Mwemex
6.1K posts


@swahilitimes Mwambieni Makonda aweke akiba ya maneno yake. Tanzania ni kubwa kuliko yeye. Hana hati miliki ya hii nchi.
Indonesia

@tabasokuringe Utakuwa ulizaliwa na malaya. Kama unadhani natania kamulize baba yako kama ndie aliembikiri mama yako. Tabia za kufuatilia manaume mwenzio katoba wapi ni za kimalaya. Hopeless
Filipino

Rais wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan amemteua Angela Charles Kizigha kuwa Mshauri wa Rais, Masuala
ya Jamii.
#MillardAyoUPDATES.

Indonesia

@Japanesebw @MwanzoTvPlus Iran sio waarabu wanafiki. Wana msimamo mkali saba na hawakubali kushindwa.
Indonesia

@MwanzoTvPlus sidhani madikiteta wa Iran wanasoma alama za nyakati. ndani ya Iran kuna upinzaani mkubwa.kiasi cha kufurahia kile wa USA na wa yahud wanachokifanya ndami ya iran. wakisubiri tu mda ili wavamie mitaa kama USA itafanya mashambulizi zaidi mpaka mitaani kuwazuia askari wasiue watu
Indonesia

#MAREKANI: MAREKANI YAJIANDAA KWA 'SHAMBULIO KUBWALA MWISHO' IKIWA MAZUNGUMZO NA IRAN YATAFELI
Ripoti mpya imeibua taswira ya Marekani kujipanga kwa chaguzi za kijeshi dhidi ya Iran, ikielezwa kama “shambulizi kubwa la mwisho” iwapo mazungumzo ya kidiplomasia hayatazaa matunda.
Hatua hiyo inahusisha uwezekano wa kutumia vikosi vya ardhini na mashambulizi ya mabomu makubwa.
Kwa mujibu wa vyanzo vilivyonukuliwa na Axios, Rais Donald Trump anaweza kuzingatia mapendekezo manne, ikiwemo uvamizi wa Kisiwa cha Kharg, kitovu cha mafuta ya Iran.
Wakati huo huo, mataifa ya Uturuki, Pakistan na Misri yanaendelea kusukuma juhudi za mazungumzo, yakijaribu kuzuia mwelekeo wa kijeshi na kuhimiza suluhu ya kidiplomasia.
Iran, licha ya kukataa masharti ya awali ya Marekani, haijafunga kabisa milango ya mazungumzo, ikibaki katika nafasi ya kusubiri na kupima shinikizo linaloongezeka.

Indonesia

@fumbokhanJr Gazeti la The Economist la Merekani limesema "A month of bombing Iran has achieved nothing. Will Donald Trump escalate or talk? For now, at least, the advantage lies with the Islamic Republic. "
English

@HarmlessHQ Take them on the front line in Iran. But first, make sure each should prepare his own coffin.
English

Uganda has just declared support for Israel and pledged their readiness to resist any talks of destroying or defeating Israel.
Uganda is outrightly warning Iran. Any missile from Tehran would be retaliated in maximum measures.
Uganda has a strong infantry army, capable of fighting in difficult terrains.
Iran should be worried.

English

@ShaykhSulaiman China already told you that if you fire the first bullet, they won't allow you to fire the next one. A quiet person is always very dangerous.
English

JUST IN: TRUMP SAYS AMERICA IS NOW RESPECTED
“Perhaps we are now respected like never, ever before. I don't think we have ever been as respected now. You know if you think about it, a year and a half ago our country was viewed as a joke. All over the world they were laughing at how stupid, how weak, how pathetic. Now we are the hottest country in the world.”
English

@BreckOden @INNewx Is your son or daughter in that war? It means you like what is going on?
English

Israel inatumia ndege za kivita fighter jets na droni kwa sababu:
Inayo jeshi la anga lililo bora zaidi duniani F-35 stealth linaweza kuruka mbali kufika Iran
kushambulia kwa usahihi mkubwa na kurudi.
Ina ubora wa kiufundi na ujasusi mzuri, hivyo inachagua malengo maalum kama viwanda vya makombora au nyuklia bila kuhitaji idadi kubwa ya makombora.
Inaweza kuharibu ulinzi wa anga wa Iran kwanza, kisha kushambulia kwa uhuru.
Iran inatumia makombora ya kurusha ballistic missiles na droni nyingi kwa sababu:
Haina jeshi la anga lenye nguvu ndege zake ni za zamani, haziwezi kufika Israel vizuri au kupita ulinzi wa Israel.
Ina makombora mengi sana na ya bei nafuu — inajaribu kuzidi overwhelm ulinzi wa Israel kama Iron Dome, Arrow kwa idadi.
Ni njia rahisi ya kushambulia kutoka mbali bila kuhatarisha ndege au marubani.
Kwa maneno mengine: Israel inashambulia kwa ubora na usahihi air superiority Iran kwa wingi na bei rahisi missile barrage. Hii inatokana na tofauti za uwezo wa kijeshi wao.
Iran kama chizi anarusha rusha tu ila Israel akili anapiga anapotaka.


Indonesia

Mahakama Kuu ya Kanda ya Morogoro imewahukumu kifungo cha maisha washtakiwa wanne kwa kusafirisha bangi (viroba 16).
Waliotiwa hatiani ni Silvanus Julius, (49) mkazi wa Tambuka Reli - Mikumi, Joyce Gidion (49) mkazi wa Yombo Vituka Dar es Salaam, Sophia Samweli (45) mkazi wa Mogo - Mikumi na Frolian Magoha, (36) mkazi wa Idege -Mikumi.

Indonesia

@HarmlessHQ Is your son among the front line soldiers? Don't even think about such a deadly ground inversion. Many families in US should get ready to receive the dead bodies of their beloved ones.
English

Kenya Considers Using KDF to Escort Ships to the Middle East
read.kenyans.co.ke/tapiK
English

@Danford_tz Uliumbwa ukiwa mbiguni au duniani? Ya mbiguni hakuna anae yajua. Story zote niza kuhisi tu.
Indonesia















