s=klogw
21.8K posts

s=klogw
@keithevans2685
Pediatrician• Science lover •Freethinker• Bibliophilia • Ethical Humanist • Jazzhead • Boombapper • Introvert • Casual gamer • Future corpse
dar es salaam,Tanzania 参加日 Ağustos 2013
4.1K フォロー中819 フォロワー
固定されたツイート
s=klogw がリツイート


@AdamMkali2 @Roma_Mkatoliki Hivi vyote ni visasi vya sisi wanyonge kwasababu hatuna njia nyingine ya kulipiza kisasi, ila hayo yote pia sisi maskini tunapitia, Hypertension, Kisukari, Cancer, Stroke tena na umaskini wetu na bila hata kuwa bima ya kukusaidia, unaishia kwa waganga na kulaumu umerogwa
Indonesia

@Roma_Mkatoliki Sema mungu sio mwameja huo mchele wanapiga malimbikizo tu hawaufaid chochote zinatumikaga kwenye matibabu tu mara sukar nying , mara stroke ya shingo, mara shinikizo ,mara Kila mwezi tubadilishe damu
Indonesia

Mbunge
anakunja mshahara plus posho,
milio kama 12-18 💴 hivi
kila mwisho wa mwezi!!
Tufanye 12M kadirio la chini!!
So kwa mwaka anakunja 144M.
Kwa term moko (5yrs) muhula mmoja
anakunja 720M (Bilioni kasorobo)
Whaaaaaao!!
Ukiwa mbunge kwa miaka 30 unatengeneza 4B+
Kumbuka hapo kuna mpiga kura wake ana umri wa miaka 35 na hajawahi kushika hata laki tatu tu ya pamoja KMMK Walahi🥹
(I’m sorry)
Again, mpiga kura huyo hana maji, hana umeme, na akiumwa hana bima ya afya!!
Mbunge huyo ana kila kitu sio shida zake!!
Na kwa kipindi chote hicho anaweza asiwe tu mbunge, akapewa na uwaziri……
means mshahara uta-double!!
Hapo sio tena 12M monthly
So kwa miaka 30 mtu anatengeneza 6B plus!! Mixer fursa shindili, yeye na familia yake na ukoo ikimpendeza!!
Lakini jimboni kwake ukifika hakuna chochote kilichobadilika, shida,ufukara,umasikini,changamoto milioni!!
Na hii ndio legacy wanayoipambania, not otherwise!!
Ndio maana mtu huyu anakuwa tayari kukupoteza ikibidi kukuua
ili ku-secure bag lake 💰
Indonesia

@TomuSangeInTech I didn't make him wear that shirt lol
English
s=klogw がリツイート
s=klogw がリツイート

@Thazhigilla_ Just shut and learn,Some Consultants won't take it likley knowing more than them, although most of them will like the fact,you took their concern/question seriously and went back and study and learn, there is respect on intellectual humility
English
s=klogw がリツイート

@Thazhigilla_ Some consultants derive joy in bringing down their juniors.
So I've learned the magic word, "I don't know it sir, I'll read it up"
English

@Isayadicksonjr Kuna jamaa niko residency alikuwa amekuja Intern, Calls anawalipa wenzie waingie, alipostukiwa wakapiga adhabu ya kurudia rotation miezi 2,Jamaa akaacha Intern, kilichonishangaza kwanini ulikaa Med school muda wa miaka 5 kama ulikuwa na Mishe zinakulipa na huna mapenzi na MD
Indonesia
s=klogw がリツイート
s=klogw がリツイート

@fadhilikangusi Kama Lil Wayne ana'influence kubwa hiyo kumpita Jay, atangaze Arena shoe inaweza kuwa sold out ndani ya siku 1 bila hata album mpya,afanye interview 1 ambayo inaendelea kuwa gumzo pande zote za dunia, There are levels to this thing
Filipino

Tunamtaja zaidi Hov kwa sababu ya akili ya biashara tu!
Deechairman@_dchairman
Lil Wayne is a bigger , better , more influential rapper than Jay Z has ever been . He also has a way better catalogue I don’t get the hype about Jay Z , y’all make him look like the hip hop royalty when he has never been . Kanye literally gave Jay Z his biggest album , he revived that man’s career
Indonesia
s=klogw がリツイート
s=klogw がリツイート
s=klogw がリツイート
s=klogw がリツイート

Being alive, a billionaire and married to Beyoncé >
VintageHermes@vintageHERMES_
JAY Z wants Tupacs legacy and that will never happen
English

@Dr_Chris_Twine I have realized that now days we have content creators not doctors this post can't be from a trained medical practitioner.
English
















