James sasuni

1K posts

James sasuni banner
James sasuni

James sasuni

@moses297

dream is to change home before impressing the street

Dar es Salaam, Tanzania Katılım Ocak 2023
58 Takip Edilen579 Takipçiler
James sasuni retweetledi
Rezam Six
Rezam Six@rezam06·
@amrisaly @Mike_IFX Kwa hapa X mimi naona ungeandaa challenge ambayo zawadi zingekuwa ni pc 10 za 200k au pesa kiasi cha 100k kwa watu 20 kwa kigezo cha kila mtu kutaja ni kitu gani ambacho angehitaji kuifanyia hiyo hela baada ya hapo ukutane nao na kuwaelekeza trading #IntelligenceFxCare
Indonesia
5
140
163
17.9K
James sasuni retweetledi
SportsArenaTz
SportsArenaTz@SportsarenatzTz·
🚨 STARS, ZAMBIA BYE-BYE AFCON 👋👋
SportsArenaTz tweet media
HT
33
24
1.6K
37.2K
James sasuni retweetledi
Malkia Nyuki 👑
Malkia Nyuki 👑@nyuki_malkia·
Ni kitu gani kipya unatamani ujifunze kwenye sex ila unaogopa?
Indonesia
69
31
741
121.7K
James sasuni retweetledi
N!GGAH
N!GGAH@AC_BiSHOPP·
Content huisha... ulizeni huyu
N!GGAH tweet media
Català
2
14
22
435
James sasuni retweetledi
Philip🇰🇪™
Philip🇰🇪™@its_PhilipKE·
Mliamua sitawahi fika 10K nais
Indonesia
3
18
33
581
James sasuni retweetledi
SportsArenaTz
SportsArenaTz@SportsarenatzTz·
Mama mzazi wa mshambuliaji Kylian Mbappe amekiri kulumbana na mwanaye baada ya kuhitaji alipwe asilimia 50 ya kile anachovuna mchezaji huyo ndani ya uwanja. . Mama wa mshambuliaji huyo wa Paris Saint-Germain, mrembo, Fayza Lamari ndiye wakala wake. Lakini, mama huyo aliyekuwa mchezaji wa mpira wa mikono, 49, alimkasirisha mwanaye baada ya kumwambia anahitaji nusu ya Pauni 46 milioni ambazo analipwa mshambuliaji huyo huko PSG. . Fayza alisema namna alivyojibiwa na Mbappe baada ya kutaka alipwe nusu ya mapato yake, alisema alichojibiwa na mwanaye: “Siwezi kukupa hiyo asilimia 50. Una tatizo gani? Mimi ndiye nafunga mabao, wewe unataka nusu ya mapato kwanini?” . Mbappe mkataba wake huko PSG utafika tamati mwishoni mwa msimu huu na amekuwa akihusishwa na mpango wa kwenda kujiunga na Real Madrid. Hata hivyo, ripoti za hivi karibuni zinadai PSG imeweka ofa ya kumlipa Mbappe Pauni 86 milioni kwa mwaka ili kubaki na huduma ya mchezaji huyo kwenye kikosi chao.
SportsArenaTz tweet media
Indonesia
99
51
1.9K
183.4K