NZUKI🐝

19.6K posts

NZUKI🐝 banner
NZUKI🐝

NZUKI🐝

@AllyGoa

Arsenal & Simba Fan | Self Made

Dar es Salaam, Tanzania Se unió Eylül 2012
2.2K Siguiendo5.1K Seguidores
Tweet fijado
NZUKI🐝
NZUKI🐝@AllyGoa·
Kila Mtu na MTAJI wake yaaani👌🤸‍♀️
NZUKI🐝 tweet media
Indonesia
17
12
174
0
NZUKI🐝
NZUKI🐝@AllyGoa·
@EsirEid Mtu kashaambiwa wanakarata mpya Vita ikianza hapo anahaha kuijua karata😂😂
Filipino
0
0
0
41
Lubasha Jr
Lubasha Jr@MarekaMalili·
Dj choka anagonga dialysis 🙌🏼
Filipino
49
24
523
43.3K
BARADHULI
BARADHULI@Baradhuli2·
WANAWAKE WAKUTANA NA WANAWAKE WENZAO.
BARADHULI tweet media
Filipino
15
20
35
3.5K
ProsperNow.
ProsperNow.@prossoff·
Tuseme ukweli. Wafanya kazi wa serikali HAWAFANYI KAZI. Ni moja ya kundi la watu linalokula good time katika haya maisha. Sio kweli kwamba madaktari hawapo. Wapo ila kila huyo ni mkubwa na wana siku zao za kazi. Mtumishi wa kata nae anabiashara zake( mara ana ki gari anaendesha siku nzima) Mwalimu anafundisha kidogo anachukua probox yake anaenda kupiga hela. Serikali ina usimamizi hafifu sana juu ya watumishi huko makazini. Huko halmashauri watu wanakula maisha tu.
Filipino
86
67
663
30.2K
NZUKI🐝
NZUKI🐝@AllyGoa·
@angelish17 Hata mimi ningepata hela ningeenda kuliagua hili deni
Indonesia
1
0
4
1.8K
Angel17💞
Angel17💞@angelish17·
Watu wana moyo
Angel17💞 tweet media
Indonesia
30
10
235
41.1K
millardayo
millardayo@millardayo·
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais – Maendeleo ya Vijana, Joel Nanauka amesema serikali inaendelea na utafiti wa kuanzisha Benki ya Vijana itakayolenga kutoa huduma za kifedha zinazokidhi mahitaji ya vijana Nchini. Amesema hayo wakati akiwasilisha hotuba ya Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Wizara hiyo kwa mwaka wa fedha 2026/27, akieleza kuwa hatua hiyo inalenga kuweka msingi imara wa taasisi maalum ya kifedha itakayowawezesha Vijana kupata mitaji kwa urahisi. “Dhamira ya Serikali ni kuweka msingi wa mfumo wa kifedha unaoendana na mazingira na uwezo wa vijana wengi, hususan wale wanaoanza shughuli za kiuchumi, ili kuondoa vikwazo vilivyopo katika upatikanaji wa mitaji. Benki ya Vijana, itakayoanzishwa, itakuwa chombo muhimu cha kimkakati kitakachowezesha upatikanaji wa huduma za kifedha zilizo rafiki kwa vijana, kuchochea ubunifu wa bidhaa za kifedha zinazolingana na mahitaji yao, kupanua wigo wa uwekezaji wa vijana, na hatimaye kuongeza ajira na mchango wa vijana katika kukuza uchumi shindani na jumuishi wa Taifa,” Mhe. Nanauka - Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais – Maendeleo ya Vijana. #MillardAyoUPDATES
Indonesia
26
3
65
7.9K
NZUKI🐝
NZUKI🐝@AllyGoa·
@Jeba_OG Ode timu yake inaongoza ligi na ipo Nusu Uefa 🍌
Indonesia
1
0
0
283
🍁
🍁@Jeba_OG·
Wazee vipi mmeona umuhimu na utofauti kati ya Ødegaard na Bruno Fernandes?
Suomi
11
10
158
3.9K
Johari Mshana
Johari Mshana@joharimshana·
NAPITA KUWASALIMIA; MSIMAMO WA LISSU, ANAOMBA KUTOLEWA AMESHACHOKA NA AMEKUMBUKA FAMILIA YAKE 😂!! Hapa nimekuwekea Taarifa Rasmi ya Chadema na PA wa Lissu. Sitaki kuongeza hata neno soma mwenyewe!! 😂 Kifupi; LISSU KACHANA MIKEKA 😂
Johari Mshana tweet media
Indonesia
13
31
28
2.5K
Stori za Pombe 👽
Stori za Pombe 👽@storizapombe·
LISSU ameomba msamaha si muda anatoka kwahiyo moja kwa moja kazi ya wanaharakati inaisha.
Stori za Pombe 👽 tweet media
Filipino
7
13
16
385
CHAUMMA Tanzania
CHAUMMA Tanzania@ChaummaT·
Mkurugenzi wa Mawasiliano wa Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA), Mh.John Mrema, amesema ana imani kubwa na Tume ya Jaji Chande akieleza kuwa imeundwa na wataalamu wenye weledi wa hali ya juu. Mrema amesema tume hiyo ina uwezo wa kitaifa na kimataifa na ina wajumbe wabobevu watakaotekeleza majukumu yao kwa haki na ufanisi. Ameongeza kuwa kuundwa kwa tume hiyo na Rais ni hatua muhimu katika kusaidia Watanzania kushughulikia changamoto zilizojitokeza, huku akieleza matarajio yake kuwa itatoa matokeo yenye tija.
Indonesia
15
3
11
834
Presenter Noah
Presenter Noah@PresenterNoah·
Chelsea ni takataka na Liam nae ni takataka??!
Filipino
21
3
82
2.3K
Fernandez Loemba
Fernandez Loemba@SteveMchelsea21·
Huyu Msenge Sjui Aliletwa Na Nani.... 🚮🚮🚮
Fernandez Loemba tweet media
Indonesia
10
4
51
1.3K
millardayo
millardayo@millardayo·
Jumla ya Makada 18 wa Chama cha Mapinduzi (CCM), wamechukua na kurejesha Fomu za kuomba kuteuliwa kugombea Ubunge katika Jimbo la Isimani Mkoani Iringa wakilenga kuziba nafasi iliyoachwa wazi kufuatia kifo cha aliyekuwa Mbunge wa Jimbo hilo William Lukuvi. Katibu wa CCM Wilaya ya Iringa Sure Mwasanguti amesema zoezi la uchukuaji na urejeshaji wa fomu limekamilika kwa mafanikio ambapo amesema kati ya Makada hao 18, waliorejesha fomu 16 ni Wanaume na wawili ni Wanawake, amesema hatua inayofuata ni kufanyika kwa kura za maoni kesho katika Kata zote za Jimbo hilo ambapo Wanachama watapata nafasi ya kuwachagua Wagombea wanaowakubali kabla ya mchakato wa uteuzi wa mwisho kufanyika. Majina ya makada waliochukua na kurejesha fomu ni Fred Ngajilo (Vunjabei), Festo Kiswaga, Asakwe Widambe, Arif Abri, Sebastian Kiyoyo, Tumaini Msowoya, Watende Kiyagi, Lazaro Ngwira, David Komba, Thobias Mwilapwa, Titho Cholobi, Emmanuela Mtatifikolo, Claudio Nzwaga, Josephat Msambwa, Elias Kazikuboma, Egidy Mkolwe, Abdallah Lusasi na Tedson Ngwale #MillardAyoUPDATES.
Indonesia
2
4
119
11K
NZUKI🐝
NZUKI🐝@AllyGoa·
Vile Vicheko vya Arsenal asichukue Ubingwa bado vipo hapo Ung’ombeni??? Wasenge nyie😂😂😂
Indonesia
0
0
3
75
NZUKI🐝
NZUKI🐝@AllyGoa·
@millardayo Kwa Uhuru baada ya mauza uza kibao?? Michezo hii tunaijua😂😂😂
Indonesia
0
0
1
137
millardayo
millardayo@millardayo·
Kufuatia kufunguliwa kwa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) na Mahakama April 15, 2026, Katibu wa Halmashauri Kuu ya NEC Itikadi, Uenezi na Mafunzo Taifa wa CCM, Kenani Kihongosi, amesema uamuzi huo unaonesha namna mihimili ya dola inavyofanya kazi kwa uhuru na haki Nchini. Akizungumza April 16, 2026 katika Jimbo la Geita Vijijini, Kata ya Bugulula Mkoani Geita, Kihongosi amesema Serikali ya Chama imeendelea kuhakikisha Mahakama zinabaki huru bila kuingiliwa, hali ambayo imesaidia kutoa haki kwa pande zote bila upendeleo. Amesema kutokana na mazingira hayo, Viongozi wa CHADEMA akiwemo John Heche wanapaswa kutambua na kupongeza juhudi za Serikali katika kuimarisha utawala wa sheria na misingi ya haki Nchini. Aidha, Kihongosi ameongeza kuwa kauli za CHADEMA kuhusu kuanza ziara nchi nzima hazitawazuia CCM, akieleza kuwa chama hicho pia kinaendelea na mipango yake ya kukutana na Wananchi na kuendelea kuimarisha uungwaji mkono. Pamoja na hayo, amesisitiza kuwa CCM ina imani na Wananchi wengi na itaendelea kushindana kisiasa kwa hoja na sera, huku akieleza kuwa hali ya kisiasa Nchini ipo salama na kila chama kina nafasi ya kufanya shughuli zake kwa mujibu wa sheria. #MillardAyoUPDATES
Indonesia
76
4
82
10.4K