Ndula๐Ÿ‘‘

1.7K posts

Ndula๐Ÿ‘‘

Ndula๐Ÿ‘‘

@Lestlesslearner

๊ฐ€์ž…์ผ Aralฤฑk 2023
1.2K ํŒ”๋กœ์ž‰621 ํŒ”๋กœ์›Œ
yellow theCreator
yellow theCreator@perkmaybeยท
Is your X account growing or we should follow you?
English
928
134
538
14.2K
Sekenke One ๐ŸŒป
Sekenke One ๐ŸŒป@AlexSamojaยท
Alieweka utamu kwa Masingle mother ni nani, mwambieni apunguze kidogo , yanajua bhana ni Greatness Tupu โ™ฅ๏ธ๐Ÿ™Œ๐Ÿ˜ Dhambi zao wapewe Waruguru na Wakaguru
Sekenke One ๐ŸŒป tweet media
Indonesia
8
9
51
2.2K
๐Ÿ‡ช ๐Ÿ‡ธ ๐Ÿ‡ฎ ๐Ÿ‡ท ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡ฒ ๐Ÿ‡น ๐Ÿ‡ฟ
#TajiriLaKihaya Naona DM zimekuwa nyingi kuhusu ratiba ya kesho โ€“ PILAU LA WAPWA SIKU YA IDDI. RATIBA itakuwa kama ifuatavyo: ๐Ÿ•Œ Saa 1:00 โ€“ 3:00 Asubuhi Tutaanza kwa swala katika Msikiti Mkuu, Kinondoni. ๐Ÿฝ๏ธ Saa 3:00 โ€“ 5:00 Asubuhi Dua na pilau vitafanyika kwenye apartments zangu mpya zilizopo Kinyerezi. (Bado zipo hatua za awali kabisa โ€“ tupo ground floor, jengo la ghorofa tatu.) Kutakuwa na dua maalum ya kuomba Allah tumalize ujenzi salama pamoja na pilau ya kutosha. ๐Ÿ› Saa 5:00 โ€“ 7:00 Mchana Pilau kwenye apartments zangu za Tabata. (Hakutakuwa na dua โ€“ ni kula tu.) ๐Ÿฒ Saa 8:00 โ€“ 10:00 Jioni Pilau la kutosha kwenye apartments zangu za Mbweni. ๐Ÿ  Saa 10:00 hadi Majogoo Tutamalizia Whitehouse (nyumbani kwangu), Goba โ€“ mapumziko, burudani na kuendelea kula. Jumapili tutahamia Zanzibar kwenye Apartments zangu- ratiba kamili itatoka Kila mtu anakaribishwa ๐Ÿ™Œ Sema karibu kwako itakua wapi- nkupe location kwenye commentsโ€ฆ Karibuni sana tusherehekee pamoja siku ya Iddi!
๐Ÿ‡ช ๐Ÿ‡ธ ๐Ÿ‡ฎ ๐Ÿ‡ท ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡ฒ ๐Ÿ‡น ๐Ÿ‡ฟ@EsirEid

#TajiriLaKihaya Tumefungua Leoโ€ฆ ila Iddi Tutaswali Kesho,IN SHA ALLAH๐Ÿ™๐Ÿฝ๐Ÿ™๐Ÿฝ Karibuni saana kesho Nyumbani kwangu GOBA,Dar Es Salaam- tupige Pilau๐Ÿค

Indonesia
140
49
318
27.7K
Ndula๐Ÿ‘‘
Ndula๐Ÿ‘‘@Lestlesslearnerยท
@EsirEid #Tajiri ni Mmoja tu. Si Huwa nasikia m'bara haruhusiwi kumiliki ardhi zenj kwako imekaaje Tajir au wewe umeenda kama muwekezaji sio mkazi eeh๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
Indonesia
0
0
0
57
Noorie
Noorie@nurudennnnยท
If you're serious about growth, this is your moment๐Ÿš€
English
1.1K
160
705
19.5K
BARADHULI๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
Hilo tumbo limejaa sadaka za walala hoi kesho mbele ya Mungu litakuzwa liwe kama mlima kilimanjaro.
BARADHULI๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ tweet media
Indonesia
76
12
82
10.8K
Noorie
Noorie@nurudennnnยท
Your next 100 followers could be here๐Ÿ‘€
English
1.7K
207
1.1K
35.6K
Ndula๐Ÿ‘‘ ๋ฆฌํŠธ์œ—ํ•จ
SATIVA
SATIVA@Sativa255ยท
Akaunti ya X (Twitter) ya Chadema iliyokuwa ikijulikana kama ChademaTz. Akaunti hii, ambayo kwa muda mrefu imekuwa chombo muhimu cha mawasiliano na taarifa za Chama, imechukuliwa na kuuzwa kinyume na taratibu na maadili ya Chama. Taarifa zilizopo zinaonyesha kuwa aliyekuwa Afisa wa Chadema, Abdulkarim Muro, alihusika kuiuza kwa John Marwa, ambaye sasa anaitumia kupitia chombo chake kingine cha habari cha Royal Television. Kwa kuzingatia hali hii, tunatoa wito kwa Abdulkarim Muro na John Marwa kurejesha akaunti hiyo kwa Chama ndani ya muda wa siku tatu kuanzia leo. Iwapo watalazimika kupuuza wito huu, tutatangaza hatua ya pili ya kuchukua. REPOST 200
SATIVA tweet media
Indonesia
46
349
1.2K
63K
C E N T-50
C E N T-50@MelkionMwimbaยท
@trill_09 Una uhakika ukiniona unaweza kunambia Ivo mzee?๐Ÿ˜€
2
0
1
209
Ndula๐Ÿ‘‘ ๋ฆฌํŠธ์œ—ํ•จ
Maria Sarungi Tsehai
Maria Sarungi Tsehai@MariaSTsehaiยท
๐Ÿšจโ€ผ๏ธTafadhali tumsaidie ndugu yetu โ€ผ๏ธ ๐Ÿ™๐Ÿฝ M-pesa namba 0797 639063 Joseph Mrungu
Joseph Mrungu@mrunguj9

Sijafaha hili tatizo langu litaisha lini. Nasumbuliwa na matatizo ya mazadhi ndugu zangu, naomba msaada wenu @MariaSTsehai @Sativa255 Siku ya tatu Sasa nahalisha tu bila kujua tatizo linalo nisumbua huku nikikosa msaada kwenda hospitalini kupata vipimo na kujua tatizo linalo. ๐Ÿ‘‡

Indonesia
4
161
417
7.7K