Peter Helpeter Luena
10.7K posts

Nilisikia tangazo redioni kuwa @TFSAgency Dodoma wanawakaribisha wakazi wa Dodoma wakachukue miti kwa ajili ya kupanda kipindi hiki cha mvua. Jana nikaenda @TFSAgency Nursery Site iliyopo Mailimbili ambayo ni 15 km kutoka ninapo ishi. Kufika pale nikakutana na wadada wawili nikawaeleza kuwa nimesikia tangazo na nimeitikia wito. Wakaniuliza unataka miti mingapi? Nikawaambia miti 20 wakaniambia utaratibu niandike barua ya maombi ya miti 20 nipeleke @TFSAgency makao makuu nikipewa majibu ndio niende nikachukue miti 20 😂 Kutoka Nursery Site mpaka TFS HQ not less than 7 -10km nikawapigia hesabu ya mafuta inakuja zaidi ya kununua miche 20 nikawashauri basi wapande wenyewe wasisumbue watu ajabu walikasirika sana licha ya kuwaelekeza na kuwaonyesha projects zangu za upandaji miti na nikawaonyesha jumapili ya tarehe 18 January nilinunua miche ya thamani ya 78,000 Morogoro na kuja nayo Dodoma ila kwa hasira waliyokuwa nayo hawakutaka hata kuona picha kwenye simu 🥹. Baadae nilimtafuta Mhifadhi mkuu anaesimamia kitaluna kumshauri ili kuondoa usumbufu ni vema barua zingendikwa kitaluni na approvals zingekuwa pale pale kituoni ili kurahisisha zoezi ajabu na yeye akakasirika na kukata simu. Wanaouza miti wakaniambia watu wengi wakienda kuchukua miti wanakwama na kuishia kununua kwao. Na hata niche ya mwaka jana haikuisha.