Manjale Magambo

3.6K posts

Manjale Magambo banner
Manjale Magambo

Manjale Magambo

@ManjaleMagambo

Mwenyekiti wa UVCCM MKOA-GEITA // #KulindaNaKujengaUjamaa #GeitaYaDhahabu // Fans @SimbaSCTanzania ๐Ÿฆ & @ManUitd .๐Ÿ’ฅ

Geita Se uniรณ Mayฤฑs 2021
134 Siguiendo12.3K Seguidores
Manjale Magambo retuiteado
๐”น๐”ธโ„๐”ธ๐•‚๐”ธ ๐’๐ˆ๐Œ๐๐€๐Ÿฆ
Wakati wa sherehe za kuagwa kwa Kocha Pep Guardiola, Bernardo Silva alimtania Pep kwa kumuuliza kuhusu video yake maarufu iliyosambaa sana Mitandaoni wakati ule, ambapo alionekana akiongea na kubishana vikali na kiti kilichokuwa tupu bila mtu yeyote. Guardiola alicheka sana kwa aibu, licha kutojibu kwa wakati huo, alijibu baadaye alipoulizwa tena na waandishi wa Habari, akikiri kwamba kasi ya mechi mara nyingi humfanya aonekane kichaa.
Filipino
2
12
107
9.4K
Manjale Magambo retuiteado
Simba SC Photos TZ๐Ÿ“ธ
Simba SC Photos TZ๐Ÿ“ธ@SimbaSCPhotosTZยท
Yote tisa kumi kipa๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Filipino
1
2
8
654
Manjale Magambo retuiteado
๐”น๐”ธโ„๐”ธ๐•‚๐”ธ ๐’๐ˆ๐Œ๐๐€๐Ÿฆ
๐Ÿšจ โ€œUandishi wa habari ni kazi ya kuhabarisha na kuburudisha, siyo sababu ya mtu kudhalilishwa au kutukanwa. Kumuonesha Rio Ferdinand goli la Clatous Chama haimaanishi chuki dhidi ya timu yoyote, bali ni sehemu ya kumbukumbu ya soka letu....๐Ÿ“Œ๐Ÿ”จ ยปPole sana dada yetu @meena_ally kwa maneno yasiyofaa kutoka kwa baadhi ya watu. Mashabiki wa kweli wanajenga heshima hata wanapokuwa na tofauti za kimtazamo.....๐Ÿ“Œ๐Ÿ”จ ยปEndelea kufanya kazi yako kwa weledi na kujiamini. Sauti yako ina thamani kubwa kwenye michezo na burudani Tanzania @meena_ally ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ โค๏ธโ€ NB: โ€œSTAY STRONG, @meena_ally GREAT PEOPLE ARE ALWAYS CRITICIZED FOR DOING GREAT WORK. KEEP SHINING, KEEP INSPIRING, AND NEVER LET NEGATIVITY SILENCE YOUR PASSION. FOOTBALL IS ABOUT MEMORIES, EMOTIONS, AND ENTERTAINMENT NOT HATE. MUCH LOVE AND RESPECT โค๏ธโ€
Indonesia
3
9
48
818
Manjale Magambo retuiteado
Samia Suluhu
Samia Suluhu@SuluhuSamiaยท
Kigali, Rwanda, 19 Mei, 2026. Nimeungana na viongozi wenzangu, mashirika ya kimataifa, wawekezaji na wataalamu wa masuala ya nishati katika Mkutano wa Wakuu wa Nchi na Serikali kuhusu Uvumbuzi wa Nishati ya Nyuklia barani Afrika (NEISA). Tanzania tumepiga hatua kubwa katika uzalishaji na umeme, na sasa Dira ya Taifa inatuelekeza tufikie uzalishaji wa megawati 70,000 ifikapo mwaka 2050. Kwa muktadha huo, tunaunga mkono uendelezaji wa nishati ya nyuklia katika kuongeza kasi ya kufikia lengo hilo, ambayo pia inaendana na lengo letu la matumizi ya nishati safi na salama. Ili kufikia malengo ya uendelezaji wa nishati ya nyuklia Afrika, nimesisitiza umuhimu wa kuimarishwa ushirikiano kati ya wadau wanaohusika ili kuwezesha upatikanaji wa fedha, rasilimali watu na teknolojia. Sambamba na hayo, ni muhimu wananchi wakapewa elimu kuhusu uendelezaji nishati ya nyuklia ili wawe sehemu ya mageuzi haya.
Samia Suluhu tweet mediaSamia Suluhu tweet mediaSamia Suluhu tweet mediaSamia Suluhu tweet media
Indonesia
82
467
1.8K
58.9K