
Prince
4.1K posts

Prince
@lughxt11
#Feather ruffler #philanthropist # SDG 11
Tanzania Katılım Ekim 2021
511 Takip Edilen1.1K Takipçiler
Sabitlenmiş Tweet

@Mrs_Pappi mimi mwanamke wangu tulioana tuna miaka minne kweny ndoa sasa na wote tulisoma koz moja hapohapo ardhi university tunapendana sana na tuna mtot mmoja na mwingne anakuja soon tu before mwaka kuisha. Cha umuhimu ni kupendana
Indonesia

@lughxt11 @Ntobi_ @zittokabwe Kani block mwambie siasa za uvumilivu alizo zikimbia Chadema kazifata kigoma mbona hana staha sna block wapiga kura wake 😆


@Ntobi_ @zittokabwe Mada zinazo hitaji akili unatakiwa utulie sio kuweka uwingi wa comment subiri mada za kumsifu Zito zikija uta tagiwa hapa acha wenye afya ya ubongo wajibu
Indonesia

@Thommunkondya @mhdhamad @kitilam 🤣🤣🤣achana na umri wangu. Kwanza niajiri lapex na mimi niache kua jobless
Indonesia

@sapro_phyticus4 Binafs nakusapoti. Maisha yenyew haya magumu kwann uteseke wakat Dada yupo? Angekua wakiume alafu anakaa kwa Dada yake hapo ndo ingekua mtihan kidogo ila sion sababu ya kumdis kisa kukaaa kwa dada
Filipino

@Thommunkondya @mhdhamad @kitilam I'm sorry to say this ila ulivyoiweka hio "toka wee" ni too softly which substitute to gayish unless you're female of which you aren't. KAZA BRO.
English

Watu wanakaza tu fuvu.System ndo iliopo hio lazima uonyeshe kweny interview na interview ni kiingereza.Unatak ni hivyo,hutak ni hivyo unless uwe wa mamb ya practical kam software ambapo utapewa utengeneze program au ufanye certain coding ila wengine esp social science jua kimombo
MTANZANIA 🇹🇿@GilbertPaul095
Nimeitwa Sehemu kuwafanyia INTERVIEW wasomi wa BONGO, ENGLISH ni changamoto kwa WASOMI wetu. Mhitimu wa CHUO anashindwa hata kujieleza kwa Dk 1 tu🥹🥹🥹🥹🥹🥹
Filipino

@thomasjkibwana Brother @thomasjkibwana kwan mbona hata ile ya Nigeria, Dangote alipewa mkopo wa dola billion kumi na benk ya kiafrica tena ni @afreximbank. Sasa hata huku kwetu hao vigagula wakikaza si finance inafanyika inside tu. Au shida ipo wap?
Indonesia


Past Atletico Madrid kwenda wapi? Kufanya nini? Kwasababu gani?
WelBeast@WelBeast
Arsenal fans, If we go past Atletico Madrid, who would you rather we play in the Champions League final. PSG or Bayern Munich?
Filipino

@Thommunkondya @mhdhamad @kitilam Ukikompea na wanaocontest hio position ya board member we ni mweupe ndio. Kingine kibaya wewe ni chawa alafu umepitiliza sasa. Intellectuals hawafanyi uchawa wa design yako
Filipino

@Kawambwa01 @Robyn062 Hana hata kombe. Unapomzungumzia Enrique unazungumzia mtu aliebeba UEFA na team ambayo haijawahi kubeba UEFA
Indonesia

@Thommunkondya @mhdhamad @kitilam Kwa lipi haswa mpaka nikuonee wivu? Mimi nakuambia ukwel zaid labla useme nina hasira na wauaji, watekaji, majizi,mafiraji na mafisadi
Indonesia

Sasa @HecheJohn, kweli CCM ndiyo imenunua magari hadi kusababisha foleni?
Foleni ni matokeo ya ukuaji wa uchumi wa watu binafsi na maendeleo ya maeneo yetu.
Wakati huo huo, Serikali ya CCM inaendelea kuwekeza kwenye ujenzi na uboreshaji wa miundombinu, hata hapo ulipo, ukiangalia kulia kwako, utaona Mkandarasi yuko site na kazi inaendelea.
Tuangalie mambo kwa uhalisia badala ya kutoa kauli zisizo na msingi.
Indonesia

Hio mashine kwenye Boda Ilinikosa ya Kichwa pale kibiti sitosahau🥲 risasi ina ukubwa wa 30mm kmmmke😂😂
AYATOLLAH NETANYAU@NyangasiAl51155
@SeekNaturalLife angenipa mawili matatu hapa
Indonesia
















