Prize tz
45 posts


@therealrigoh @Rungekuta69 Messi alikuwa akiona wenzake hawafungi anafunga yeye.. mbona excuse nyingi😂😂😂
Filipino

@MbaoKijoko @kalage_jr Dogo kafanya kila kitu ila kule mbele msaada hamna
Indonesia

@razaqhusein5 @kalage_jr Hv wa2 wanaangaliaga wap mechi alooo😅😅😅😂
Indonesia

@VungaEl74 @ishikimastar Siku zote huwezi kuamini jambo ambalo halijakusibu ww au mtu wako wa karibu ila siku ukijakukumbwa na jambo la kimazingaombwe ndo utaamini hayo mambo yapo
Indonesia

@Ulaya122 @HildaNewton21 Sure kabisa alikua akipambana na malocha kipindi hicho.
Filipino

‼️TAHADHARI‼️
Wapendwa WANACHADEMA pamoja na Wapenda Mabadiliko wote popote pale mlipo.
Nawaomba sana kuweni makini na hawa Vijana mnaowaona kwenye hizi picha.
Huyu upande wa kulia anaitwa Daniel Naftal na huyu wa kushoto anaitwa Bruce Cuthbert, hawa watu wanajitambulisha kwamba wao ni Wanachama wa CHADEMA lakini kazi ambayo wanafanya ni ya kuhujumu CHADEMA.
Hawa watu kwa kushirikiana na watu wa TISS kupitia ofisa wa TISS ambae anaitwa Frank Malaki mwenye namba za simu +255 742 007 799 wapewa fungu la pesa ili wapite huko Mikoani washawishi Viongozi wa CHADEMA kwenye majimbo, Wilaya, Mikoa na Kanda ili watangaze kujiuzulu nyadhifa zao kisha badae watangaze kujiunga na CCM au CHAUMWA.
Wanaambia VIONGOZI wa CHADEMA kwamba CHADEMA inaenda kufutwa so bora wahame waende CCM au CHAUMA.
Walianza kuwashiwishi Viongozi wa CHADEMA Kanda ya Nyasa lakin hawakupata mtu, halafu kila wanapoenda kukutana na Viongozi wa CHADEMA wanaenda kama Makamanda kumbe wamebeba ujumbe wa MACCM.
Walienda Kanda ya Kusini wakatoka kapa,
Wameenda Kanda ya Kati wamepata Kiongozi mmoja ambae anatarajia kutangaza kuhama hivi karibuni maana kadanganywa, kaambiwa alete CV atatafutiwa kazi Serikali.😂
Sasa hivi wapo Kanda ya Kaskazini, wameweka kambi yao Arusha mjini na mpaka sasa tayari kuna Viongozi wa Kilimanjaro, Arusha, Manyara na Tanga wameshafikiwa lakin bahati nzuri Viongozi wetu wengi wamekataa na wamewambia hawa madalali kwamba katu hawawezi kusaliti Mapambano.
Nawapongeza Viongozi wa maeneo yote ambao mmekataa pesa na ahadi za kutafutiwa kazi Serikalini kutoka kwa hawa Madalali wa Siasa.
Viongozi wa CHADEMA ambao bado hawajafika kwenye maeneo yenu kaeni RADA mkiona tu sura zao kwenye maeneo wakija na story za kuwashawishi/kuwapa pesa ili mtangaze kujiuzulu wapeni HAKI YAO YA KIKATIBA ILI IWE FUNZO KWA MADALALI WOTE WA SIASA.


Filipino

@khami37080 @Sativa2555 Na ww usilazimishe watu wasahau mauaji ya ndugu zao kama hukupoteza mtu wako muhimu huwezi elewa subiri siku wakugeuke utunguliwe ya matako ndo akili zitakukaa SAWA🚮
Indonesia

@DonDanDenFodio @Galvanize_Mp @mangekimambi Hata huyo lissu siku ikatokea akawa raisi yapo atakayokosea si malaika yule but kwa mtu mwenye nia chanya hawezi akamuona mbaya kama anafanya mengi mazuri ukilinganisha na mabaya ikiwa hivo basi hiyo ni ushabiki wa vyama na utim
Indonesia

@Galvanize_Mp @prize_tz @mangekimambi Sababu ya kumtoa mkoloni ilikua ni nini kwa mantiki hiyo, Maana hata wakoloni walijenga vitu vikawa vinaonekana kwa macho, Maendelea mkoloni ndio kajenga barabara hadi mashule makubwa ya wakoloni yapo hadi leo, So tungewaacha wakoloni sababu Wameleta maendeleo..!?
Indonesia

Matatizo yote makubwa ya kisiasa tuliyonayo leo yalianzia hapa.
Bunge la machawa tulilonalo leo lilianzia hapa. Bunge kukosa upinzani ilianzia hapa. Utekaji na uuaji wa wapinzani ulianzia hapa.
Kwa kifupi system ya udikteta, ubabe na kutia hofu watu ilianzia hapa. System ya vyombo vya habari kupigwa pini na serikali ilianzia hapa, kifo cha ITV na media zingine kubwa kilianzia hapa na mara nyingi nilikiwa natoa warning kwa Watanzania kipindi cha Magu, nikiwaambia hii system mnayoruhusu Magufuli aijenge eti sababu anawaita wanyonge na kusema mliibiwa sana mkae mkijua ndio haitofutika tena bila damu kumwagika. Nilikuwa nawaambia hii all the time and sure enough aliemfata akaendeleza kwa speed ya 5G na akaongeza ukatili mara elfu 10.
Mnao mliliaga huyu kiumbe mlilieni tu ila pia msijitoe akili, mkubali kuwa mateso tunayopitia sasa hivi chimbuko ni Magufuli……
I hope tumejifunza kitu na huko mbeleni hata mtu gani atuite wanyonge hatutompa unchecked power. Now let’s fight to undo the mess Magufuli started, tulete haki kwenye nchi yetu ili tuweze kuwa na amani.
HAKUNA AMANI BILA HAKI NA HATUTAKI AMANI KAMA HAKUNA HAKI. SIO SISI TUKOSE HAKI ZETU NA RAHA KWENYE NCHI YETU ILA KUNDI DOGO LA MAFISADI MNATULAZIMISHA TUWAPE AMANI ILI MU ENJOY MALI ZENU MLIZOTUIBIA KWA AMANI. BORA TUKOSE WOTE…… NARUDIA EITHER HAKI ITOLEWE AU TUKOSE WOTE!!!!!!!

Indonesia

@DonDanDenFodio @Galvanize_Mp @mangekimambi Mnachoshindwa kuelew hatukatai kwamba hakuwai kukosea alikosea cause no body is perfect ila tukiweka mzani unakuta mazuri ni mengi ukilinganisha na mnayomtuhumu nayo
Indonesia

@prize_tz @mangekimambi Huyu alijua kucheza na akili za wabongo, analeta ndege mnafurahi anakuja ASSAD anaeleza hasara za ndege mnamchukia anafukuzwa kazi mnashangilia😂😂
Indonesia

@khami37080 @Sativa2555 Endelea kushtuka vifo vya mashetani wenzio🚮 sisi kwetu ni shangwe hatujasahau mauaji ya ndugu zetu
Indonesia

@MzalendoHa21495 @adamlutta We ni choko mafala wenzio walivouwa ndgu zetu si walichulia ni safi tu msitupangie Wala kutujumuisha kwenye hisia zenu za kipuuzi hatuwezi kulilia mashetani sisi🚮
Indonesia

@adamlutta ASANTE KIONGOZI KWA KUWAKUMBUSHA HAWA WAPUUZI ET YANAFURAHIA VIFO VYA WATU KAMA MABWEGE
हिन्दी

@udsm_ikoni @M8churo Nyie hamjamaliza movie za wakorea tafuta movie inaitwa innocent defendant utanishukukuru ni 🔥🙌
Indonesia

@BillyTronix1 Watu wanaojitambua hawana ushabiki na vyama kwa sasa sijuwi mara cdm mara ccm watu wanatakiongozi Bora atakaeleta maendeleo nchini thus wapo vyama punzani ambao walifurahishwa na utendaji wa Jpm na si system ya ccm
Indonesia

@moussamosses @matdental Usenge upi unauzungumzia izo mbuzi zako nyingine zimewai kufanya nn Cha maana kwe taifa ninyi ndo funza na majinga mliyotufikisha hapa mtu hata afanye nn yenyewe ni kupinga tu haya mmempata mliemshangilia magu alipokufa🚮
Indonesia

@matdental Mwamba? Acha ufala dogo. Tupo hapa tulipo kwaajili ya ussenge, ubabe, ushamba, ukatili na uuaji wa huyu kkuma wasenge mnayemsifia. Afie mbali senge hili
Indonesia

@matdental @Xpecial_onex N kichaa tuu ambae anaweza mtetea magufuli make hapa tulipo yy ndo katufikisha
Indonesia

@mangekimambi Huyu ndo raisi wangu Bora kuwai kumshuhudia no matter what ❤️🩹
Indonesia
























