固定されたツイート
Obsidian
92 posts


@ProLearner77 @ErickKamihanda Mtoa hoja hajazungumzia hilo, jikite kwenye mada.
HT

@ErickKamihanda Watu wa Hip Hop mnatumia muda wenu 98% kulalamika, kubishana kuhusu maana ya Hip hop, kujigamba, beef na kutukana watu.
Watu wa ovyo kweli
Indonesia

Dar es Salaam. Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan amesema kuwa dini zinapojenga maadili mema ya jamii taifa hujenga msingi wa amani na maendeleo yake.
Akizungumza kwenye Baraza la Idd El-Fitri jijini Dar es Salaam leo Machi 21, 2026, Rais Samia amewataka viongozi wa dini kuendelea na jukumu la kuwajenga wananchi kiimani na kimaadili.
"Tukiendelea kuyaachia yale aliyoyasema Mufti ya kutukanana kwenye mitandao ya kijamii huko, ya kutengeneza AI zinazokashifu viongozi eidha wa Serikali au wa dini, watoto wetu wadogo wakiyaona yale wanajifunza, wanayafata, hatutakuwa salama, na nchi haitatulia na maendeleo hayatakuwepo," amesema Rais Samia.
Indonesia

Rais Samia atahadharisha uhuru wa kuabudu usivuke mipaka
mwananchi.co.tz/mw/habari/kita…
Eesti

@2BitRoot Sio Unimous ila hunifahamu tulia we joined 2026. Heshimu baba zako.
Indonesia

@assengajrr Na Wewe uliejoin miaka 10 iliyopita huna chochote cha maana zaidi ya kuwa kapuku mzoefu wa Twitter.
Filipino

@2BitRoot Ndo ulichofatia huku icho, aya choo fata ilo biringanya maana unalitaka...joined 2026 unaleta ujuaji.. Tulia
Indonesia

@2BitRoot Leo sio 2011 uwez linganusha access ya mitandao leo na miaka ya 2010😬 kwa umri wkao leoingekua 2010 ata simu sio kuishika tu bali huenda ukawa hujawai ata iona
Indonesia
Obsidian がリツイート

@HabariTech Na wangeweza kukusanya kodi bila kutumia nguvu, ila sasa kwa vile madaraka yameshikwa na washamba, Tutakoma.
Filipino












