Ibrahim Omary

810 posts

Ibrahim Omary

Ibrahim Omary

@Ibrahimomy

가입일 Mayıs 2014
536 팔로잉114 팔로워
Ibrahim Omary
Ibrahim Omary@Ibrahimomy·
@EduTalkTz Bila shaka unamzungumzia mungu wa dunia hii ambaye ni shetani⁉️ 2 Wakorintho 4:4 Ambao ndani yao mungu wa dunia hii amepofusha fikira zao wasioamini, isiwazukie nuru ya injili ya utukufu wake Kristo aliye sura yake Mungu. "Wokovu ndo mpango wa Mungu, hizi dini ni kama vyama tu"
Indonesia
0
0
2
34
(---) Onesmo Mushi
(---) Onesmo Mushi@EduTalkTz·
Mkristo anampinga Muislam na kumwona kama mjanjamjanja. Muislam naye hivyo hivyo, anamwona Mkristo kama mjanjamjanja. Myahudi naye anaowana wote Wakristo na Waislam kama wajanjawajanja. Kila mmoja ameagizwa na Mungu huyo huyo kuamini tofauti na mwingine😎.
Indonesia
7
2
9
591
Ibrahim Omary 리트윗함
Tevin Macharia Mukabana
Tevin Macharia Mukabana@TevinMacharia·
THE INCREDIBLE LIFE OF NICK VUJICIC After attempting suicide at age of 10, Nick has since turned his experience with bullying into a positive one by becoming a motivational speaker. He attends schools, prisons and community groups all over the world to teach others that their worth ins't dependant on the opinion of other people. Despite his condition Nick has never let it stop him from being active and involved with his children, he is able to go fishing, play handball with his head, go swimming with his family and do other things. Now a New York Times best selling author, Nick has written several books including Life Without Limits, Unstoppable, Limitless, Stand Strong and Love Without Limits. Revealing that he always hoped to fall in love and have a daughter he could walk down the aisle, Nick Vujicic is now happily married with four children of his own, including twin daughters. Nick life's testimony is a clear indication to everyone that, limitation only exist in the mind, impossibility only exist in the mind, failure and living a life of no impact is all about the state of the mind. PROVERBS 23:7 FOR AS A MAN THINKS IN HIS HEART, SO IS HE..
Tevin Macharia Mukabana tweet media
English
0
2
14
572
PaschalSam1
PaschalSam1@P_simpleman95·
Busara ni kutomuuliza mtu jambo ambalo amekuficha, lakini hekima nikumuonesha hujui baada ya kujua alichokuficha.📌
Indonesia
7
41
168
2.1K
Hilda Newton
Hilda Newton@HildaNewton21·
Huwa najua Idd Amin Mama ni kilaza ila sikujua kama ni kilaza wa Kiwango hiki. Anasema Europe bei ya mafuta ni Euro elfu sita (6000) kwa lita moja, kwa hela ya bongo ni milioni 16-17 Kaenda mbali zaidi anasema Marekani bei ya mafuta ni dola elfu nane (8000) ambayo bongo ni sawa na milioni 20. Ukweli ni kwamba bei ya Mafuta kwa Europe ni Euro 3.57 Wakati huo Marekani wao huwa hawanunui mafuta kwa lita bali wananunua kwa Gallon na Gallon moja ni Dola 3.80 Mwisho ukiwa kilaza hakikisha wasaidizi wako wanakuwa na akili hii itakusaidia kukwepa aibu ndogo ndogo kama hizi.
Indonesia
135
126
605
25K
Ibrahim Omary
Ibrahim Omary@Ibrahimomy·
Kama umeamua kuwa baridi uwe baridi au moto na uache uvuguvugu, utatapikwa Kama yule mollel mwenzako ambaye naye alikuwa anajiita CCM kindakindaki huku aking'ata na kupuliza, wakamla kichwa! Nakuonea huruma ndo maan nakuweka sawa mdogo wangu. Embu nikumbushe jina lake kamili
Ezra Mollel@ezra_mollel

Kimyaaa kimetawala, Wadau wanasubiri Bendi. Hakuna watu wenye huruma na hili taifa ata kidogo? Sasa kwann watu wale hivi alaf waje tena kuua ndugu zetu vile bila Huruma?? Ni muda wa Watanganyika kuungana na kudai haki.

Filipino
1
0
0
16
Ibrahim Omary
Ibrahim Omary@Ibrahimomy·
Hicho inachokifanya kwa sasa wenzako walikifanya kwa nia nzuri tu , uzuri umewataja wengine kwa majina yao lakini hawakujuwa CCM kwa sasa ni CARTEL walishatoka kwenye Uchama! Sasa wewe endelea kujichanganya uingie kwenye kumi na nane zao.
Ezra Mollel@ezra_mollel

@Ibrahimomy Unaweza kusema same kwa polepole, mzee warioba na wengine wao. Siwezi kuja kusema uongo ili niwafurahishe, na unachosema ni kweli labda kuna namna mmoja au nyingine tumekua tumekua accomplices i admit. Ila hio haini ondolei Validity ya kusema uwkweli. Tunapaswa tuwe wamoja.

Indonesia
1
1
1
32
Ibrahim Omary
Ibrahim Omary@Ibrahimomy·
@EduTalkTz kuna wakati Mungu alitamani kuuangamiza ulimwengu wote na akajuta kwa nini alimuumba mwanadamu. Ila akasema "hataangamiza tena dunia ila kutakuwa kuna wakati wa kupanda na kuvuna" Madhara ya anguko la dhambi pale Edeni limeleta maafa mno lakini tangu mwanzo haikuwa hivyo.
Indonesia
0
0
0
20
(---) Onesmo Mushi
(---) Onesmo Mushi@EduTalkTz·
Sijui kama Mungu yupo au lah. Ila kama kweli yupo, basi naweza kujenga hoja kwa ujasiri kabisa kuwa hana time kabisa na maisha ya mwanadamu. Haingii akilini kuwa kuna Mungu mwenye upendo anayehangaika nasi halafu wakati huo huo hawa wakafurahia maisha huku wengine wakiishi kama watumwa, hawa wakawa na uzima tele huku wengine wakijiuguza vitandani maisha yao yote, hawa wakalala unono huku wengine wakisikia mabomu na risasi wakati wote. Yani Mungu mwenye upendo anaona watoto wanabakwa lakini hafanyi chochote, anaona wenye nguvu wanaua watu kwa maelfu kikatili kabisa lakini hafanyi chochote, anaona majanga kama matetemeko ya ardhi, mudslide, volcano, tsunami, mafuriko etc., yanaua maelfu ya watu kila leo lakini wala hajigusi. Unless tunataka kusema amezidiwa nguvu na kushindwa kucontrol mambo haya!!
(---) Onesmo Mushi tweet media
Filipino
10
1
28
1.4K
Ibrahim Omary
Ibrahim Omary@Ibrahimomy·
Kwa sasa ukisema wewe ni CCM unaonekana na wewe ni MUUAJI, Sio sifa nzuri kujivunia UCCM, unless hauko timamu! Biblia inasema; 1 Timotheo 5:22b wala usizishiriki dhambi za watu wengine. Ujilinde nafsi yako uwe safi. NB Sasa kosa lako ni kushirikiana na CCM
Ezra Mollel@ezra_mollel

@MariaSTsehai Dada nimeona watu wengi wananishambulia na kuja inbox kuwa mm ni Ccm. Ni kweli mm ni ccm na tuliandika hapa kushauri, kwenye vikao tulivyopata bahati tulisema, Majibu yalikua ni nini? Hapa tulipofika hakuna Remedy isipokua Accountability.

Indonesia
1
0
0
25
Ibrahim Omary 리트윗함
Peter Madeleka
Peter Madeleka@PMadeleka·
Kuandaa RIPOTI YA UCHUNGUZI WA VURUGU za tarehe 29 Oktoba 2025 SIYO KAZI NYEPESI. Maana DAMU ILIYOMWAGWA BILA HATIA, ni LAANA KWA TAIFA. Naipongeza SERIKALI kwa uamuzi wa KUONGEZA MUDA wa TUME YA UCHUNGUZI (Tume ya Jaji Chande). Ipewe hata MIEZI MINGINE 7.
Peter Madeleka tweet media
Indonesia
63
24
249
19.7K
Dr. Miguna Miguna
Dr. Miguna Miguna@MigunaMiguna·
To Ugandan tyrant, ⁦@KagutaMuseveni⁩, your little lizard @mkainerugaba has removed his diapers and is defecating in public. Come get your lizard or we will hang him naked on Mount Kilimanjaro!
Dr. Miguna Miguna tweet media
English
252
824
5.6K
271.6K
Ibrahim Omary 리트윗함
Martin Maranja Masese
Martin Maranja Masese@IAMartin_·
Ninyi ambao mnataka hiyo tume iliyoundwa kuchunguza kitu kinachoitwa ‘matukio ya uvunjifu wa amani’, mnataka taarifa yake kwa matumizi gani? Kama awali tulisema uundwaji wake hauna uhalali, ni batili, kwanini tusumbuke wao wakihangaika kuhairisha na kuchakata uongo, uzushi na ulaghai wao katika tume yao? Hata kama wakijiongezea siku 100 za kupika taarifa zao, sisi hiyo tume isiyotuhusu, tunateseka kwanini? Hata kama itatolewa au wataacha kuitoa, sisi ambao haituhusu, tunashughulika nayo kwanini? Nafikiri, hatujui kitu ambacho tunatakiwa kusimamia. Wanachama wa CHADEMA, kujadili jambo ambalo tayari mamlaka za chama chetu zimesema ni batili ni kupoteza mwelekeo. Mezani kuna mambo mengi sana ya kujadili. Tuachane na maigizo yao. Kila mtu ashinde mechi zake; tusiingilie yasiyotuhusu. Kamwe, tusisahau Oktoba 29, 2025.
Indonesia
39
215
920
30.9K
Ibrahim Omary 리트윗함
Maria Sarungi Tsehai
Maria Sarungi Tsehai@MariaSTsehai·
Narudia: siku ya kufa nyani, miti yote huteleza!! Hii taarifa mbona haijatolewa na Ikulu maana “Mamlaka ya Uteuzi” ni Rais wa mchongo na ilipoundwa ilitangazwa rasmi kupitia ukurasa wao ?! Mbona mnafanya mambo kimchongomchongo kama vile mnatujibu baada ya kuweka wazi kuwa muda wa Tume imeisha so ripoti ya nani na wana edit akina nani huko? 🤣 Kama kuongeza muda kiutaratibu mngetangaza kabla au siku ya Ijumaa na siyo siku tatu baadaye usiku wa manane ka wanga 😁 Au mlitaka kumuwahi Chakwera kabla hajatua tarehe 10? Ndo shida ya nchi kuendeshwa na ushauri wa Abduli na kumsikiliza Kabudi! Nasema #TutaelewanaTu
Swahili Times@swahilitimes

Tume ya Kuchunguza Matukio ya Uvunjifu wa Amani Wakati na Baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025, imeongezewa tena muda wa siku 21 na Mamlaka ya Uteuzi. Sababu za kuongezewa muda ni pamoja na kuiwezesha kukamilisha uchambuzi wa ushahidi, taarifa na maoni yaliyopokelewa, kutoa fursa kwa wataalamu wa uchunguzi wa kisayansi kufanyia kazi baadhi ya vielelezo vipya vilivyowasilishwa na kukamilisha maandalizi ya ripoti itakayowasilishwa kwa Rais.

Indonesia
25
68
291
20.5K
Ibrahim Omary 리트윗함
WHYMYCATISSAD
WHYMYCATISSAD@INFLUENCERjr·
Tuachieni Twitter tutumie bila VPN bhana.
Indonesia
29
35
363
19.4K
Ibrahim Omary 리트윗함
Zoom Afrika
Zoom Afrika@zoomafrika1·
A rare photo that shows the puzzled faces of Presidents Kagame, Museveni and Mugabe as they watch President Kikwete step down and hand over power in Tanzania 🇹🇿
Zoom Afrika tweet media
English
30
126
1.3K
50K