TheBoss.๐Ÿ’ฐ

23.8K posts

TheBoss.๐Ÿ’ฐ banner
TheBoss.๐Ÿ’ฐ

TheBoss.๐Ÿ’ฐ

@BOSSferdd

Here X for fun,๐Ÿ’ฆ

Tanzania Se uniรณ ลžubat 2025
1.4K Siguiendo1.4K Seguidores
Tweet fijado
TheBoss.๐Ÿ’ฐ
TheBoss.๐Ÿ’ฐ@BOSSferddยท
Huwa najiuliza watu Wanawezaje kuishi kwa biashara ndogo kama zike za mbezi stand. Unaona kabisa kwanza hauzi kwa siku 50k, hapate chakula nauli. siwajai kupata jibu.๐Ÿค”
Indonesia
11
13
57
1.4K
TheBoss.๐Ÿ’ฐ
TheBoss.๐Ÿ’ฐ@BOSSferddยท
Watanzania ukiwakataza kitu ndio wanafanya sasa. Ngoja afe mwingine.! ๐Ÿ˜‚
Indonesia
9
8
18
104
It's Hunaiya ๐Ÿ’‹โค๏ธ
Ila tuache utani mapenzi magumu jamani Unaempenda hakรนtaki usiempenda anakuganda basi tafurani ๐Ÿคฃ๐Ÿ™Œ
Indonesia
18
17
39
506
M O X
M O X@UrBoyMoxยท
Sasa haka kamshono chini ya pumbu nani alikashona๐Ÿ˜‚
Indonesia
12
10
40
685
Headboy wa mtaa
Headboy wa mtaa@Sirajitz1ยท
Account zilizo active saivi Zishushe handle tuzifolo hapa saivi, hakikisha unafollow back saiv Weka handle kama UNAFOLO BAKI TU
Filipino
51
16
39
585
Truth WatchDog๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
Truth WatchDog๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ@TruthWatchDogTZยท
Hii mali safi jamani ningewaonyesha kwa mbele tatzo mtaniomba namba zake ...af me sina ๐Ÿ˜€ Waislam tunaaenjoy mno
Truth WatchDog๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ tweet media
Indonesia
7
7
18
433
Headboy wa mtaa
Headboy wa mtaa@Sirajitz1ยท
Mademu wa uswahilini jau sana Leo nimepanda daladala kuna dada mmoja kapanda kavaa kijora afu si unajua usafiri wa dar wa shida kwenye daladala mnakua mmebanana sana Yule dada kuna kijana alikua kamsimamia afu janja akawa amembambia aisee kwenye daladala bil aibu Huyu dada bila aibu kamuuliza jamaa una sh ngapi ? Wameshuka kituo kimoja pale tiptop noma aiseee Saiv mjini wadada wazuri wanaringa kuliko hata wenye degree Hawa madada wana njaa kali aisee ๐Ÿ™Œ
Indonesia
12
16
55
4.9K
Fundi viatu na mabegi
Fundi viatu na mabegi@Mshonaviatuยท
Nilipoona ile tweet ya @Maestrowafact kuhusu kupewa dawa na anko wake aache kugida ugimbi binafsi nilijua ni suala ambalo haiwezekani. Kwa sababu hata hapa mtaani kuna dogo mmoja wa kirangi bi mkubwa wake kahangaika sana na kila aina ya dawa aache kugida lakini imeshindikana.
Fundi viatu na mabegi tweet media
Filipino
2
7
11
584
Ngatta Boe
Ngatta Boe@Ngattaboe99ยท
Sijawahi kusikia askari anadate na mwanafunzi hawa washikaji huwa hawadindi..๐Ÿค”
Indonesia
21
26
121
4K
Eng.Mapunda Jr
Eng.Mapunda Jr@EngMapundajrยท
Hii Kampuni Tunaishi Kama Familia sisi. Familia yenyewe sasa ๐Ÿ˜‚๐Ÿ‘‡๐Ÿฟ
Eng.Mapunda Jr tweet media
Indonesia
15
15
103
1.5K