Joseph Kasanzu
1.1K posts


@massuidentity Mbele ipi? Huko ndo Kuna upuuzi mkubwa sema wale wanaficha vitu vyao. Wana mashabiki ambao kwa miundombinu ya kibongo mauaji Kila Leo. Kwenye utu tuko mbele yao
Indonesia

@EduTalkTz Bila Shaka Hawa watavuta na na watakuwa na KAZI ya kupuliza kwa mara ya kwanza
Filipino

@DadaEstie Hapo inategemea ulisikiaje,mbota au mbute.
-kama ni mbota ni samaki(sangara) wakubwa walionona.
-kama mbute ni mihogo iliyovundikwa.
Indonesia

@11Dnvr Kwenye interview baadhi Huwa anasema kuwa hawezi kufanya hivyo, Kuna Moja alikuwa anamzungumzia Bielsa akakiri atazishuaha daraja timu ndogo.
Indonesia

Sidhani kama anakwepa kwasababu hawezi kujipeleka, hajawahi kufika kwenye level ambayo hadi Everton wanaweza kuona watamuweza. Swali linaweza kuwa kwanini timu kubwa zinamuamini.
Icard@mtera_lucas
Mnahisi kwanini huyu jamaa anakwepa kufundisha team za daraja la Kati kama ilivyo kwa wenzio Ancelotti na Mourinho na bado walipata mafanikio
Indonesia

Rais wa klabu ya Yanga SC, Mhandisi Hersi Said (@Caamil8), ameteuliwa kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Bright Africans kwa kipindi cha miaka minne kuanzia mwaka 2026.
Uteuzi huo umetangazwa na Mwanzilishi na Mkurugenzi Mkuu wa Bright Africans Spencer Minja, Kupitia kura za wajumbe wa Bodi, unaimarisha dira ya taasisi katika kuendeleza ajenda ya uwezeshaji wa vijana kupitia uongozi, ujasiriamali na ubunifu.
Kupitia programu mbalimbali kama Project Amini iliyowafikia zaidi ya vijana 10,000, pamoja na ziara ijayo ya kitaifa, Bright Africans inaendelea kupanua mchango wake kwa vijana nchini Tanzania na Afrika.
Mhandisi Hersi Said, ambaye pia ni Mwenyekiti wa African Clubs Association, Mjumbe wa Kamati ya FIFA, na Mkurugenzi wa Uwekezaji wa GSM Group, analeta uzoefu mkubwa wa uongozi, uwekezaji na maendeleo ya vijana.
Uteuzi wake unaashiria mwanzo wa hatua mpya ya kuimarisha taasisi, kukuza ubunifu, kuimarisha harakati za maendeleo ya vijana, na kujenga mustakabali bora ambapo vijana wanaendelea kuwa kitovu cha maendeleo ya Afrika.
Wajumbe wa Bodi, Wanachama na Washirika wa Bright Africans kwa ujumla, wanatoa shukrani za dhati kwa Mhandisi Hersi Said kwa kukubali kupokea majukumu haya.
#KitengeSports



Indonesia

Washambuliaji bora kwa miaka ya 2000’s
1. Suarez
2. Lewandowski
3. Kane
Maoni yoyote nje ya haya ni kuonesha wazi haujui mpira.
𝐊𝐢𝐝𝐮𝐝𝐮 𝐌𝐭𝐮 𝐉𝐑™@anuskills3
Kuanzia miaka ya 2000, je, kuna mshambuliaji aliyekamilika zaidi ya Harry Kane?
Indonesia

@Aggy192 @MarekaMalili Hao wameamua kuishi pamoja wale wengine wameamua kuweka harusi kuonesha umma
Suomi

@MarekaMalili Alafu kwelii🥹🥹yaani watu waliokutana wakazaa bila ndoa yoyote zinadumu sana ata huku mitaani kwetu tunashuhudia iloo
Indonesia

Cha ajabu za sogea tukae husikii milio 🤣
𝑴𝒂𝒌𝒂𝒗𝒆𝒍𝒊 @Makaveli_255
The rate of divorce among young couples in recent years is deeply concerning.
Indonesia


@RMbeyale @fadhilikangusi Na ukiambiwa kulikuwa na hekima unaelewa Nini? Yesu hakusema yeye ni alpha na omega, soma biblia acha kusikiliza wavaa suti
Indonesia

@Gasanzu @fadhilikangusi Ukiambiwa hapo mwanzo kulikuwa na neno unaelewa nini?
Kingereza inasema "in the began" Bible zote za Kingereza
Later Yesu anasema kabla ya kuubwa misingi ya dunia nilikuwepo
Then anaongea mimi ndio mwanzo na mwisho alfa and omega
Bible ni zaidi ya calculus siyo gazeti
Filipino

@Gasanzu @JrMuhama @fadhilikangusi Tena wewe ndio ulitakiwa uyaelewe vizuri zaidi sababu unaendana nao
Indonesia

@BarakaMaviatu Mjinga namba 1 kabisa ni mtu anayeamini theory ni ukweli
Filipino

Hapa tuna Internet na smart phones fikiria Watanzania 40M+ wanaoishi vijijini wapo katika hali gani?
Siku watu wakianza kusikia mada ngumu kama quantum physics, neuroscience, astronomy, biomaterials & nanotechnology tutasema uchawi.
Hii hali inaenda hadi juu kwenye uongozi.
(---) Onesmo Mushi@EduTalkTz
Mwaka 2026🙌🏿🙌🏿🙌🏿!
Indonesia

@RMbeyale @fadhilikangusi Wala siyo hao, Mungu hagawanyiki na Yesu mwenyewe alikataa siyo Mungu. Wapo wengine
Filipino

@Gasanzu @fadhilikangusi Ukisoma tu Mwanzo 1:1
Utaona wapo wote watatau Baba, mwana na roho mtakatifu ndio hao anaojadiliana nao
Filipino

@JrMuhama @Gasanzu @fadhilikangusi Mtu wa hivi kumwandikia hili neno ni kupaka rangi upepo, hawezi elewa
Indonesia

@FabrizioRomano Huyu sidhani kama kipaji kimo. Inaonekana tu hakunamo mchezaji
Slovenščina

@fbuyobe That is it! And it was primarily introduced by Satan's servant(saulus of Tarsus) contrary to the original feast ( done by Jews and Jesus himself). Paul or Paul's books brought satanism within the true way of God
English











