Charles Lendey

1.2K posts

Charles Lendey

Charles Lendey

@CLendey

My Brain

Orkesmet Bergabung Kasım 2017
321 Mengikuti36 Pengikut
Charles Lendey
Charles Lendey@CLendey·
@millardayo Haka Kavulana Balehe yake inakuwa ya muda mrefu kuliko Wavulana wenzake! Akishamaliza stage ya Balehe akili zitakaa sawa tu!
Indonesia
0
0
0
0
millardayo
millardayo@millardayo·
Kufuatia kufunguliwa kwa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) na Mahakama April 15, 2026, Katibu wa Halmashauri Kuu ya NEC Itikadi, Uenezi na Mafunzo Taifa wa CCM, Kenani Kihongosi, amesema uamuzi huo unaonesha namna mihimili ya dola inavyofanya kazi kwa uhuru na haki Nchini. Akizungumza April 16, 2026 katika Jimbo la Geita Vijijini, Kata ya Bugulula Mkoani Geita, Kihongosi amesema Serikali ya Chama imeendelea kuhakikisha Mahakama zinabaki huru bila kuingiliwa, hali ambayo imesaidia kutoa haki kwa pande zote bila upendeleo. Amesema kutokana na mazingira hayo, Viongozi wa CHADEMA akiwemo John Heche wanapaswa kutambua na kupongeza juhudi za Serikali katika kuimarisha utawala wa sheria na misingi ya haki Nchini. Aidha, Kihongosi ameongeza kuwa kauli za CHADEMA kuhusu kuanza ziara nchi nzima hazitawazuia CCM, akieleza kuwa chama hicho pia kinaendelea na mipango yake ya kukutana na Wananchi na kuendelea kuimarisha uungwaji mkono. Pamoja na hayo, amesisitiza kuwa CCM ina imani na Wananchi wengi na itaendelea kushindana kisiasa kwa hoja na sera, huku akieleza kuwa hali ya kisiasa Nchini ipo salama na kila chama kina nafasi ya kufanya shughuli zake kwa mujibu wa sheria. #MillardAyoUPDATES
Indonesia
76
4
82
10.5K
Charles Lendey
Charles Lendey@CLendey·
@_zack255 Takataka, Ndio uzi mliopewa leo wa kujifariji? Mnapumuliwa Visogoni wote na huyo aliewapa hii script muimbe mkisikilizia Mshedede kwenye matundu yenu! Rubish
Indonesia
0
0
0
11
𝐃𝐫.𝐙𝐚𝐜𝐤™🇹🇿
📍KUELEKEA MARIDHIANO: CHADEMA YAMUOMBA RAIS SAMIA KUANGALIA UHURU WA MWENYEKITI LISSU KUSHILIKI SHUGHULI ZA CHAMA Na Mwandishi Wetu Katika muktadha wa kuendeleza juhudi za maridhiano ya kisiasa nchini, Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), John Mnyika, ametoa ombi kwa unyenyekevu kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, akiomba aangalie kwa busara na hekima suala la Mwenyekiti wa chama hicho, Tundu Lissu, ili aweze kuwa huru. Akizungumza na waandishi wa habari, Mnyika amesema kuwa hatua hiyo ni sehemu ya kuimarisha mazingira ya maelewano ya kisiasa na kujenga taifa lenye mshikamano. Amesisitiza kuwa chama kinaamini katika mazungumzo na maridhiano kama njia bora ya kutatua changamoto za kisiasa. “Kwa heshima kubwa, tunamuomba Mheshimiwa Rais aangalie suala hili kwa jicho la huruma na hekima, katika mwelekeo wa kuendeleza maridhiano ya kitaifa, ili Mwenyekiti wetu aweze kupata uhuru na kushiriki kikamilifu katika shughuli za chama,” amesema Mnyika. Ameongeza kuwa ombi hilo halilengi kupingana na taratibu za kisheria, bali linaangazia umuhimu wa kutumia busara za kiuongozi katika kuimarisha demokrasia na kudumisha amani nchini. Kwa mujibu wa Mnyika, uwepo wa mazingira ya maridhiano utasaidia vyama vya siasa kufanya kazi kwa uhuru zaidi, jambo litakaloongeza imani ya wananchi katika mfumo wa kidemokrasia. CHADEMA imeeleza kuwa itaendelea kushirikiana na wadau mbalimbali katika kuhamasisha maridhiano, huku ikiweka matumaini yake kwa uongozi wa juu wa nchi katika kuhakikisha kunakuwepo mazingira bora ya kisiasa yenye kuheshimu haki na sheria.
𝐃𝐫.𝐙𝐚𝐜𝐤™🇹🇿 tweet media
Indonesia
10
13
17
2.2K
Charles Lendey
Charles Lendey@CLendey·
@Royal_Tv_Tz Kwahiyo yeye ni Mgombea wa CHAUMMA 2025 na Naibu Katibu Mkuu CHADEMA ZANZIBAR? Uandishi wa namna gani huu? Mnatuandaa na Nini?
Indonesia
0
0
0
14
ROYAL TELEVISION
ROYAL TELEVISION@Royal_Tv_Tz·
Aliyekuwa Mgombea Urais wa Tanzania 2025 kupitia CHAUMMA na Naibu Katibu Mkuu wa CHADEMA upande wa Zanzibar Salum Mwalimu amesema kuwa ana imani kubwa na Tume ya Jaji Chande inayochunguza Matukio ya Uvunjifu wa Amani yaliyotokea Wakati na baada ya Uchaguzi Mkuu wa 2025. Salum amesisitiza kuwa Tume hiyo ni ya Watanzania wote kwani inakwenda kutibu majeraha yaliyokotea na amesisitiza umuhimu wa Maridhiano pale ambapo tume hiyo itakuwa imetoa majibu yake
Indonesia
36
2
14
6.5K
Charles Lendey
Charles Lendey@CLendey·
@MpaleMpoki Hongereni sana Senior @MpaleMpoki and the Team. Wasilisho lenu CAT ni Darasa tosha hasa kwa Majaji ambao wameingia kwa vigezo vya Ukada. Kuna Kazi kubwa sana kuirejesha Mahakama kwenye position yake, kuna namna imeanza kujisahau
Indonesia
0
0
1
12
Charles Lendey me-retweet
Henry Kilewo
Henry Kilewo@HenryKilewo·
Hongereni @ChademaTZ2 Kwakushinda dhuluma iliyokuwa mbele yenu, Zuio la kufanyakazi ya siasa ulikuwa ni uhuni kama uhuni mwingine,Haki imeshinda dhidi ya dhuluma,Umma unahitaji kuongozwa kuchukua Haki iliyocheleweshwa!
Indonesia
13
10
74
3.1K
Charles Lendey
Charles Lendey@CLendey·
@swahilitimes 1. Walipaswa kushirikishwa 2. Walipaswa kupewa kipaumbele 3. Wanapaswa kuwa Wawekezaji Wenza kwenye huo uwekezaji, walipaswa kuunganishwa na taasisi za fedha wakopeshwe ili wapaboreshe wao pamoja na Mwekezaji (kama ni lazima awepo). Hivi huko Serikalini hakuna kabisa wny AKILI?
Indonesia
0
0
0
4
Swahili Times
Swahili Times@swahilitimes·
Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Saad Mtambule amesema Coco Beach haijauzwa, bali serikali inaboresha ili kulipa hadhi eneo hilo na kudhibiti shughuli zisizokubalika kisheria.
Indonesia
10
3
114
8.7K
millardayo
millardayo@millardayo·
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Paul Makonda, amesema wanaopanga njama za kudhoofisha jitihada za Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kisa tamaa za kupata Urais mwaka 2030 hawatofanikiwa, ambapo amesema Watu hao wote wanaojipanga na Urais mwaka 2030 hawatoupata. Akizungumza mbele ya Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba Jijini Arusha leo Machi 25, 2026, Makonda amesema ““Kuna Watu wengine nikikaa nasikiliza hotuba yake nasema huyu kabadilika lini?, kuna Watu wanapenda kuyatumia matatizo ya Wananchi kama vile Watetezi halafu uwezo wa kutetea hawana kwasababu hawana hiyo rekodi ya kutetea Wananchi” “Sasa tunaelekea huko 2030 wataibuka Watu wengi sana, nataka niwaambie Mtu yoyote atakayemsaliti Dkt. Samia ambaye alituona, Mimi binafsi nilipata bahati Rais Samia aliniona nikiwa Mtaani miaka mitatu na miezi sita hata simu haiiti, unakaa na Mkeo unacheza na Watoto unajifunza na muda wa kuwapeleka Shule, Mtu huyu amekuona akakupa nafasi, sasa kupitia hiyo nafasi umepata hela kidogo, umeanza kuwa na jina kidogo, unatengeneza network halafu unapambana kupambana na yule aliyekupa nafasi na heshima hiyo” “Mimi Paul Makonda sitomsaliti Dkt. Samia Suluhu Hassan na kama uongozi wangu unatakiwa kuishia 2030 utaishia hapo kwani kuna shida gani?, kwani unatakiwa utawale maisha yako yote?, na ndio maana ukiona hao Viongozi wanataka kujitenganisha hii Serikali yeye akae pembeni awe sehemu ya Wakosoaji wa Serikali” “Mimi tukiwa kwenye vita situmi Mtu, sio wale mkikutana mnachekeana aah Kamanda tuko pamoja halafu unasuka mipango huku nyuma aah Mimi nakuja mwenyewe kukushughulikia wote wanaopanga njama za kudhoofisha jitihada za Rais Samia katika uongozi wake huu kwa ndoto zako hazitotumia” “Mh. Waziri Mkuu Mimi nina bahati ya kusema kidogo ya Mungu, Watu wote wanaojipanga hawa hawawezi kushika Urais nakuhakikishia, wekeni kwenye kumbukumbu hawapati, Watanzania hawawezi kuwa wasahaulifu tutaenda rekodi kwa rekodi hauwezi kuwa Malaika dakika za mwisho, shetani ni shetani tu hata kama akizeeka” #MilardAyoUPDATES
millardayo tweet media
Indonesia
227
27
537
80.8K
Jebra Kambole
Jebra Kambole@Advocate_Jebra·
@fbuyobe Hakuna watu humo ni wabangaizaji! Aliyehoji (kichwani anakwepa ithibati) anayejibu hakuna kitu anajua kuhusu ICC
Indonesia
6
7
97
3.7K
Charles Lendey
Charles Lendey@CLendey·
@kwamekivaisi @UKinTanzania @MYoungFCDO Sovereignty is never ABSOLUTE! Visit the principle of Jus Cogens! Tanzania is a Member to a number of International Treaties, hence, it is bound to adhere to! Shule mlienda kusomea Ujinga?
English
0
0
0
7
Kwame Kivaisi
Kwame Kivaisi@kwamekivaisi·
‼️‼️ @UKinTanzania and @MYoungFCDO must remember Tanzania is not a British Protectorate. Our Sovereignty is non-negotiable.
Kwame Kivaisi tweet media
English
2
10
16
486
Charles Lendey
Charles Lendey@CLendey·
@kwamekivaisi @tanpol Ndio Shida ya watu wajinga kama wewe, wanaoteseka kwa Lissu kukaa gerezani ni nyie zaidi hata ya yeye anavyoteseka. Tafsiri sahihi hujenga Jurisprudence na kuacha precedent ili wajinga kama nyie mkome kupeleka watu polisi na mahakamani kwa vitu vya kipumbavu! Kichwa Chako!
Indonesia
1
0
0
6
Kwame Kivaisi
Kwame Kivaisi@kwamekivaisi·
@CLendey @tanpol Huna ujualo kuhusu tafsiri wewe. Lissu yuko mahakamani hadi leo kwa tafsiri? Siku ya ngapi? Ile kesi ya Sugu kujenga hotel eneo la hifadhi ya mto hivi imefikia wapi?
Indonesia
1
0
0
45
Charles Lendey
Charles Lendey@CLendey·
@Jambotv_ Kajama kapuuzi sana! Ila katanyooka tu, awaambie wateja wake wajiandae kulipa costs!
हिन्दी
0
0
0
18
Jambo TV
Jambo TV@Jambotv_·
VIDEO: Wakili Shabani Marijani amesema ameridhishwa na uamuzi wa Mahakama kuyatupilia mbali mapingamizi ambayo waliwasilisha juu ya kupinga Lissu kuunganishwa katika kesi ya mgawanyo wa mali iliyofunguliwa na Said Issa Mohammed na wenzake dhidi ya Katibu Mkuu wa CHADEMA na Bodi ya Wadhamini wa CHADEMA. Akizungumza na waandishi wa habari nje ya mahakama leo Machi 3, 2026 Wakili Marijani ambaye ni wakili wa walalamikaji(Said Issa Mohammed na wenzake) amesema "angalau leo upande wa pili(CHADEMA) hawatalalamika kuwa mahakama haitendi haki"
Indonesia
13
3
49
13.9K
Papii Mananasi
Papii Mananasi@the_fortuna73·
Kwa mara ya pili mfululizo chini ya Uongozi wa Dkt. Samia Suluhu Hassan Tanzania imetangazwa kama Africa’s Leading Destination Vibaraka wa wazungu, wanaharakati uchwara huwezi kusikia wakiyazungumza haya
Papii Mananasi tweet media
Indonesia
10
22
21
1K
Charles Lendey
Charles Lendey@CLendey·
@kibiki001 Wewe na takataka wenzio mmesahau kuwa CHADEMA ilifungiwa na Mahakama kufanya shughuli zozote au kutumia rasilimali yoyote ya Chama ikiwamo Akaunti za Benki za Chama? Huo ubadhirifu unatoka wapi na hawana hata Ruzuku? Shule mlienda kusomea UJINGA?
Indonesia
0
0
0
5
hassan kibiki 🇹🇿
hassan kibiki 🇹🇿@kibiki001·
Uhai wa chama chochote cha kiasa ni vikao. Kwa kawaida, Mkutano Mkuu hufanyika kila mwaka au baada ya miaka kadhaa, Kamati Kuu hukutana kila baada ya miezi 3,Sekretarieti au kamati za utekelezaji hukutana mara kwa mara, mara nyingi kila mwezi, ili kusimamia shughuli za kila siku za chama na utekelezaji wa maamuzi. Lakini unaambiwa CHADEMA tangu Lissu akamwate kwa kesi ya uhaini Unakaribia mwaka sasa Heche amegoma kuitisha kikao chochote kisa anaogopa wajumbe watamshughulikia kutokana na ubadhilifu wa fedha na utapeli alioufanya.
hassan kibiki 🇹🇿 tweet media
Indonesia
13
4
11
2.3K
Charles Lendey
Charles Lendey@CLendey·
@Jambotv_ Kukua kupi tena jamani kama tulishaondoshwa kwenye Uchumi wa Kati na kurudi uchumi wa chini?
Indonesia
0
0
0
6
Jambo TV
Jambo TV@Jambotv_·
VIDEO: Amiri Jeshi Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, amesisitiza kuwa uimara wa ulinzi na amani ndio msingi mkuu ulioifikisha Tanzania katika daraja la juu la ukuaji wa uchumi duniani. Akizungumza leo, Februari 24, 2026, wakati wa uzinduzi wa Makao Makuu ya Ulinzi wa Taifa yaliyopo Kikombo, mkoani Dodoma, Rais Samia amebainisha kuwa hakuna maendeleo wala uwekezaji unaoweza kustawi bila ulinzi thabiti. Rais Samia amehusisha mafanikio ya kijeshi na tathmini ya hivi karibuni ya shirika bobezi la kiuchumi duniani, Moody’s, ambalo limeipa Tanzania daraja la B1, kiwango ambacho kinavutia wawekezaji wakubwa. Rais ameweka wazi kuwa serikali itaendelea kuwekeza kwa nguvu katika sekta ya ulinzi ili kuendana na kasi ya ukuaji wa uchumi. Amesema uwekezaji huo ni suala lisiloepukika kwani taifa lolote linalotaka kuheshimiwa duniani lazima liwe na taasisi imara za kulinda uhuru, mipaka, na rasilimali zake.
Indonesia
17
2
12
2.6K
Joseph Oleshangay
Joseph Oleshangay@Oleshangay·
Hawashindwi kuja na notice ya Rufaa
Hilda Newton@HildaNewton21

#UPDATES_KUTOKA_MAHAKAMA_KUU Muda huu ni saa sita nayo dakika 17 kesi ya mchongo ya uhaini dhidi ya Mhe. Lissu bado haijaanza na Mawakili wa Serikali hawaonekani. Tetesi kutoka kwa msiri wetu zinasema wanapigiwa simu hawapokei na wengine wamezima simu. Mawakili wa Serikali wamechimba. Majaji na Mahakama imeachwa solemba, haya mambo yanashangaza kabisa. Jamhuri kama hii kesi imewashinda waiondoe au wakae na Lissu Gerezani bila kesi kuendelea tujue moja maana hapo awali leo Walisema wanahitaji lisaa limoja kutafakari muda huu yamefika masaa mawili. Hawaonekani na hawajulikani walipo. Unaambiwa hakuna anayefanikiwa kuwapata Mawakili wa Serikali na hawajulikani wameenda wapi? Sijui ndio kufuata maagizo kutoka juu.😂😂😂😂 Haya ni maajabu na ni mambo yanayoshangaza sana.

Indonesia
13
15
146
10.9K
Charles Lendey
Charles Lendey@CLendey·
@Wakazi Nimeanza kuona Cassetes za Kofi Olomide nadhani 1993 na kundi lake la Kate la Te (sikumbuki linavyoandikwa) baadae kadiri miaka inavyoenda. Ushindani ulikuwa mkubwa sana enzi hizo, Kina Awilo,Wenge,etc.Halafu vitoto vitakueleza P Square ambao wamekuja na kupotea km moto wa mabua
Filipino
0
0
1
14
Webiro Wakazi Wassira #TheLeader
Koffi ameanza kuimba kabla PSquare hawajazaliwa… Wewe kutozijua nyimbo zake ni proof ya kuwa wewe ni shallow kwenye muziki wa afrika. Na kuzijua za Psquare haziwafanyi wao kuwa ndio Wakubwa zaidi inatufanya tujue umri wako tu na taste yako ya Muziki.
Aairaair@aairyss1

@Wakazi Wimbo wa Koffi Olomide ninayoijua ni ile inayoimbwa "tanga fotooo😂"...na ile moja mistari yake aliimbia pia kwenye wimbo wa diamond Wah!...P Square list ya nyimbo zao ninazozijua na ni hits mpaka kesho ni nyingi jamani...siwezi maliza kuzitaja

Indonesia
15
4
74
7K
Hilda Newton
Hilda Newton@HildaNewton21·
JAMBO LA KUSHANGAZA MAHAKAMANI. Muda huu wameingia wasaidizi na walinzi wa Majaji wamechukua Computer na vifaa vya Mahakama wameondoka navyo. Inaonekana muda huu kesi haiwezi kuendelea maana wanaondoa kila kitu Mahakamani. Taarifa tuliyonayo Mawakili wa Serikali hawajaonekana na hawajarudi Mahakamani so muda huu Karani amesimama hapa na kusema kuwa kuna jambo limejitokeza anaenda kutafuta ufafanuzi kwa Msajili wa Mahakama atarudi kuleta mrejesho. Kwahiyo tupo njiapanda hatujui kinachoendelea hadi sasa. Kesi imewashinda wanalazimisha ni aibu kwa Mahakama kuiamuru Jamhuri kuwa ilete Mashahidi baada ya lisaa limoja kwasasa ni masaa mawili yanaelekea matatu hakuna kinachoendelea. Mawakili wa Serikali wanaamua kesi iendelee au isiendelee. Vituko, Vichekesho na Maajabu. Tunaendelea tuone mwisho wa hizi drama zao. Wako Muhabarishaji, Hilda Newton.
Indonesia
45
315
1.3K
50.5K
Charles Lendey
Charles Lendey@CLendey·
@HecheJohn Wanataka waje na Nolle kisha Wamkamate tena! Ndicho walichoenda kutafakari. Na labda Uamuzi wa UN unawahitaji kutafakari na kuchukua hatua!
Indonesia
0
0
0
21
John Heche
John Heche@HecheJohn·
Tumeambiwa kesi itaanza tena saa tano kamili, Mpaka sasa 12:47 hakuna kinachoendelea…. Upande wa mashitaka hawaonekani… Ingekuaje Kama upande wa wetu hauko mahakamani tena baada ya mauaji kusema mpaka mda wa kuanza Shauri ingekuaje? Kupoteza mda wakati kiongozi wetu anateswa kwa uongo.
Indonesia
27
167
1.1K
28K