mpjozze galvanize

6 posts

mpjozze galvanize

mpjozze galvanize

@Galvanize_Mp

参加日 Ocak 2025
39 フォロー中1 フォロワー
Prize tz
Prize tz@prize_tz·
@mangekimambi Kwa magufuri hata mseme nn aliyoyafanya tulishuhudia hivo hata mpake matope vp uhalisia utabaki vile na ndo raisi watanzania wakimpenda kumwamini na kumsikiliza watz hawahitaji siasa sijuwi nn we need utendaji Bora thus mkimgusa Jpm watu wanawakataa
Indonesia
6
1
23
2.3K
Mange Kimambi 🇹🇿🇺🇸
Mange Kimambi 🇹🇿🇺🇸@mangekimambi·
Matatizo yote makubwa ya kisiasa tuliyonayo leo yalianzia hapa. Bunge la machawa tulilonalo leo lilianzia hapa. Bunge kukosa upinzani ilianzia hapa. Utekaji na uuaji wa wapinzani ulianzia hapa. Kwa kifupi system ya udikteta, ubabe na kutia hofu watu ilianzia hapa. System ya vyombo vya habari kupigwa pini na serikali ilianzia hapa, kifo cha ITV na media zingine kubwa kilianzia hapa na mara nyingi nilikiwa natoa warning kwa Watanzania kipindi cha Magu, nikiwaambia hii system mnayoruhusu Magufuli aijenge eti sababu anawaita wanyonge na kusema mliibiwa sana mkae mkijua ndio haitofutika tena bila damu kumwagika. Nilikuwa nawaambia hii all the time and sure enough aliemfata akaendeleza kwa speed ya 5G na akaongeza ukatili mara elfu 10. Mnao mliliaga huyu kiumbe mlilieni tu ila pia msijitoe akili, mkubali kuwa mateso tunayopitia sasa hivi chimbuko ni Magufuli…… I hope tumejifunza kitu na huko mbeleni hata mtu gani atuite wanyonge hatutompa unchecked power. Now let’s fight to undo the mess Magufuli started, tulete haki kwenye nchi yetu ili tuweze kuwa na amani. HAKUNA AMANI BILA HAKI NA HATUTAKI AMANI KAMA HAKUNA HAKI. SIO SISI TUKOSE HAKI ZETU NA RAHA KWENYE NCHI YETU ILA KUNDI DOGO LA MAFISADI MNATULAZIMISHA TUWAPE AMANI ILI MU ENJOY MALI ZENU MLIZOTUIBIA KWA AMANI. BORA TUKOSE WOTE…… NARUDIA EITHER HAKI ITOLEWE AU TUKOSE WOTE!!!!!!!
Mange Kimambi 🇹🇿🇺🇸 tweet media
Indonesia
191
273
1.5K
101.7K
Brave man
Brave man@thomas_yona_·
Huyu atakuwa ametoka mkoa gani?😎
Brave man tweet media
Indonesia
38
23
91
9.1K
Mwemex
Mwemex@Mwemex·
@zoetjesheeftX Mama watoto alivyo kuwa na mimba aligundulika ana mapacha. Pressure ilimtesa hadi nikaogopa. Alivyo jifungua wakaona watoto wawili lakini walikuwa watatu. Wakamsahau moja, akachoka nikampoteza. Wakabaki wawili. Mwaka wa 4 mama watoto hajatoka hospitali. Pressure iliharibu figo.
Filipino
2
0
5
285
❤️ Miss Platnumz ❤️💃🏽🧚🏻‍♀️❣️
Dada mmoja kutoka Tabora ameposti mabadiriko ya mdogo wake baada ya kushika ujauzito hatua Kwa hatua kadri siku zilivyozidi kwenda..mpaka alipopata umauti siku za kujifungua zilipowadia. Dada wa marehemu anasema alikua anaona mabadiriko ya sura kuvimba kuanzia ile miezi ya mwanzo ya ujauzito ..anasema kufikia mwezi wa 6 mdogo wake hali yake ilizidi mbaya zaidi ..Kwa mda huo ilikua sio uso tu Bali mwili mzima ulianza kuonyesha mabadiriko .. Ujauzito ulipofikisha miaezi 8 alikonda sana Na mwili wake ulianza kuungua ..Kwa bahati mbaya week chache kabla ya kujifungua alifariki akiwa na kiumbe chake tumboni 😭😭 ..inaogopesha na kuhuzunisha sana .. Mpaka sasa madaktari wameshindwa kugundua alikua unaumwa ugonjwa gani huo uliompata pindi yupo mjamzito.. Kwenye hii Dunia kuna mambo mengi ya kustajaabisha na kushangaza..ukipata Neema mtamgulize mungu akulinde dhidi ya watu wabaya wasiopenda mafanyikio yako..muombee huyu Mdada apumzike mahara pema peponi amefariki yeye na mwanae tumboni 😭 😭 💔.🙏 NAOMBA NIKUPE SIRI HUENDA USIYOIFAHAMU.: 𝙃𝙖𝙠𝙪𝙣𝙖 𝙢𝙩𝙪 𝙖𝙩𝙖𝙮𝙚𝙩𝙖𝙠𝙖 𝙠𝙪𝙯𝙚𝙚𝙠𝙖 𝙗𝙞𝙡𝙖 𝙠𝙪𝙖 𝙠𝙬𝙚𝙣𝙮𝙚 𝙣𝙙𝙤𝙖 𝙡𝙖𝙠𝙞𝙣𝙞 𝙐𝙨𝙞𝙛𝙖𝙣𝙮𝙚 𝙗𝙚𝙩𝙞 𝙠𝙪𝙤𝙖 𝙖𝙪 𝙠𝙪𝙤𝙡𝙚𝙬𝙖 𝙣𝙖 𝙢𝙩𝙪 𝙪𝙨𝙞𝙮𝙚𝙟𝙪𝙖 𝙫𝙚𝙢𝙖 𝙩𝙖𝙗𝙞𝙖 𝙯𝙖𝙠𝙚 𝙯𝙖 𝙥𝙚𝙢𝙗𝙚𝙣𝙞 ..𝙖𝙪 𝙯𝙖 𝙨𝙞𝙡𝙞 .. 𝙣𝙖𝙠𝙪𝙨𝙝𝙖𝙪𝙧𝙞 𝙢𝙛𝙖𝙩𝙞𝙡𝙞𝙚 𝙆𝙬𝙖 𝙠𝙪𝙩𝙧𝙖𝙘𝙠 𝙨𝙞𝙢𝙪 𝙮𝙖𝙠𝙚 𝙗𝙞𝙡𝙖 𝙮𝙚𝙮𝙚 𝙠𝙪𝙟𝙪𝙖 ..𝙞𝙡𝙞 𝙪𝙜𝙪𝙣𝙙𝙪𝙚 𝙪𝙠𝙬𝙚𝙡𝙞 𝙣𝙖 𝙪𝙟𝙞𝙖𝙢𝙞𝙣𝙞 𝙠𝙖𝙗𝙡𝙖 𝙮𝙖 𝙠𝙪𝙛𝙖𝙣𝙮𝙖 𝙢𝙖𝙖𝙢𝙪𝙯𝙞.. 𝙉𝙖 𝙬𝙚𝙬𝙚 𝙖𝙢𝙗𝙖𝙮𝙚 𝙩𝙖𝙮𝙖𝙧𝙞 𝙪𝙥𝙤 𝙠𝙬𝙚𝙣𝙮𝙚 𝙣𝙙𝙤𝙖 𝙁𝙖𝙩𝙞𝙡𝙞𝙖 𝙣𝙮𝙚𝙣𝙙𝙤 𝙯𝙖 𝙢𝙬𝙚𝙣𝙯𝙖 𝙬𝙖𝙠𝙤 𝙆𝙬𝙖 𝙠𝙪𝙩𝙧𝙖𝙘𝙠 𝙨𝙞𝙢𝙪 𝙮𝙖𝙠𝙚 𝙖𝙣𝙖𝙬𝙚𝙯𝙖 𝙠𝙪𝙖 𝙖𝙣𝙖𝙠𝙪𝙥𝙚𝙣𝙙𝙖 𝙨𝙖𝙣𝙖 𝙡𝙖𝙠𝙞𝙣𝙞 𝘽𝙖𝙙𝙤 𝙖𝙣𝙖𝙠𝙪𝙨𝙖𝙡𝙞𝙩𝙞 ... 𝙡𝙖𝙠𝙞𝙣𝙞 𝙥𝙞𝙖 𝙪𝙨𝙞𝙨𝙖𝙝𝙖𝙪 𝙠𝙪𝙣𝙖 𝙢𝙖𝙜𝙤𝙣𝙟𝙬𝙖 𝙠𝙖𝙢𝙖 𝙃𝙄𝙑, 𝙂𝙤𝙣𝙤 , 𝙠𝙖𝙨𝙬𝙚𝙣𝙙𝙚 𝙣.𝙠 𝙖𝙣𝙖𝙬𝙚𝙯𝙖 𝙠𝙪𝙠𝙪𝙡𝙚𝙩𝙚𝙖 𝙣𝙖 𝙠𝙪𝙠𝙪𝙖𝙢𝙗𝙪𝙠𝙞𝙯𝙖 𝙖𝙪 𝙖𝙠𝙖𝙥𝙖𝙩𝙖 𝙬𝙖𝙩𝙤𝙩𝙤 𝙣𝙟𝙚 𝙮𝙖 𝙣𝙙𝙤𝙖.
❤️ Miss Platnumz ❤️💃🏽🧚🏻‍♀️❣️ tweet media❤️ Miss Platnumz ❤️💃🏽🧚🏻‍♀️❣️ tweet media❤️ Miss Platnumz ❤️💃🏽🧚🏻‍♀️❣️ tweet media❤️ Miss Platnumz ❤️💃🏽🧚🏻‍♀️❣️ tweet media
Indonesia
16
9
73
26.5K
mpjozze galvanize
mpjozze galvanize@Galvanize_Mp·
@godbless_lema Sio BP tuu, hadi akili kuvurugika, na si kwa madreva tuu, hadi abiria wenyewe. Ogopa kila kijana wa Tanzania anataka kuhamia dsm!
Indonesia
0
0
0
1
Godbless E.J. Lema
Godbless E.J. Lema@godbless_lema·
Nafikiri kuendesha gari Dar ni moja ya kitu kinachochangia blood pressure.
Indonesia
171
181
3.1K
204.4K
Godbless E.J. Lema
Godbless E.J. Lema@godbless_lema·
Niko katika fikra kujua kama naweza kurudisha nia yangu ya kugombea UBUNGE Arusha. Hawa watoto wanaonekana hawana adabu.
Indonesia
263
266
2.7K
128.9K