Soma hiyo hiyo biblia, huku utajibiwa na ambao hawajaisoma kabisa.
DIGGALLER💯@Danford_tz
Kwahiyo Yuda Iskariote Alijinyonga au Alianguka akapasuka tumbo?? Biblia imenichanganya hapo!
Indonesia
Kayanda
2.8K posts

Kwahiyo Yuda Iskariote Alijinyonga au Alianguka akapasuka tumbo?? Biblia imenichanganya hapo!

Leo ndo nimegundua kuwa hivi vi upele vya kwenye uskani viliwekwa ili kuwasaidia madereva vipofu kuweza kutambua sehemu ya kupigia honi wakati wa safari🙌. Noma sana.

Millennials mjue hatujasahau mlikua mnaita smartphone "touchscreen "

@StoneSaphia mnofu wa kuwekea love bite huo😍