@curldenny@Roma_Mkatoliki Yan bado pesa zao hawazifaidi wee ukiwa na M50 alaf upo hospital mwaka mzima zinakusaidia nn hizo pesa au wanao Wana Raha gan ya kula Bata wakat wew unamwa kl
Mbunge
anakunja mshahara plus posho,
milio kama 12-18 💴 hivi
kila mwisho wa mwezi!!
Tufanye 12M kadirio la chini!!
So kwa mwaka anakunja 144M.
Kwa term moko (5yrs) muhula mmoja
anakunja 720M (Bilioni kasorobo)
Whaaaaaao!!
Ukiwa mbunge kwa miaka 30 unatengeneza 4B+
Kumbuka hapo kuna mpiga kura wake ana umri wa miaka 35 na hajawahi kushika hata laki tatu tu ya pamoja KMMK Walahi🥹
(I’m sorry)
Again, mpiga kura huyo hana maji, hana umeme, na akiumwa hana bima ya afya!!
Mbunge huyo ana kila kitu sio shida zake!!
Na kwa kipindi chote hicho anaweza asiwe tu mbunge, akapewa na uwaziri……
means mshahara uta-double!!
Hapo sio tena 12M monthly
So kwa miaka 30 mtu anatengeneza 6B plus!! Mixer fursa shindili, yeye na familia yake na ukoo ikimpendeza!!
Lakini jimboni kwake ukifika hakuna chochote kilichobadilika, shida,ufukara,umasikini,changamoto milioni!!
Na hii ndio legacy wanayoipambania, not otherwise!!
Ndio maana mtu huyu anakuwa tayari kukupoteza ikibidi kukuua
ili ku-secure bag lake 💰
@FutureTrader01@nyuki_malkia Then who is to blame? The giver or the receiver? If the allegations are true then they have act against the source of all billions
@Baraka__Mpenja Em! Kuwa mwelewa Kaka shida hapo sio bei shida ni kiatu kuchoka yaani kimeisha
Hakina muonekano wa kile kiatu kipya ila thamani ya kiatu kipya ndio bei hiyo Kaka
Embu! Fikiria akitaka kuuza used atauza kwa bei hiyo? Usd 1668
😂😂OOOH! MBONA RABA YA ALASSANE KANTE IMECHOKA, imechakaa vibaya mno, UNAIJUA?😂😂😂😂😂😂
Mabibi na Mabwana hicho kiatu alichovaa Mchezaji mpya wa Simba SC, Alassane Kante, kwenye picha yake ya utambulisho ni Adidas x Bad Bunny Forum Buckle Low
1/2
@big_BALLS_doge@iammpemba Matumizi hayo yanatokana na factor nyingi sana! Ya kwanza ni uchumi wa nchi, teknolojia pia na aina ya adui ambaye unaweza kupambana nae! Marekani na Urusi ni level za juu sana kujilinganisha nao
@iammpemba Hebu acheni utani eti mazoezi😂😂😂 yani ufanye mazoezi n kisu alafu vitani ukafumie kifaru! Acheni ujinga bana JWTZ ni ill equiped fullstop! Hamuwazidi Uganda kwa modern military gears
@bvrbvra Hivi ni vita vya ndani kati ya pande mbili za ghaibu. Adui huyu hapigani kwa nguvu ya moto bali kwa habari potofu. Uwanja wa vita hauonekani, na upo kila mahali. Vita si suala la kudhibiti tena eneo; inahusu kushawishi na kudhibiti mtazamo.
This is an internal war between the dualities of the unseen. This enemy doesn’t fight with firepower but with misinformation. The battlefield is invisible, and omnipresent. Warfare is no longer a matter of controlling territory; it’s about influencing and managing perception.
🚨🌍 𝐋𝐀𝐓𝐄𝐒𝐓 𝐎𝐍 𝐓𝐇𝐄 𝐀𝐅𝐑𝐈𝐂𝐀𝐍 𝐅𝐎𝐎𝐓𝐁𝐀𝐋𝐋 𝐋𝐄𝐀𝐆𝐔𝐄:
✪ Dr Patrice Motsepe is holding on to the start of the new African Football League (AFL) next season.
✪ CAF and the AFL organizers are striving to find a formula to maintain the organisation of the upcoming 2024/2025 season and see where best to fix in and not distract the calendar.
✪ Dr Motsepe is in negotiations with the new sponsors to provide the financial flow to host the AFL in its second edition.
✪ 90% there is a high percentage of holding the AFL next season.
✪ The number of teams participating will increase as expected but also depends on the financial position.
✪ Mamelodi Sundowns, the defending champions will be in to defend their title.
✪ Only Enyimba may be kicked-out but the rest of the teams in the inaugural edition all confirmed their participation.
✪ Al Ahly, Simba, Wydad, TP Mazembe, Petro Luanda and ES Tunis are all set.
Africa, are you ready for another edition of the African Football League and what do you think need to improve from going forward? 🤭
#aflwithmicky#africanfootballleague
@kennedyfransis@EduTalkTz Kwa hiyo mfano Israel kwa sasa yuko vitani na Hamas! Mbona infantry wanapambana? Au naye hana technology???? Tungeona wamekaa kwao technology inapambana peke yake
@EduTalkTz Ao makomando ni useless labda kama wanawatumia kwa chaddema, nenda nunua F16 nenda Iran nunua makombora yenye uwezo wakufika Rwanda 💀 alaf rudi kaa zako kinyaa!
Lieutenant Commando ⭐️⭐️⭐️ yes hiki ndio cheo ya Muuza madafu wa ikulu tena jamaa ana bawa kifuani yes maana yake ni kwamba amemaliza kozi zote za ukamando 92KJ Ngere What? Yes Ngerengere
Alipohojiwa na @millardayo muuza madafu alijibu
Ukija bila gadi nagawa wastani kwa idadi
Naitwa Charles Samwel Wambura ni Askari wa JWTZ niko Lugalo
Nili nunua kiwanja Madale mwaka 2018 nikajenga na kuhamia mwaka 2020 akajitokeza boss anaeitwa KUMBAKUMBA nakudai hilo eneo lote ni lake,zipo zaidi ya Hekari 5 kwamba alinunua kama Shamba pori, Huyo tajiri akawa anaendesha kesi na mtu ambae ndie alieniuzia hilo eneo, mimi binafasi sijawai kuitwa mahakamani, mwisho wasiku jana amekuja na askar zaidi ya 15 akidai ameshinda kesi na kapewa ulinzi na Mkuu wa Wilaya ya kinondoni, miminilikua kazin nikapigiwa simu nyumba yangu inavunjwa kuanzia fansi hand ndani
Naomba msaada wako kaka mimi ni wakufa kila baada ya masaa napoteza faham eeeeeh mungu wangu, sioni hata thaman ya kua mwanajeshi nalala nje, raia naowalinda ndan ya nchi yangu wana chukua maisha yangu duuuuh 😭.
Namba yangu ya simu +255 658 796 717, Naomba nisaidie wakubwa serikalini waone nipate haki yangu.