Kila nikiingia humu nikiona picha ya jamaa yetu hapa hata nguvu ya kubaki humu inaisha kabisa
Maumivu ni makali sana Kibaya hatujui jamaa yuko na hali gani uko aliko Inaumiza sana aisee 💔💔
MUNGU AKULINDE JAMAA WAKURUDISHE UKIWA MZIMA KABISA
#Freeninja#Freeninja
My sis just told me coz she has a shop near Ninja place ni kapiga kelele sana tu hawa watu me siwajui na hapo Google park kunajaa watu 24/7 ila nobody even bother aise watu hatuna utu. #FreeNinja
WHERE IS NINJA, FREE HIM NOW!!
Huyu jamaa sio rafiki yangu, infact ni miongoni mwa watu ambao walikuwa wananikejeli na kunitusi (sababu ya ushabiki wa Wasanii wengine wa Hip Hop). Ila kama kweli mimi ni mpenda na mtetea haki, nitakuwa mnafiki nisipotumia nafasi na sauti yangu kupaza sauti juu ya kitendo cha yeye kutekwa!!
SERIKALI HARAMU inawaza tu kuhusu wao kubaki madarakani, na sio majeraha inayowaachia Wazazi na Familia kiujumla kwa kuendelea kuteka na kukamata watu kiholela kinyume na sheria. Nakemea kitendo hicho na naungana na wenzangu kusema FREE DAMOUR NOW !!
Kama @Ninja_Damour hajapatikana kwenye vituo vyote vya polisi, basi RPC ajiuzulu kazi leo leo maana ameshindwa kulinda Wananchi hadi uhalifu kufikia kiasi hicho. #WeWantJustice#FreeNinja#MwalimuMkuuMAMAyenu
@denniehanda Nilishasema fixture yao haiwabebi kua mabingwa wanahitaji kua kwenye form ya maisha yao….. Huku mpinzani wao akiwa amecheza fixture zake ngumu tayari
As a diehard EPL fan, I know for sure no team can beat Everton, Brentford, Palace, Bournemouth, and Villa in a row.
If City can do that, they deserve the league title.
Kama yule jamaa aliyeandika story ya uongo kuhusu Ninja ni rafiki yenu nyie watu.. lazima awajibike.
Naomba mumuulize vizuri, mbananisheni aseme taarifa katoa wapi..
Otherwise mnaendelea kufuga marafiki ambao mi snitches and at the same time wanaweza kukuharibia maisha..
Mkamateni, and beat his ass up.. 🤧
Tofauti na washikaji wa karibu wa Ninja msiamini Info za Strangers kuwa Ninja alikuwa wapi akaenda wapi zile info sio za Bahati mbaya ni sehemu ya plan za kupoteza Maboya au kumtafutia kosa mwana.
Unaamini mtu mmoja anaweza kuzomea kwenye Festival na sauti yake ikaenda?
RAT
Mida hii sisi tunavuta shuka mwanetu @Ninja_Damour uko hatujui anaendeleaje, hali ya mama yake mida hii sijui itakuaje Dah💔, Popote ulipo brother tunakutakia uwe salama mzee🥲