Adamoo

152.4K posts

Adamoo banner
Adamoo

Adamoo

@Addy_Adams

لا إله إلا الله محمد الرسول الله

Tanzania 가입일 Kasım 2011
744 팔로잉12.4K 팔로워
고정된 트윗
Adamoo
Adamoo@Addy_Adams·
Najua Binadam sijakamilika, niliowakosea naomba mnisamehe na Dua njema mniombee...
6
42
228
0
Adamoo
Adamoo@Addy_Adams·
@BillyTronix1 Haitoi yaani iko Dark,,, ukiwasha mwanga kwa mbali na ukiongeza sauti haioneshi kwenye Kioo
Indonesia
1
0
0
139
Adamoo
Adamoo@Addy_Adams·
Wasouth ni wa$£ng€ sana,,, wanabagua waAfrica wenzao wakati hapo Cape Town waZungu matajiri wanaishi Camp Bay nyumba full mansions wametengenishwa na Maskini wako zao kwenye nyumba za Bati hazina umeme Wameshindwa kuwafanya kitu wanawaletea Gozigozi Waafrica wenzao 🚮
𝑻𝒉𝒆 𝑺𝒂𝒍𝒕 𝑶𝒇 𝑻𝒉𝒆 𝑬𝒂𝒓𝒕𝒉@Shadaya_Knight

Current situation in South Africa, as black South Africans are closing businesses of black foreigners.

Indonesia
0
2
7
630
Adamoo
Adamoo@Addy_Adams·
@3milesahead Kwenye Sheria kuna msemo “Jinai haiozi”
Indonesia
1
0
0
29
Adamoo
Adamoo@Addy_Adams·
Hao Machinga na Mawinga wa Mihogo hapo Coco Beach walimchangia jiwe 2mil ya form waache kulialia Mabanda yatolewe yamekaa kiuchafu sana. Tunachotaka maendeleo Mwekezaji aje hatujali Mjomba wa Oman, UAE au Beberu. Kikubwa WATOKE kazi iendelee mandhari ya jiji la Dar iwe safi 🤝
Indonesia
23
30
205
8.8K
Adamoo
Adamoo@Addy_Adams·
@Reallawi_ Kutaka Kura na sifa lakini pale ni Kero na kuchafu,,, kama alivyoruhusu Wamachinga walipe elfu 10 kitambulisho angalia walivyojazana K/koo hata pa kupita hakuna
Indonesia
1
0
1
741
iamMwaky
iamMwaky@Reallawi_·
@Addy_Adams Sema jiwe alizuia ubinafsishaji wa lile eneo ndo maana akawapa ,kwann wasimchangie?
Indonesia
3
0
6
792
Unaweza
Unaweza@hataweweunaweza·
@Addy_Adams Umasikini si sifa. Bora paboreshwe pawe panasafishwa. Watu waende Kigamboni, Kawe
हिन्दी
5
0
2
161
Adamoo
Adamoo@Addy_Adams·
Hapo COCO BEACH Sasa itakuaje? Ndio kiwanja chetu sie Walalahoi kuwapeleka ndugu kwenda kupunga Upepo wakitoka Kingolwira, Kishumundu na Njombe wakija Dar
Indonesia
1
5
63
2.8K
Adamoo
Adamoo@Addy_Adams·
@bajabiri Au ndio yale yale ya kujamba na kuwasha feni?
Indonesia
0
0
0
31
Adamoo
Adamoo@Addy_Adams·
@ZuwenaKhatib Yowe sasa hivi tukapige Kundichi au Kigamboni 😂
Eesti
1
0
1
56
Adamoo
Adamoo@Addy_Adams·
LG Tv inawaka lakini inaonesha Dark Screen ghafla tu,,, Msaada wenu wakubwa. Nimegoogle hapa inasema niHold button ya chini 15sec lkn button vijana waliitoa so nachindwa fanya chochote NB:- Kioo chake ni 253cm ,,, Fundi aje yeye
Indonesia
3
3
19
3K
Adamoo
Adamoo@Addy_Adams·
@NgowiGold Oysterbay imekua kama Gulio la dagaa pale Ziwe Victoria,,, watoke waende hata Kunduchi
Filipino
1
0
0
20
Adamoo
Adamoo@Addy_Adams·
@capitanpapilon Milio hatutaki ni watoke wote Bahari kubwa hii,,, waende Mbweni au Kunduchi
Indonesia
0
0
2
656
Adamoo
Adamoo@Addy_Adams·
@MwansasuSnr @mackphason Kanyaga twende tumechelewa sana,,, Kipindi cha Matengenezo hapo Coco chimbo la kula samaki litakua Fishermens Kigamboni 😂
Filipino
1
0
0
571
Adamoo
Adamoo@Addy_Adams·
@Aididi13 Kazi iendelee tumechelewa sana
Lietuvių
1
0
2
484
Adamoo
Adamoo@Addy_Adams·
@HildaNewton21 @noor_abdul Dereva Tax Juma Ndugu daah alikua shanta tu maskini akapewa zake Deiwaka. Mshkaji alkua hana noma na mtu hapo Sinza Madukani Huyu Muuaji mjaa laana anyongwe tu kwakweli asikae Gerezani kulishwa na Kodi zetu
Indonesia
0
0
18
1.2K
Hilda Newton
Hilda Newton@HildaNewton21·
HILI LIWE FUNZO KWA MAFWELE NA GENGE LAKE. SSP Christopher Bageni atanyongwa hadi kufa. Ndivyo mahakama ya rufaa ilivyoamua. Maamuzi ya leo ni ya mwisho ktk mwenendo wa kesi yake. Hana pengine pa kukata rufaa, pa kukimbilia, wala pa kupinga. Mahakama imeamua anyongwe hadi afe. Jaji Stellah Mugasha amegonga nyundo. Itz over. Hawezi kukata rufaa tena kwa sababu hukumu ya leo ni review ya hukumu iliyotolewa na mahakama hiyo September 16, 2016, ambapo alihukumiwa kunyongwa hadi kufa na jopo la majaji watatu wakiongozwa na Jaji Benard Luanda. So hakuna mahakama ya kujadili tena shauri lake, labda Rais ampe msamaha. Kwa wasiokumbuka Bageni alikua Mkuu wa Upelelezi wilaya ya Kinondoni. Mwaka 2006 yeye na wenzie wakiongozwa na aliyekua Kaimu RPC Dar, Abdalah Zombe, walituhumiwa kupanga njama za kuwauwa wafanyabiashara watatu wa Morogoro. Zombe anadaiwa ndiye aliyeongoza wenzie kwenye mpango huo, baada ya kujulishwa kuwa wana madini na fedha kiasi cha shilingi milioni 200. Walikamata gari waliyokua wameikodi. Wakamuongoza dereva hadi msitu wa Mabwepande. Wakapora madini pamoja na fedha zote walizokua nazo. Kisha wakawafunga vitambaa vyeusi usoni na pingu mikononi. Kisha wakawapiga risasi za kisogoni na kuwauwa wote akiwemo dereva wa taxi waliyemkodisha. Kesho yake Zombe akaita media na kusema wameua majambazi yaliyokua yanarushiana risasi na Polisi. Rais Kikwete akaunda tume ya Jaji Kipenka kuchunguza. Ikabainika hawakuwa majambazi. Kilichouma zaidi walikua ndugu wa familia moja. Mama mmoja alipoteza wanae watatu. Watoto wa familia 4 wakapoteza baba zao, na wake wanne wakawa wajane kwa tamaa za polisi. Zombe alifanikiwa "kuchomoka" kwenye kesi hii baada ya kusota rumande kwa miaka kadhaa. Lakini Bageni alipatikana na hatia akahukumiwa kunyongwa. Akakata rufaa ikafeli, akaomba review ya kesi, na rulling imesomwa leo kuwa ANYONGWE HADI KUFA. Waliomtuma hawapo nae Segerea, wala hawatanyongwa pamoja nae. Atanyongwa peke yake. Wanaohangaika nae saivi angalau kumfariji ni familia yake. Zombe hayupo, OCD wake hayupo hata IGP wa wakati huo hayupo. Ni yeye mwenyewe, na atanyongwa mwenyewe. Hii iwe fundisho kwa wote wanaotumwa kufanya maovu leo e.g kuteka, kuua na kupoteza watu. Ipo siku utajikuta peke yako. Anayekutuma hatakuwepo. Utasimama wewe mwenyewe kutoa hesabu ya maovu yako. Kama si hapa duniani basi hata mbinguni, lakini ipo siku utalipa. Kama ambavyo wema ni mbegu, na ubaya pia ni mbegu. Humea, hukomaa, na ni lazima UVUNE.!”
Hilda Newton tweet media
Indonesia
29
81
500
24.5K