Eng.S.Chambo

33.3K posts

Eng.S.Chambo banner
Eng.S.Chambo

Eng.S.Chambo

@Eng_chambo

Mechanical engineer|fabricator|sgt ltd owner| former oil & gas specialist|heavy equipment operator.

Mtwara Bergabung Şubat 2011
2K Mengikuti2K Pengikut
Eng.S.Chambo
Eng.S.Chambo@Eng_chambo·
@PolycarpMDM Lukosi yeye yupo sawa?ana imani kama alivyotaka yeye afanyiwe?Kuwa na rafiki yako kuongozi kusikupe kichwa kwamba kila utafnyiwa favor..inawezekana kulikuwa hakuna kitanda na kumejaa alitaka mtu ashushwe chini ili mama mkwe wake apewe kitanda?kuna mambo mengine huwa yakunyamaza
Indonesia
0
0
1
382
Polycarp The Bibliophile
Polycarp The Bibliophile@PolycarpMDM·
Ameandika CHRIS LUKOSI Nimesikiliza video ya Mh Kigwangwala nimecheka sana Huyu alikua Rafiki yangu sana kabla hajawa Waziri. Hata alipokuja London mimi ndio nilikua mwenyeji wake na nilimpokea kwa heshima sana yeye na kamati ya Bunge aliyokua akiongoza Alipoteuliwa kua Waziri Wizara ya Afya mimi wakati huo nilikua namuuguza Mama Mkwe wangu aliekua akiumwa Ugonjwa wa Kansa. Kwa uchovu wangu nilikua nashindwa kupata kitanda pale Ocean road hivyo nikampigia simu kumuomba msaada nipate kitamda ili Mama Mkwe wangu ahamishiwe pale kutoka Muhimbili. Huwezi amini huo ndio ulikua mwisho wa mawasiliano yetu na akanipiga bloku. Iliniuma ila nikapotezea nikakomaa kigumu kuugua mgonjwa wangu Jamaa alipotumbuliwa mara ghafla akaanza kunitafuta. Mimi sijawahi mbloku ila hua sijibu simu wala meseji sababu naogopa nitampa ukweli wake Najua inamuuma sasa kwa sababu hajui na sasa anajua, ila hii ndio tabia ya Wanasiasa wengi wakiishateuliwa hua wanapotezea marafiki na kuwaona kama nuksi. Anyway. CHEO NI DHAMANA. What goes around comes around …
Polycarp The Bibliophile tweet media
Indonesia
81
65
494
57.6K
Eng.S.Chambo
Eng.S.Chambo@Eng_chambo·
Jamaa waliandaa system mbaya sana..Ila Elimu ya kulinda Afya yako ni wewe mwenyewe haaitaji hata kukaa Darasani..Mtu unalilia pombe kali unaamkia Supu chapati soda unashushia na energy drink 😀😀Lazima system ifeli tu..
I AM@francismtey

( Mfumo wa Afya ) Ukielewa kuwa mfumo huu Unaratibu Magonjwa Lakini hauzuii magonjwa Unaacha Kukabidhi Afya Yako Mikononi Mwa Mfumo Unaanza kujali: ↳ Tabia zako ↳ Usingizi wako ↳ Mwili wako (movement) ... FRANCIS | ABRACADABRA

Indonesia
0
0
0
25
Eng.S.Chambo me-retweet
I AM
I AM@francismtey·
( Mfumo wa Afya ) Ukielewa kuwa mfumo huu Unaratibu Magonjwa Lakini hauzuii magonjwa Unaacha Kukabidhi Afya Yako Mikononi Mwa Mfumo Unaanza kujali: ↳ Tabia zako ↳ Usingizi wako ↳ Mwili wako (movement) ... FRANCIS | ABRACADABRA
Indonesia
1
6
33
456
Eng.S.Chambo
Eng.S.Chambo@Eng_chambo·
@NjiwaFLow Wanafaa kutunikiwa Nishani ya heshima..pia wanatumika sana kukusanya Data.
Indonesia
1
0
0
186
James Munisi
James Munisi@NjiwaFLow·
💨 Kwenye suala la umbea Bodaboda wa bongo wako underrated sana.
Filipino
11
6
119
7.2K
I AM
I AM@francismtey·
Sasa ndio naelewa NASA Ni kama DINI nyingine tu. Yaani Ukiigusa Tu watu Wanatukana vibaya mnoo. Hata Ukicheka kimya kimya Wenye Dini yao ya NASA wana Poromosha Matusi 🤣
Indonesia
10
7
58
1.2K
Lubasha Jr
Lubasha Jr@MarekaMalili·
Mboga mboga ukiongelea Ufisadi na matumizi mabaya ya madaraka, they gang against you, wanaona sio mwenzao 🙌🏼 Chama kuna laana hiki.
Indonesia
44
171
1.3K
23.7K
Eng.S.Chambo
Eng.S.Chambo@Eng_chambo·
@francismtey Mzee hao Majamaa kuna miujiza wanayo..Kwenye Oil rig platform huko Baharini ukiangalia zile combination ya vifaa mpaka unapata mafuta au gas unashangaa walifikiliaje je wao wana akili hizi kama zetu?nimefanya kazi na big company jamaa wana tech ya hali ya juu sana.
Indonesia
1
0
2
91
I AM
I AM@francismtey·
Ila NASA 🤣
Filipino
45
8
117
17.1K
Hika Lyimo
Hika Lyimo@iamthatfemale·
Kwanini nina vaa 40 lkn 😅😮‍💨 mguu mrefuu.. Nways good morning if u want.
Hika Lyimo tweet media
English
4
8
46
989
Eng.S.Chambo
Eng.S.Chambo@Eng_chambo·
Hakuna binadamu asiyeogopa maumivu..Hata uyaogope lazima utayapitia tu,cha msingi unatakiwa kutambua maumivu huwa ni ya muda mfupi.
Indonesia
0
0
0
12
Eng.S.Chambo
Eng.S.Chambo@Eng_chambo·
@francismtey Kuna wale walilipa pesa ili wakafundishwe kutumia Akili zao..😁
Filipino
1
0
0
2
I AM
I AM@francismtey·
@Eng_chambo kaka Watu wengio ni Mazombi, Kubadilisha hilo ni kazi sana 😄
Filipino
1
0
1
32
I AM
I AM@francismtey·
Kibongo Bongo Mtu akishaitwa Jina La "mtumishi wa Mungu" Basi anageuka hawi tena Binadamu. Hokosei, Wla hatakiwi Kusemwa. Yeye Pekee ndio anajua Ukweli. Yeye Pekee ndio Anatakiwa Kusikilizwa. Hali zote za Kibinadamu kwake zinapoteaga yaani ni Chaos 🤣
Filipino
13
8
54
1.2K
Eng.S.Chambo
Eng.S.Chambo@Eng_chambo·
@TOTTechs @ayubu_madenge Space technology haiitaji mbwembwe inahitaji Akili,Pesa na mkakati wa miaka 100 mbele,kama tunataka hilo lifanikiwe lazima kuwepo na reform yenye lengo moja..hakuna Siasa kwenye hiyo industry.
Indonesia
0
0
0
147
#TOTTechs
#TOTTechs@TOTTechs·
Brother @ayubu_madenge nilikwambia, Hatuwezi kutegemea chuo kurusha Satellite, kama taifa kuna mahala inabidi tukubali kwamba tumefeli kwenye mambo ya Anga. We need REFORMS kwenye Space Industry. Leo hii tunaingia May, 2026 Satellite haiwezi kurushwa.
Ayubu Madenge@ayubu_madenge

Chuo cha DIT kimesema Agosti 1, 2026 kitarusha Satellite Angani, ikiwa ni hatua inayotokana na kuongezeka kwa Ujuzi, Ubunifu na Teknolojia. Hii itakuwa ni Satellite ya kwanza kurushwa angani hapa Tanzania.

Filipino
7
5
50
4.8K
Eng.S.Chambo
Eng.S.Chambo@Eng_chambo·
Kama hawakupokelei simu leo kesho usipokee simu zao kabisa 😎
Indonesia
0
0
2
21
Maviatu 👞👟🥾🛍️🛒
Kuna namna watoto wa kiSwahilini wanamwaga uno tofauti sanaa. Unajua tuu huyu kuku wa kienyeji.
Indonesia
35
35
527
26.3K
Eng.S.Chambo me-retweet
James Munisi
James Munisi@NjiwaFLow·
💨 Vita vya Iran zimetuonyesha mambo ambayo tulikuwa hatuyajui Viongozi wa Iran wamejawa na ▪️Busara ▪️Hekima ▪️Heshima ▪️Elimu za juu ▪️Upeo wa hali ya juu
James Munisi tweet media
Indonesia
27
48
429
10.8K
Eng.Mapunda Jr
Eng.Mapunda Jr@EngMapundajr·
99% ya mahubiri ya huyu jamaa ni NGONO.,Kwenye ya Wale Wachungaji Matapeli Muongezeni na huyu Wakali..🤨🚮
Eng.Mapunda Jr tweet media
Indonesia
82
41
375
24K