Usiwafanyie watu mabaya tu, bali pia usiwatamanie mabaya mioyoni mwako. Maana dunia ina mzunguko—unayotenda au kutamani kwa wengine, nayo hukurudia. Chagua wema kila wakati. 🙏
Devotha Mlimchukia Sababu Alichukua Form Ya Ubunge
Madenge Mkamchukia Kisa Ford Foundation
Wasanii Mkawachukia Kisa Kampeni Za Ccm,
Simba & Yanga Mkazichukia Kisa Hazikutoa Pole Oct 29
Basi Sawa
Nyie Kwenda Kwa Vunja Bei , Collabo Na G Nako Mnatafuta Ugali
Mamae Zenu😁
Hongera sana DCI Ramadhan Kingai kwa kufiwa na Mama yako Mzazi, hayo maumivu ambayo unapitia ndo familia nyingi tulipitia Oktoba 29 baada nyinyi kuuwa kwa risasi Watanganyika wenzetu zaidi ya elfu kumi.
Tena wewe unaafadhali maana umeweza kumzika Mama ako kwa heshima huko Bumbuli Tanga, sasa wenzako tulizika nguo kwasababu nyinyi mliiba maelefu ya miili ya ndugu zetu, mkaenda kuzika kwenye makaburi ya Halaiki.
DJ niwekee ile nyimbo ya Hakuna Mungu kama wewe Baba 😂😂😂
Viongozi wa vyama rafiki vya upinzani vya siasa ngazi ya taifa wameeleza msimamo wao wa kutokukubaliana na baadhi ya wananchi, viongozi wa vyama vya upinzani na wanaharakati kutaka iundwe tume huru kutoka nje ya nchi kuchunguza matukio yaliyotokea wakati na baada ya uchaguzi mkuu wa Oktoba 29, 2025.
Viongozi hao ni kutoka Chama cha Democratic (DP), Demokrasia Makini (MAKINI), United Democratic Party (UDP), Sauti ya Umma (SAU), Alliance for African Farmers Party (AAFP), Chama cha Kijamii (CCK), Alliance for Democratic Change (ADC), United People's Democratic Party (UPDP), Union for Multiparty Democracy (UMD), National League for Democracy (NLD), National Reconstruction Alliance (NRA), African Democratic Alliance Party (ADA- TADEA) na Tanzania Labour Party (TLP).
Wakizungumza leo mara baada ya kukagua na kutembelea mradi wa Daraja la John Pombe Magufuli lililopo Kigongo/Busisi mkoani Mwanza.
Mwenyekiti wa Vyama Rafiki 13 vya Siasa Nchini ambaye pia ni Mwenyekiti wa Chama cha DP, Abdul Mluya mbali na kusisitiza umuhimu wa taifa kutatua matatizo yao wenyewe amewakosoa wale wote wanaodhani wao wamenunuliwa na wanatumika na mamlaka za juu huku akidai wao hawajarambishwa asali.
"Hii ni nchi huru brother (kaka) ni lazima ijisimamie na kujiendesha yenyewe tuna mifano miwili ambayo tulipita kwenye mikwamo ya kisiasa je walikuja wazungu kutusuluhisha, tulikaa wenyewe tukasuluhishana tukaja na maridhiano leo hii Serikali ya umoja wa kitaifa inafanyakazi Zanzibar," amesema.
Mluya ameongeza kuwa "Hatutakubali mtu yoyote anayejaribu kuuza uhuru wetu kwa bei chee kwa watu weupe, kwetu sisi atakuwa ni adui atatuita waramba asali au vibaraka na tutasema ili na sisi tutakapo ondoka kwenye ardhi hii pale Mungu atakapotunyakua tukabidhi nchi hii kama tulivyoikuta kutoka kwa watangulizi wetu,".
Akiunga mkono hoja hiyo Katibu Mkuu Chama cha NLD, Doyo Hassan amekiomba Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kuachana na siasa ambazo zinaweza kulitumbukiza nchi kwenye machafuko.
"Nimesikia juzi wanasema Mwenyekiti wao asipotolewa wataanzisha maandamano ya nchi nzima, mimi niwaombe Chadema wao ni wanasiasa wanahitaji kushika dola waongoze, niwakumbushe dola inaongozwa kwa mujibu wa sheria na taratibu mwenyekiti wao amekamatwa yuko mahakamani tuipe nafasi mahakama isimamie taratibu na sheria kama anamakosa atatiwa hatiani na kama hana makosa ataachiwa," amesema Doyo
Arusha ikifika saa 3 usiku maduka yamefungwa, watu wamelala na maskini ni wanahesabika.
Dar watu wanafanya kazi usiku na mchana, pale Buguruni saa 8 za usiku unapata pilau la Moto kabisaaa lakini bado umaskini NI mkubwa Sana
Shida inaweza kuwa NI nini?
Hizi ndiyo siasa napenda kuona kwa wakubwa wetu na sisi vijana. Unatoa hoja natoa hoja, hoja yako ikimake sense nakubaliana na wewe sio kubishana au kutukanana au kudhalilishana au kutaka kuonesha mmoja mjinga au hajui. Viongozi vijana tuige kwenye hii convo ya wakubwa @zittokabwe na @godbless_lema
Maulid Kisenge ni bingwa la Propagandist,,, anakula Kandarasi hadi za Xenophobia. Kila uovu ye ni Toilet Paper ya kusafishia
Ndio maana kubwa zima halina Ithibati… 😆
Utumishi wa tukuka wa Judge Chande. Ripoti yake, Mengi hususani mitandaoni yanamshusha hadhi. Mafunzo kupindua nchi yaendeshwe uani mwa kituo cha polisi, yamefanyika miezi sita kabla ya ghasia, polisi na jeshi wasijue, siku 153 za uchunguzi na ripoti hataiona tena. Inatia huruma.
@godbless_lema Duh!Nasikia anataka kujadili report ambayo hana!!!soon anaungana na wahuni.Ni mtu ambaye nilitegemea atakuwa na hekima kuliko wale waliohidhuria ya report ya Mzee wa jalalani.