James sasuni retweetet

@amrisaly @Mike_IFX Kwa hapa X mimi naona ungeandaa challenge ambayo zawadi zingekuwa ni pc 10 za 200k au pesa kiasi cha 100k kwa watu 20 kwa kigezo cha kila mtu kutaja ni kitu gani ambacho angehitaji kuifanyia hiyo hela baada ya hapo ukutane nao na kuwaelekeza trading
#IntelligenceFxCare
Indonesia

















