Ibrahim Omary

815 posts

Ibrahim Omary

Ibrahim Omary

@Ibrahimomy

Katılım Mayıs 2014
537 Takip Edilen115 Takipçiler
Ibrahim Omary retweetledi
Tausi Likokola
Tausi Likokola@tausilikokola·
These incidents will continue in Tanzania as long as the system and those in power in the aftermath of October 29th continue operating like the country is governed through intimidation from those who seized power by force. This is exactly why an independent investigation is not optional-it is necessary for justice. Without it, we will keep seeing harassment, abductions, and intimidation of citizens who were simply exercising their constitutional rights, while attempts are made to silence them and shift blame. I had a long conversation with Pauline after the October 29th detentions. She is an intelligent young woman who cares deeply about her family, her generation, and her country. Yet today she is being treated like a threat instead of a citizen with rights. This must end. Release Pauline NOW. The world is watching and taking note. @amnesty @hrw @StateDept @BBCWorld @UNHumanRights @UN @humanrightstz @bbcswahili #FreePauline #Justice4Pauline Kiswahili: Matukio haya yataendelea kutokea Tanzania kama mfumo na waliopo madarakani baada ya Oktoba 29 wanavyoendelea kuendesha nchi kwa baada ya kujichukulia nchi kwa nguvu. Ndiyo sababu ni muhimu ya uchunguzi huru na utakao wahusisha international community-si hiari bali ni lazima ili kupata haki ya kweli. Bila hivyo, tutaendelea kuona wananchi wanaonewa, kutekwa, na kunyanyaswa kwa sababu tu walitumia haki zao za kikatiba-wakati juhudi zinafanywa kuwanyamazisha na kupindisha ukweli. Nilizungumza na Pauline kwa muda mrefu baada ya matukio ya Oktoba 29. Ni msichana mwenye akili sana, anayejali familia yake, kizazi chake, na taifa lake. Lakini leo anatendewa kama tishio badala ya raia mwenye haki zake. Hawa vijana watajenga nchi, msiwaonee. Haya maovu yakomeshwe. Muachilieni Pauline. Dunia inaangalia na inafuatilia kwa makini.
Tausi Likokola tweet mediaTausi Likokola tweet media
English
1
18
53
2.2K
Ibrahim Omary retweetledi
Tausi Likokola
Tausi Likokola@tausilikokola·
October 29, 2025 exposed the dangerous direction Tanzania was heading-many innocent lives were taken, yet accountability remains absent. Without international observers and a truly independent investigation, no justice will be achieved, and no credibility will be restored internationally. Those who say “we are sovereign and can take care of ourselves” must not have clearly observed the acts leading up to the elections and the aftermath-abductions, killings, suppression of dissent. This is a system failing its own people. The international community and human rights observers are fully aware and watching closely. Msijidanganye. Remember gemstone trader Abdilah Mussa “Banjoo”-abducted, tortured, and found murdered hundreds of kilometers away. Those who abducted him near a government building are known, yet there has been no justice. His family continues to demand answers. How many more stories like this have to happen? From criminalized seizures of ships flying the Tanzanian flag, to questionable appointments that disregard legal frameworks like Article 50 of the EAC Treaty (as raised by LHRC), the pattern is clear. Even leadership messaging raises concern-justifying that “excessive force was proportional” on October 29, are the same communication team shapes narratives on critical issues like oil and gas? 🤔 How can such speech be read publicly 👀 Bakari Machumu, whom I thought I knew well from the journalism desk, moved from MCL to State House Communications. What’s happening? Kweli, hamfikirii kiubinadamu tena? Who write these speeches for the statehouse? We warned you. The messaging narratives, these actions, these outcomes do not align with justice, transparency, or truth. We keep receipts. Release Tundu Lissu immediately. Release Polepole, Soka, Mdude, and all others. Acknowledge October 29. Return the bodies of those killed, tell the truth to their families, and provide compensation-this is the bare minimum… a start. The country is still mourning and will need real justice to heal-siyo hadithi na uongo. Those supporting what is happening now in Tanzania do not wish the country well. Continuing down this path only digs a deeper hole. Enough. @amnesty @hrw @fidh_en @DefendDefenders @CIVICUSalliance @StateDept @HouseForeign @SenateForeign @SenatorShaheen
Tausi Likokola tweet mediaTausi Likokola tweet mediaTausi Likokola tweet mediaTausi Likokola tweet media
English
0
25
72
2.7K
Ibrahim Omary retweetledi
Maria Sarungi Tsehai
Maria Sarungi Tsehai@MariaSTsehai·
‼️🚨AFTER PUBLIC OUTCRY POLICE ADMIT ILLEGALLY DETAINING PAULINE‼️ Clearly Pauline Pallamgyo was detained illegally at night by plain clothes men who failed to give her access to family overnight! After huge uproar, now police pretend it was an arrest (it wasn’t)! This is how @SuluhuSamia murderous cabal operates! It’s 50-50 that the police after abducting you admit to having you! Dangerous times! Nyie @tanpol msituone kama hatunazo! Huu si utaratibu wa ukamataji! Kufika na gari yenye plate number za kiraia na bila kuandikwa Polisi na watu waliovaa kiraia hairuhusiwi kwa mujibu wa PGO! Ukamataji usiku umekatazwa na mngeweza kumwambia aripoti asubuhi! Mwisho kabisa familia ilipofika mlikataa kuwapa nafasi wathibitishe kama mnaye! Kwa kifupi MLIMTEKA! Mnajua #EnforcedDisappearance hata kwa lisaa limoja ni kumficha mtu mliyemkamata? Yaani mwaka huu mtaelewa tu na mtajifunza kufuata utaratibu! Uhuni mtupu! Acheni kuteka! #TutaelewanaTu
Maria Sarungi Tsehai tweet media
English
7
45
125
5K
Ibrahim Omary retweetledi
Hassan Khamis 🇵🇸
Hassan Khamis 🇵🇸@hassankham1s·
Mwandishi Khalifa Said ni miongoni mwa sauti chache katika uandishi wa habari wa Tanzania wanaochanganya taaluma, uadilifu na ujasiri wa kusema ukweli. Ameendelea kujenga nafasi ya uandishi unaolenga si tu kutoa taarifa, bali kuelimisha na kuhamasisha fikra pana za kijamii. Anajitofautisha kwa uwezo wake wa kuchambua masuala magumu kwa utulivu na umakini, akitoa hoja zenye mizani na ushahidi badala ya mihemko. Uandishi wake unaonesha nidhamu ya kitaaluma, heshima kwa wasomaji, na dhamira ya dhati ya kuona jamii inapata maarifa sahihi ili kufanya maamuzi yenye tija. Huu ni uandishi unaojenga, si kubomoa. Katika mazingira ambayo mara nyingi yanakumbwa na kelele za taarifa zisizo na kina, Khalifa Said anasimama kama mfano wa mwandishi anayezingatia ukweli, uwajibikaji na maadili ya taaluma. Ni aina ya uandishi unaohitajika zaidi katika kujenga jamii yenye uelewa, haki na mwelekeo sahihi wa maendeleo. Kwa mantiki hiyo, ni wajibu wa jamii, wasomaji na wadau wa habari kuunga mkono kazi zake na kuenzi mchango wake katika kuendeleza uandishi wa kina, huru na wenye uwajibikaji. Kuunga mkono uandishi wa aina hii si tu kumsaidia mwandishi mmoja, bali ni kulinda mustakabali wa ukweli, haki na mjadala wa maana katika jamii yetu.
Hassan Khamis 🇵🇸 tweet media
Indonesia
39
116
643
18.7K
Ibrahim Omary
Ibrahim Omary@Ibrahimomy·
@EduTalkTz Bila shaka unamzungumzia mungu wa dunia hii ambaye ni shetani⁉️ 2 Wakorintho 4:4 Ambao ndani yao mungu wa dunia hii amepofusha fikira zao wasioamini, isiwazukie nuru ya injili ya utukufu wake Kristo aliye sura yake Mungu. "Wokovu ndo mpango wa Mungu, hizi dini ni kama vyama tu"
Indonesia
0
0
2
55
(---) Onesmo Mushi
(---) Onesmo Mushi@EduTalkTz·
Mkristo anampinga Muislam na kumwona kama mjanjamjanja. Muislam naye hivyo hivyo, anamwona Mkristo kama mjanjamjanja. Myahudi naye anaowana wote Wakristo na Waislam kama wajanjawajanja. Kila mmoja ameagizwa na Mungu huyo huyo kuamini tofauti na mwingine😎.
Indonesia
8
2
14
954
Ibrahim Omary retweetledi
Tevin Macharia Mukabana
Tevin Macharia Mukabana@TevinMacharia·
THE INCREDIBLE LIFE OF NICK VUJICIC After attempting suicide at age of 10, Nick has since turned his experience with bullying into a positive one by becoming a motivational speaker. He attends schools, prisons and community groups all over the world to teach others that their worth ins't dependant on the opinion of other people. Despite his condition Nick has never let it stop him from being active and involved with his children, he is able to go fishing, play handball with his head, go swimming with his family and do other things. Now a New York Times best selling author, Nick has written several books including Life Without Limits, Unstoppable, Limitless, Stand Strong and Love Without Limits. Revealing that he always hoped to fall in love and have a daughter he could walk down the aisle, Nick Vujicic is now happily married with four children of his own, including twin daughters. Nick life's testimony is a clear indication to everyone that, limitation only exist in the mind, impossibility only exist in the mind, failure and living a life of no impact is all about the state of the mind. PROVERBS 23:7 FOR AS A MAN THINKS IN HIS HEART, SO IS HE..
Tevin Macharia Mukabana tweet media
English
0
4
26
840
PaschalSam1
PaschalSam1@P_simpleman95·
Busara ni kutomuuliza mtu jambo ambalo amekuficha, lakini hekima nikumuonesha hujui baada ya kujua alichokuficha.📌
Indonesia
7
41
176
2.3K
Hilda Newton
Hilda Newton@HildaNewton21·
Huwa najua Idd Amin Mama ni kilaza ila sikujua kama ni kilaza wa Kiwango hiki. Anasema Europe bei ya mafuta ni Euro elfu sita (6000) kwa lita moja, kwa hela ya bongo ni milioni 16-17 Kaenda mbali zaidi anasema Marekani bei ya mafuta ni dola elfu nane (8000) ambayo bongo ni sawa na milioni 20. Ukweli ni kwamba bei ya Mafuta kwa Europe ni Euro 3.57 Wakati huo Marekani wao huwa hawanunui mafuta kwa lita bali wananunua kwa Gallon na Gallon moja ni Dola 3.80 Mwisho ukiwa kilaza hakikisha wasaidizi wako wanakuwa na akili hii itakusaidia kukwepa aibu ndogo ndogo kama hizi.
Indonesia
135
128
619
25.7K
Ibrahim Omary
Ibrahim Omary@Ibrahimomy·
Kama umeamua kuwa baridi uwe baridi au moto na uache uvuguvugu, utatapikwa Kama yule mollel mwenzako ambaye naye alikuwa anajiita CCM kindakindaki huku aking'ata na kupuliza, wakamla kichwa! Nakuonea huruma ndo maan nakuweka sawa mdogo wangu. Embu nikumbushe jina lake kamili
Ezra Mollel@ezra_mollel

Kimyaaa kimetawala, Wadau wanasubiri Bendi. Hakuna watu wenye huruma na hili taifa ata kidogo? Sasa kwann watu wale hivi alaf waje tena kuua ndugu zetu vile bila Huruma?? Ni muda wa Watanganyika kuungana na kudai haki.

Filipino
1
0
0
16
Ibrahim Omary
Ibrahim Omary@Ibrahimomy·
Hicho inachokifanya kwa sasa wenzako walikifanya kwa nia nzuri tu , uzuri umewataja wengine kwa majina yao lakini hawakujuwa CCM kwa sasa ni CARTEL walishatoka kwenye Uchama! Sasa wewe endelea kujichanganya uingie kwenye kumi na nane zao.
Ezra Mollel@ezra_mollel

@Ibrahimomy Unaweza kusema same kwa polepole, mzee warioba na wengine wao. Siwezi kuja kusema uongo ili niwafurahishe, na unachosema ni kweli labda kuna namna mmoja au nyingine tumekua tumekua accomplices i admit. Ila hio haini ondolei Validity ya kusema uwkweli. Tunapaswa tuwe wamoja.

Indonesia
1
1
1
34
Ibrahim Omary
Ibrahim Omary@Ibrahimomy·
@EduTalkTz kuna wakati Mungu alitamani kuuangamiza ulimwengu wote na akajuta kwa nini alimuumba mwanadamu. Ila akasema "hataangamiza tena dunia ila kutakuwa kuna wakati wa kupanda na kuvuna" Madhara ya anguko la dhambi pale Edeni limeleta maafa mno lakini tangu mwanzo haikuwa hivyo.
Indonesia
0
0
0
20
(---) Onesmo Mushi
(---) Onesmo Mushi@EduTalkTz·
Sijui kama Mungu yupo au lah. Ila kama kweli yupo, basi naweza kujenga hoja kwa ujasiri kabisa kuwa hana time kabisa na maisha ya mwanadamu. Haingii akilini kuwa kuna Mungu mwenye upendo anayehangaika nasi halafu wakati huo huo hawa wakafurahia maisha huku wengine wakiishi kama watumwa, hawa wakawa na uzima tele huku wengine wakijiuguza vitandani maisha yao yote, hawa wakalala unono huku wengine wakisikia mabomu na risasi wakati wote. Yani Mungu mwenye upendo anaona watoto wanabakwa lakini hafanyi chochote, anaona wenye nguvu wanaua watu kwa maelfu kikatili kabisa lakini hafanyi chochote, anaona majanga kama matetemeko ya ardhi, mudslide, volcano, tsunami, mafuriko etc., yanaua maelfu ya watu kila leo lakini wala hajigusi. Unless tunataka kusema amezidiwa nguvu na kushindwa kucontrol mambo haya!!
(---) Onesmo Mushi tweet media
Filipino
10
2
29
1.5K
Ibrahim Omary
Ibrahim Omary@Ibrahimomy·
Kwa sasa ukisema wewe ni CCM unaonekana na wewe ni MUUAJI, Sio sifa nzuri kujivunia UCCM, unless hauko timamu! Biblia inasema; 1 Timotheo 5:22b wala usizishiriki dhambi za watu wengine. Ujilinde nafsi yako uwe safi. NB Sasa kosa lako ni kushirikiana na CCM
Ezra Mollel@ezra_mollel

@MariaSTsehai Dada nimeona watu wengi wananishambulia na kuja inbox kuwa mm ni Ccm. Ni kweli mm ni ccm na tuliandika hapa kushauri, kwenye vikao tulivyopata bahati tulisema, Majibu yalikua ni nini? Hapa tulipofika hakuna Remedy isipokua Accountability.

Indonesia
1
0
0
25
Ibrahim Omary retweetledi
Peter Madeleka
Peter Madeleka@PMadeleka·
Kuandaa RIPOTI YA UCHUNGUZI WA VURUGU za tarehe 29 Oktoba 2025 SIYO KAZI NYEPESI. Maana DAMU ILIYOMWAGWA BILA HATIA, ni LAANA KWA TAIFA. Naipongeza SERIKALI kwa uamuzi wa KUONGEZA MUDA wa TUME YA UCHUNGUZI (Tume ya Jaji Chande). Ipewe hata MIEZI MINGINE 7.
Peter Madeleka tweet media
Indonesia
63
24
249
19.8K
Dr. Miguna Miguna
Dr. Miguna Miguna@MigunaMiguna·
To Ugandan tyrant, ⁦@KagutaMuseveni⁩, your little lizard @mkainerugaba has removed his diapers and is defecating in public. Come get your lizard or we will hang him naked on Mount Kilimanjaro!
Dr. Miguna Miguna tweet media
English
255
841
5.7K
276.5K
Ibrahim Omary retweetledi
Martin Maranja Masese
Martin Maranja Masese@IAMartin_·
Ninyi ambao mnataka hiyo tume iliyoundwa kuchunguza kitu kinachoitwa ‘matukio ya uvunjifu wa amani’, mnataka taarifa yake kwa matumizi gani? Kama awali tulisema uundwaji wake hauna uhalali, ni batili, kwanini tusumbuke wao wakihangaika kuhairisha na kuchakata uongo, uzushi na ulaghai wao katika tume yao? Hata kama wakijiongezea siku 100 za kupika taarifa zao, sisi hiyo tume isiyotuhusu, tunateseka kwanini? Hata kama itatolewa au wataacha kuitoa, sisi ambao haituhusu, tunashughulika nayo kwanini? Nafikiri, hatujui kitu ambacho tunatakiwa kusimamia. Wanachama wa CHADEMA, kujadili jambo ambalo tayari mamlaka za chama chetu zimesema ni batili ni kupoteza mwelekeo. Mezani kuna mambo mengi sana ya kujadili. Tuachane na maigizo yao. Kila mtu ashinde mechi zake; tusiingilie yasiyotuhusu. Kamwe, tusisahau Oktoba 29, 2025.
Indonesia
39
216
927
31.2K