
@Adventure_36 Nzegeli msimu uliopita aliumia tena mda mrefu mechi za makundi alizikosa kama zote
Indonesia
joseph msusi
7.4K posts





Hatutakiwi kuingia msimu ujao tukiwa na Yao, Boka, Assinki, Sureboy, Farid, Kibwana. Hawa ni wa kuondoka.






Timu kubwa imepata sare inasikitika kama imefungwa huku timu ndogo inapata sare inashangilia. Na huu ndio utofauti wetu🧠


