follower
Angehefteter Tweet

@Mrs_Pappi mimi mwanamke wangu tulioana tuna miaka minne kweny ndoa sasa na wote tulisoma koz moja hapohapo ardhi university tunapendana sana na tuna mtot mmoja na mwingne anakuja soon tu before mwaka kuisha. Cha umuhimu ni kupendana
Indonesia
Prince retweetet

@lughxt11 @Ntobi_ @zittokabwe Kani block mwambie siasa za uvumilivu alizo zikimbia Chadema kazifata kigoma mbona hana staha sna block wapiga kura wake 😆


@Ntobi_ @zittokabwe Mada zinazo hitaji akili unatakiwa utulie sio kuweka uwingi wa comment subiri mada za kumsifu Zito zikija uta tagiwa hapa acha wenye afya ya ubongo wajibu
Indonesia

@Thommunkondya @mhdhamad @kitilam 🤣🤣🤣achana na umri wangu. Kwanza niajiri lapex na mimi niache kua jobless
Indonesia

@sapro_phyticus4 Binafs nakusapoti. Maisha yenyew haya magumu kwann uteseke wakat Dada yupo? Angekua wakiume alafu anakaa kwa Dada yake hapo ndo ingekua mtihan kidogo ila sion sababu ya kumdis kisa kukaaa kwa dada
Filipino

@Thommunkondya @mhdhamad @kitilam I'm sorry to say this ila ulivyoiweka hio "toka wee" ni too softly which substitute to gayish unless you're female of which you aren't. KAZA BRO.
English

Watu wanakaza tu fuvu.System ndo iliopo hio lazima uonyeshe kweny interview na interview ni kiingereza.Unatak ni hivyo,hutak ni hivyo unless uwe wa mamb ya practical kam software ambapo utapewa utengeneze program au ufanye certain coding ila wengine esp social science jua kimombo
MTANZANIA 🇹🇿@GilbertPaul095
Nimeitwa Sehemu kuwafanyia INTERVIEW wasomi wa BONGO, ENGLISH ni changamoto kwa WASOMI wetu. Mhitimu wa CHUO anashindwa hata kujieleza kwa Dk 1 tu🥹🥹🥹🥹🥹🥹
Filipino

@thomasjkibwana Brother @thomasjkibwana kwan mbona hata ile ya Nigeria, Dangote alipewa mkopo wa dola billion kumi na benk ya kiafrica tena ni @afreximbank. Sasa hata huku kwetu hao vigagula wakikaza si finance inafanyika inside tu. Au shida ipo wap?
Indonesia


















