Adam Vunge

2.9K posts

Adam Vunge banner
Adam Vunge

Adam Vunge

@AdamMkali2

Vunge

가입일 Ağustos 2021
2.2K 팔로잉927 팔로워
Adam Vunge
Adam Vunge@AdamMkali2·
@ze_mandevu Lengo ilikua kuonyesha jins gan hatujapendezwa ko ujumbe umewafikia piaa
Indonesia
0
0
2
176
The mandevu
The mandevu@ze_mandevu·
Msimamo ulikuwa ni kuachana na Muziki wa Bongo pia kuachana na Simba na Yanga, lakini Watu wameshindwa ila wabishi haturudi nyuma.😨
The mandevu tweet media
Indonesia
22
43
232
3.1K
#NIPENI_MAUA_YANGU💐
#NIPENI_MAUA_YANGU💐@Roma_Mkatoliki·
Mbunge anakunja mshahara plus posho, milio kama 12-18 💴 hivi kila mwisho wa mwezi!! Tufanye 12M kadirio la chini!! So kwa mwaka anakunja 144M. Kwa term moko (5yrs) muhula mmoja anakunja 720M (Bilioni kasorobo) Whaaaaaao!! Ukiwa mbunge kwa miaka 30 unatengeneza 4B+ Kumbuka hapo kuna mpiga kura wake ana umri wa miaka 35 na hajawahi kushika hata laki tatu tu ya pamoja KMMK Walahi🥹 (I’m sorry) Again, mpiga kura huyo hana maji, hana umeme, na akiumwa hana bima ya afya!! Mbunge huyo ana kila kitu sio shida zake!! Na kwa kipindi chote hicho anaweza asiwe tu mbunge, akapewa na uwaziri…… means mshahara uta-double!! Hapo sio tena 12M monthly So kwa miaka 30 mtu anatengeneza 6B plus!! Mixer fursa shindili, yeye na familia yake na ukoo ikimpendeza!! Lakini jimboni kwake ukifika hakuna chochote kilichobadilika, shida,ufukara,umasikini,changamoto milioni!! Na hii ndio legacy wanayoipambania, not otherwise!! Ndio maana mtu huyu anakuwa tayari kukupoteza ikibidi kukuua ili ku-secure bag lake 💰
Indonesia
70
253
1.4K
67.9K
Adam Vunge
Adam Vunge@AdamMkali2·
@keithevans2685 @Roma_Mkatoliki Ndo mana nikaanza na Mungu kwamba mungu hatupitish kwenye njia sawa Kila moja anampa kwa kadri alivyomkadilia kama kapanga utumie Cha halali ni elfu hamsin bas hata Ukipata million itatumika bila mpangilio wako ilimlad ibak unayostahil kuitumia
Filipino
0
0
0
23
s=klogw
s=klogw@keithevans2685·
@AdamMkali2 @Roma_Mkatoliki Hivi vyote ni visasi vya sisi wanyonge kwasababu hatuna njia nyingine ya kulipiza kisasi, ila hayo yote pia sisi maskini tunapitia, Hypertension, Kisukari, Cancer, Stroke tena na umaskini wetu na bila hata kuwa bima ya kukusaidia, unaishia kwa waganga na kulaumu umerogwa
Indonesia
1
0
0
107
Adam Vunge
Adam Vunge@AdamMkali2·
@weOutchae @Roma_Mkatoliki Ishu sio gharama nachosema kwamba wanapesa ila maradhi yanawaweka bize kias hata Raha ya kula mchele wao inatoweka tofaut na matarajio
Indonesia
0
0
0
190
Adam Vunge
Adam Vunge@AdamMkali2·
@Roma_Mkatoliki Sasa kama pesa yao haiwasaidii kustopisha kifo Wala maradhi bado kazi bure tunaumia tu kwa sababu tuko nje yao hatujui nn wanapitia ila nna hakika inawezekana hawana hyo furaha au Raha tunayohis wanayo , Bas tuendeleen kukaanga kiepe Kila akidondoka m1 wao tupoze machungu
Indonesia
0
0
1
58
#NIPENI_MAUA_YANGU💐
#NIPENI_MAUA_YANGU💐@Roma_Mkatoliki·
@AdamMkali2 Still wanakula good time, maana hata sisi walalahoi bado tunaugua hayo hayo maradhi, sasa kipi bora?
Filipino
5
0
77
5.8K
Adam Vunge
Adam Vunge@AdamMkali2·
@curldenny @Roma_Mkatoliki Yan bado pesa zao hawazifaidi wee ukiwa na M50 alaf upo hospital mwaka mzima zinakusaidia nn hizo pesa au wanao Wana Raha gan ya kula Bata wakat wew unamwa kl
Indonesia
2
0
0
29
Adam Vunge
Adam Vunge@AdamMkali2·
@mshambuliaji @bajabiri Tunayoyasema kama ingekuwa ndo tunatekeleza bas Janna ingekuwa nyepes sana Cha ajabu likiisha Tanga ndugu tu Tunajisahau ila tujue tu Kila mtu atabeba dhima ya kile alichopewa dhamana na jamii yake twendeni tu
Indonesia
0
0
0
124
Joti
Joti@JotiOfficial·
Pumzika kwa amani Mzee Lukuvi.
Joti tweet media
Suomi
69
11
186
11.1K
Adam Vunge
Adam Vunge@AdamMkali2·
@prossoff Yeye anasisitiza tumwage moto tu😂😂😂
Filipino
0
0
0
291
ProsperNow.
ProsperNow.@prossoff·
Tweet za SATIVA juu ya LUKUVI zinachekesha wakati tupo kwenye majonzi😁😄
Indonesia
33
39
733
39.8K
Crown Media
Crown Media@CrownMediaTZ·
“Kwanza watu wafahamu kuwa hiki kikao ni asilimia 70 cha benchi la ufundi, kwasababu ni kikao cha kutoa ripoti yao kwa viongozi, hata taarifa kwa umma ukiiangalia ilielezea vitu vyote vilivyopo kwenye ripoti ya benchi la ufundi” Sikiliza CROWN FM kupitia 92.1 Mhz, Radio Box & Radio Garden tafuta CROWN FM. Tutazame Live kupitia YOUTUBE channel yetu CROWN MEDIA na CROWN TV kwenye Kisimbuzi cha Azam (DISH) ni chaneli namba 415. #CrownMedia #HapaNiNyumbani #TupoMwakaWaMbele
Crown Media tweet media
Indonesia
1
0
11
440
Adam Vunge
Adam Vunge@AdamMkali2·
@CrownMediaTZ Ye mwenyewe mguu nje mguu ndan alaf anataka kuleta wanawe ebana mtaungana wote mtatimka pamoja nyie mnaijua yanga mnaiskia
Indonesia
0
0
0
68
Crown Media
Crown Media@CrownMediaTZ·
“Tumemrejesha Moalin kwenye benchi la ufundi, kutokana na ripoti ya Kocha mwenyewe, kutokana na ripoti ya mwalimu baada ya mechi 16, tumevuna alama 38 tumepoteza point 10” “Baada ya majadiliano, maeneo yenye changamoto ni mechi za ugenini kutokana na viwanja, katika vitu ambavyo kocha Pedro Goncalves alivyoomba ni kuongezewa mtu mwenye uzoefu na Ligi Kuu Tanzania Bara” Sikiliza CROWN FM kupitia 92.1 Mhz, Radio Box & Radio Garden tafuta CROWN FM. Tutazame Live kupitia YOUTUBE channel yetu CROWN MEDIA na CROWN TV kwenye Kisimbuzi cha Azam (DISH) ni chaneli namba 415. #CrownMedia #HapaNiNyumbani #tupomwakawambele
Crown Media tweet media
Indonesia
5
4
124
6.5K
MTANZANIA 🇹🇿
MTANZANIA 🇹🇿@GilbertPaul095·
✅✅✅✅✅✅✅✅✅✅✅✅✅✅ Mwanangu hakikisha una Save angala Tsh 200,000/= kwa kila mwezi.
Filipino
59
49
407
18.2K
Adam Vunge
Adam Vunge@AdamMkali2·
@mshambuliaji Yan vichwa vya habar vya kitenge kama umetoka usingizin unaweza Sema Kuna hatar gan huku asa kusaini ndo kujitia kitanz 😂
Indonesia
0
0
0
65
Maulid Kitenge
Maulid Kitenge@mshambuliaji·
Klabu ya Manchester United ipo ukingoni kufikia makubaliano ya kumsainisha kiungo, Kobbie Mainoo nyongeza ya mkataba mpya inayotarajiwa kumbakisha nyota huyo klabuni hapo mpaka Juni 2031. Mkataba huo mpya wa nyota huyo wa Kimataifa wa England mwenye umri wa miaka 20 utakuwa na maboresho ya mshahara ambapo anatarajiwa kutia kibindoni zaidi ya mara nne ya mshahara wake wa sasa pauni 25,000 kwa wiki. #KitengeSports
Maulid Kitenge tweet media
Indonesia
3
4
209
6.7K
Adam Vunge
Adam Vunge@AdamMkali2·
@Roma_Mkatoliki Ule mtililiko sijategemea mwisho kuona kumbe tunamalizia mabatani kugonganisha vyupa na kelele za mziki zinazotufanya tuongee kwa saut Kal hata tukiwa karibu
Filipino
0
0
0
15
#NIPENI_MAUA_YANGU💐
#NIPENI_MAUA_YANGU💐@Roma_Mkatoliki·
Umeshalipa kodi✅ Umeshalipa ada✅ Gesi na luku shindili✅ Friji limejaa mazaga✅ hudaiwi chochote Uko batani uko vyombo 🥃🍻🍹🍾 aaaf DJ ndio akalidondosha lile 🎶 Yoo Lily Sabelaaa Sijui Kelly Sabelaaaa Weee Molly Sabelaaaa Yooo Luluu Sabelaaa 🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌 Weeeeeeeeeee
Indonesia
32
73
940
44.1K
Adam Vunge
Adam Vunge@AdamMkali2·
@tagatojtagato Anajifanya sajil za msimu huu hajasajil injinia ili amsafishe ionekane ye hakosei au sio
Indonesia
0
0
0
98
Tagato James 
Tagato James @tagatojtagato·
“Mimi nimuombe tu Rais wangu (Eng Hersi Said), haya mambo haya (ya usajili wa wachezaji) yarudishe kwenye himaya yako. Haya mambo unaenda unamuacha kocha 100% sometimes ni shida,” Ali Kamwe, Meneja Habari na Mawasiliano Yanga SC via Crown Media
Tagato James  tweet mediaTagato James  tweet media
Indonesia
10
3
135
9K
Adam Vunge
Adam Vunge@AdamMkali2·
@anuskills3 Diara ndo kamsukuma mchiz ila mchiz akabak mbele ya diara mali inapigwa diara anaruka mwana anamkwepa diara anarud nyuma diara anapoteza mwelekeo
Filipino
0
0
1
268