FREE NINJA🇵🇸@allymohamed

140.6K posts

FREE NINJA🇵🇸@allymohamed banner
FREE NINJA🇵🇸@allymohamed

FREE NINJA🇵🇸@allymohamed

@KINGLUDA18

|Football Enthusiast|Man United,Real Madrid| |Suratul Baqarah 2:153| |MINESO PROMOTION C.E.O| |UDSM ALUMNI|

参加日 Temmuz 2020
1.2K フォロー中2.9K フォロワー
FREE NINJA🇵🇸@allymohamed がリツイート
CHURA MYUNANI MKALI PAPPARAZI
Kwa nini tusiache hashtag ya #FreeNinja? 1.​Inalinda usalama wa mhanga kwa kuweka macho ya dunia kwake. ​2.Inazuia tukio kusahaulika au kuzimwa. 3.​Inatuma ujumbe kuwa umma unajua na unafuatilia. Paza sauti, usinyamaze #FREENINJA
CHURA MYUNANI MKALI PAPPARAZI tweet media
Indonesia
1
134
196
2.5K
FREE NINJA🇵🇸@allymohamed
Humu ndani tunaishi na watu wa hatari sana na tunacheka nao kwenye tweet kila siku sema nn hata nyie hamtaishi milele👍🏾
Indonesia
4
31
76
1.4K
Dume O'Reilly 🩵
Dume O'Reilly 🩵@Dume_Jeuri__·
Kila nikiingia humu nikiona picha ya jamaa yetu hapa hata nguvu ya kubaki humu inaisha kabisa Maumivu ni makali sana Kibaya hatujui jamaa yuko na hali gani uko aliko Inaumiza sana aisee 💔💔 MUNGU AKULINDE JAMAA WAKURUDISHE UKIWA MZIMA KABISA #Freeninja #Freeninja
Dume O'Reilly 🩵 tweet media
Indonesia
2
24
34
577
FREE NINJA🇵🇸@allymohamed がリツイート
KIDAWA
KIDAWA@Sallamasally_·
My sis just told me coz she has a shop near Ninja place ni kapiga kelele sana tu hawa watu me siwajui na hapo Google park kunajaa watu 24/7 ila nobody even bother aise watu hatuna utu. #FreeNinja
Indonesia
6
33
101
5.3K
FREE NINJA🇵🇸@allymohamed がリツイート
Webiro Wakazi Wassira #TheLeader
WHERE IS NINJA, FREE HIM NOW!! Huyu jamaa sio rafiki yangu, infact ni miongoni mwa watu ambao walikuwa wananikejeli na kunitusi (sababu ya ushabiki wa Wasanii wengine wa Hip Hop). Ila kama kweli mimi ni mpenda na mtetea haki, nitakuwa mnafiki nisipotumia nafasi na sauti yangu kupaza sauti juu ya kitendo cha yeye kutekwa!! SERIKALI HARAMU inawaza tu kuhusu wao kubaki madarakani, na sio majeraha inayowaachia Wazazi na Familia kiujumla kwa kuendelea kuteka na kukamata watu kiholela kinyume na sheria. Nakemea kitendo hicho na naungana na wenzangu kusema FREE DAMOUR NOW !! Kama @Ninja_Damour hajapatikana kwenye vituo vyote vya polisi, basi RPC ajiuzulu kazi leo leo maana ameshindwa kulinda Wananchi hadi uhalifu kufikia kiasi hicho. #WeWantJustice #FreeNinja #MwalimuMkuuMAMAyenu
Webiro Wakazi Wassira #TheLeader tweet mediaWebiro Wakazi Wassira #TheLeader tweet media
Indonesia
3
156
434
10.5K
FREE NINJA🇵🇸@allymohamed
@denniehanda Nilishasema fixture yao haiwabebi kua mabingwa wanahitaji kua kwenye form ya maisha yao….. Huku mpinzani wao akiwa amecheza fixture zake ngumu tayari
Filipino
1
0
0
46
Low Budget Marco Rubio
Low Budget Marco Rubio@denniehanda·
As a diehard EPL fan, I know for sure no team can beat Everton, Brentford, Palace, Bournemouth, and Villa in a row. If City can do that, they deserve the league title.
English
1
0
20
1.7K
FREE NINJA🇵🇸@allymohamed がリツイート
Dada Conso 🐺
Dada Conso 🐺@DadaConso·
Kama yule jamaa aliyeandika story ya uongo kuhusu Ninja ni rafiki yenu nyie watu.. lazima awajibike. Naomba mumuulize vizuri, mbananisheni aseme taarifa katoa wapi.. Otherwise mnaendelea kufuga marafiki ambao mi snitches and at the same time wanaweza kukuharibia maisha.. Mkamateni, and beat his ass up.. 🤧
Indonesia
10
43
185
12.2K
Taivina James
Taivina James@Thereal_taivina·
Tofauti na washikaji wa karibu wa Ninja msiamini Info za Strangers kuwa Ninja alikuwa wapi akaenda wapi zile info sio za Bahati mbaya ni sehemu ya plan za kupoteza Maboya au kumtafutia kosa mwana. Unaamini mtu mmoja anaweza kuzomea kwenye Festival na sauti yake ikaenda? RAT
Taivina James tweet media
Indonesia
12
147
482
15.3K
FREE NINJA🇵🇸@allymohamed がリツイート
#FREETUNDU ANTIPAS MUGHWAI LISSU
Ee Bwana unihukumu unitetee kwa Taifa lisilo haki uniokoe na mtu wa hila asiye haki Good morning chosen people
#FREETUNDU ANTIPAS MUGHWAI LISSU tweet media
Filipino
10
40
48
404