Collins
2.4K posts


Collins retweeté

@TitoMagoti Sorry to ask , but kajuaje yote haya and the tume ni Independent??
Indonesia

@Sativa255 🤣🤣🤣 You cannot solve a problem with the same mind that created it
English
Collins retweeté

Tito Magoti, Human Rights lawyer, Tanzania: The killings in Tanzania was sanctioned by the State. Who is going to investigate this? In whose capacity were they acting? How can you commission an inquiry to inquire into an account of your own doing? What happened in Parliament was a mockery and an insult to the people of Tanzania
#CitizenWeekend
English


@Sativa255 Hawa wapewe elimu ya duniani , tofauti na elimu ya dini
Indonesia

Sikiliza HII TAKATAKA inajiita SHEIKH na inahubiria watu Na watu wanalisikiliza.
Anawakosoa maaskofu wakatoliki kuhubiri HAKI badala ya AMANI. Hoja zake ni "tulikuwa Lockdown siku tano kwasababu hakuna AMANI, HAKI UNAIDAI WAPI kama hamna amani?"
Wapumbavu kama hawa ndio wanaharibu watu bongo zao, sasa kwafaida ya HUYU SHEIKH MPUMBAVU na wengine wenye akili kama hizi soma majibu hapo chini👇
"AMANI NI TUNDA LA HAKI" Hii kauli unatakiwa uielewe vizuri sana kabla ya kuropoka. Juzi nchi imechafuka kwasababu hakuna HAKI, ndiomaana AMANI ikapotea.
Kama kungekuwa na HAKI, amani ingetawala, hata watu wasinge andamana. Kama Taifa lingeheshimu HAKI YA WATU KUISHI NA WASITEKWE basi watu wasingeandamana.
Kama serikali ingejali HAKI za uhuru wa MAONI basi amani isingepotea juzi maana watu wangekosoa SERIKALI na wangeishi kwa amani na maoni yao kinzani kwa serikali. Ila kwasababu serikali haijali HAKI YA UHURU WA MAONI ndiomaana AMANI IKAPOTEA.
Msikilize huyu TAKATAKA anaeijiita SHEIKH anakosoa PHD za maaskofu KATOLIKI, yeye usikute hata la SABA B hajamaliza ndiomaana kichwani kweupe hivi.
Waislamu mnahubiriwa na watu jau sana huko misikitini aisee. Huyu ndio unampa mwanao amfundishe MADRASA aibu.🚮
TUTAKUWEPO🫵😎
Indonesia

VIDEO:
Baraza Kuu la Waislamu Tanzania (BAKWATA) na taasisi mbalimbali za Kiislamu nchini wamesisitiza kuwa haki ni mchakato unaohitaji mazingira ya amani, hivyo vitendo vya uhalifu na vurugu vilivyoshuhudiwa wakati na baada ya uchaguzi wa Oktoba 29, 2025 vimeua kabisa misingi ya haki na utu nchini.
Tamko hilo lililosomwa na Sheikh Issa Othman Issa, Mjumbe wa Baraza la Ulamaa na Imam Mkuu wa Msikiti wa Maamur kwa niaba ya Mufti Mkuu wa Tanzania, limesema kuwa vurugu hizo zimesababisha vifo vya watu wasio na hatia, ulemavu na uharibifu mkubwa wa mali- ukweli unaowaumiza na kuwaathiri Watanzania wote.
Kwa mujibu wa tamko hilo, viongozi wa Kiislamu wamesema walifanya kazi kubwa kabla ya uchaguzi kuhimiza utunzaji wa amani, kwa sababu walielewa kwamba kudai haki ni halali, lakini ni lazima kudaiwa kwa misingi isiyohatarisha utulivu wa taifa.
Viongozi hao wamesema kuwa machafuko yaliyotokea hayapaswi kurudiwa kamwe, na ni jukumu la serikali kufanya uchunguzi wa kina kubaini watu waliowachochea vijana kujiingiza katika uhalifu huo uliosababisha maafa.
Indonesia

'Tumethibitisha baadhi ya video hizo kwa kutumia picha za setalaiti na kulinganisha maeneo' - BBC
Tazama:
bbc.in/4ozc5eA

Filipino

Katika hizi dini viongozi wengi wa kiisalmu likija suala la kuwa na takes mbovu kwenye mambo ya haki na utawala/uongozi ni wanaongoza aisee.
Boniface@kilundeezy
A whole sheik being this dumb while defending mana suluhu.Dukb fvck trying to start religion war
Indonesia

YESU aliingia Yerusalemu kwa Maandamano huku wananchi wakimshangilia na kuimba Hosana ajaye kwa jina la Bwana. Mafarisayo walikwazwa sana na ile Nyomi🤣( Kwasababu ya wivu na uovu wao) lakini Mungu wala hakukwazwa.
Ila Biblia yangu inanionesha Mungu alikwazwa na Kaini kumwaga Damu ya nduguye Abeli .Uuwaji ndiyo unaoondoa utukufu wa Mungu wa Mbinguni siyo maandamano.
Hata Yeriko Iliangushwa kwa Maandamano watu walizunguka mara saba.

Indonesia












