Pipsologist.
10.3K posts

Pipsologist.
@StephanoPerfect
enterpreneur,,, forex and crypto market Analyst Teacher (chemistry and biology)




@SemelaEA @Millambo_ Kununua Gold yenyewe 30M ni nyingi kwa mgonga ulimbo! Kwa kuchimba, 15M unanunua na kuset crusher, 5M gharama ndogo ndogo na malipo ya serikali, 10M running costs ya crusher na duara mpaka siku unachenjua.



Kuna sehemu kulala tu kwa siku 700,000 na kuna wanene wanabook kulala hapo mwezi mzima💔 Kuna muda haya maisha yanaweza yakakufanya umuulize Mungu swali gumu kuwa hivi ni kweli Mungu ni wa wetu sote?







@gabyconscious PESA MTU ANAYOTUMIA KULIPIA BLUE TIKI Anunue domain anunue hosting aweke content kwenye Blog, afu atumie twitter kupeleka traffic kwenye site yake, anaweza tengeza dolar elfu moja au 500 kila mwezi kupitia Google Adsence








