Kuboja

23K posts

Kuboja banner
Kuboja

Kuboja

@Pyroxenite81

The Manhimself,

Dar es Salaam, Tanzania 가입일 Temmuz 2013
1.5K 팔로잉558 팔로워
Kuboja
Kuboja@Pyroxenite81·
@Semkae Nyie mna meli ya kubeba mafuta?
Indonesia
1
0
0
3
Msomi Khan
Msomi Khan@MsomiKhan18·
Doctor of Veterinary Medicine, SUA 2026 Wataanza na Salary 1.8M per month ✍️
Msomi Khan tweet media
Indonesia
6
4
128
7.9K
Kuboja
Kuboja@Pyroxenite81·
@bajabiri Hicho kioande lami iko hovyo sana na potholes za kutosha, na kipande cha Manyoni Bahi usiku ni kuwa makini sana
Filipino
0
0
0
3
Kuboja
Kuboja@Pyroxenite81·
@Thommunkondya Wasemaje wa Serikali na Chama waondolewe tu haina haja wewe unamaliza kotekote
Indonesia
0
0
0
37
Thom Mnkondya
Thom Mnkondya@Thommunkondya·
Mimi ni Mwenyekiti wa Seneti ya vyuo na vyuo vikuu mkoa wa Songwe, kaka. Sisi vijana wa Seneti, jukumu letu kubwa ni kushiriki mijadala, kujibu hoja, pamoja na kuchangia kwa fikra na tafiti. Sisi ni watu wa kutoa mwelekeo wa kitaalamu kwa jumuiya na kwa Chama. Hivyo basi, msinihisi tofauti au kudhani nina ajenda binafsi kama ya kutafuta teuzi hili ni jukumu langu la msingi kuisemea serikali na Chama kwa uelewa na hoja zenye msingi kama kijana kutoka seneti.
The SPECIAL ONE ™️@bajabiri

Boss upo vizuri,humu unaweza kuongelea kila kitu. Mamlaka iangalie,ikupe "Wizara isiyo na wizara maalum"

Indonesia
21
2
10
3.6K
irene
irene@Irene4803·
Mwanaume Unapiga Goti Kumvalisha Pete Mwanamke Huo Ni Umama 😅😅🙌
22
17
69
1.7K
Thom Mnkondya
Thom Mnkondya@Thommunkondya·
Mara paaaaa ,Mkeka mpya wa bei ya mafuta unatoka na bei zinarudi kwenye nafuu, hata chini zaidi! 😎 Mama hashindwiii.
Indonesia
88
0
58
9.4K
Kuboja
Kuboja@Pyroxenite81·
@Zephania_Ndaki Mkurugenzi hawezi toa tangazo la kupanda kwa bei bila ya Wizara na nchi kubaliki huyo kawa mbuzi wa kafara
Indonesia
0
0
0
9
Zed🇮🇷
Zed🇮🇷@Zephania_Ndaki·
Mkurugenzi Wa (EWURA) Katenguliwa Tutaelewana Tu...... Mimi Naimani Kabisa Suluhisho Lipo (800) Ni Kubwa Mnoo!! Wamiliki Wa Depo Na Wa Vituo Vya Uuzaji Inabidi Wadhibitiwe!!
Zed🇮🇷@Zephania_Ndaki

Stock ya miezi mitatu ipo kabisa TANZANIA. kuna watu wachache wasio litakia kheri Taifa letu wanacheza huu mchezo kwa masilahi yao binafsi na kujilimbikiza mimali hakuna kitu kinakuja kiurahisi mtalipa. Acha tuingie gharama lkn mjitafakari sana!. WAZIRI FANYA UCHUNGUZI.

Indonesia
4
5
8
254
Kuboja
Kuboja@Pyroxenite81·
@EsirEid Asije akajiroga kupeleka askari kwa ground hawatapokelewa, Iran ni nchi ya watu waliosoma na wakaijua dunia
Indonesia
2
0
2
334
Kuboja
Kuboja@Pyroxenite81·
@Alex_komba00 @kishoka_ Wewe unafundishwa mambo ya Ulaya tena yale mazuri wao wanafundishwa mabaya ya Afrika, wanaweza kuijua DRC, Rwanda nk kwasababu ya matukio mabaya ya hizo nchi yanayoletwa na wao
Indonesia
1
0
2
114
Alex debrizy👑
Alex debrizy👑@Alex_komba00·
Inawezekana Rwanda ikawa inafahamika zaidi ulaya na duniani kuliko nchi yetu Tz jana Creez favors kawauliza hawa mademu wa kireno huko jijini Madrid wamesema hawaifahamu Tz tena kwa herufi kubwa pia hata Mlima Kilimanjaro the highest mountain in Africa hawaufahamu aibu hii 😂🙌
Alex debrizy👑 tweet media
Indonesia
53
35
169
11.1K
Kuboja
Kuboja@Pyroxenite81·
@DrEliDavid Go and build Libya, Syria and Iraq with their oil money which USA hold them her banks
English
0
0
2
26
Dr. Eli David
Dr. Eli David@DrEliDavid·
To my Iranian friends: Don't worry about destroyed infrastructure. They can all be rebuilt quickly, and trillions of dollars of foreign investment will pour into a free Iran. Worry about one thing only: If *YOU* don't topple the regime and let it survive.
Dr. Eli David tweet media
English
2.3K
2.3K
11.3K
393K
Khamis_D🇹🇿
Khamis_D🇹🇿@TangaBwoy·
Walio Wai kupita MIKUMI uyu mwenetu atalipa shilingi ngapi kwa bei elekezi pale
Khamis_D🇹🇿 tweet media
Indonesia
1
1
2
156
Kuboja
Kuboja@Pyroxenite81·
@bajabiri Wananafasi 5 za baraza la wawakilishi kwenda Bunge la JMT
Filipino
0
0
0
157
Kuboja
Kuboja@Pyroxenite81·
@PresenterNoah Huyo ataenda Atletico kwa Realmadrid hawezi kupata namba kuna vijana wengi wako katika timu zingine wanarudishwa msimu ujao
Filipino
0
0
0
6
Presenter Noah
Presenter Noah@PresenterNoah·
Enzo Fernandez tunajua unataka kuondoka, sasa onesha uwanjani kama unajua boli ili madrid waje na dau Unabwabwaja sana mzee
Presenter Noah tweet media
Indonesia
18
5
137
2.2K
Kuboja
Kuboja@Pyroxenite81·
@EsirEid Trump kupitia Elon Musk wanataka kuanzisha movement ya jimbo la Cape Town lijitenge kwa kisingizio kuwa wazungu wa SA wanabaguliwa na kunyanyaswa
Filipino
1
0
1
212
Kuboja
Kuboja@Pyroxenite81·
@EsirEid Wataalamu wa historia wanakwambia Iran ni kama nungunungu utampiga utamjeruhi ila na wewe jiandae kupata majeraha makali zaidi
Indonesia
1
0
1
29
Kuboja
Kuboja@Pyroxenite81·
@MaxTz255_ Kwani mikoa mingine mabus hakuna kahesabu bus ngapi zinaenda na kutoka Mwanza kwenda mikoa mingine kqfanye hivyo Mb3ya, Tunduma, Arusha, Tanga, Mtwara, Bukoba, Kigoma, Tabora nk
Filipino
0
0
7
582
Myunani
Myunani@MaxTz255_·
Ivi ni ukweli kwamba Apa +255 Movement kubwa zaidi ya watu kutoka Mkoa Mmoja Kwenda Mkoa Mwingine ni kutoka Dodoma Kwenda Dar na Kutoka Dar kwenda Dodoma?
Filipino
12
4
106
9.4K
Eng.Mapunda Jr
Eng.Mapunda Jr@EngMapundajr·
📍Kibaha Katarama EHW lake Imma Kiduku 💔😭
Indonesia
4
2
35
1K
Kuboja
Kuboja@Pyroxenite81·
@CypherSmithRowe Huyo mtoto wa buku2 anamfananisha Zizou na Bruno hana adabu na mpira
Indonesia
0
0
1
24
Cypher 💥🇹🇿
Cypher 💥🇹🇿@CypherSmithRowe·
Dogo mimi nimeona Zidane akicheza Mpira niko kundi tofauti na wewe mdogo wangu, Zidane sio wa kumfananisha na Bruno ni dhambi na utakuhukumiwa Mbinguni
Maclaurian@youngDavinci_

@CypherSmithRowe Huwa mnasema zidane noma na hamkuwahi shuhudia akicheza mnaskiaga story tuu za wazee ,.😂😂😂

Indonesia
2
0
3
592
Kuboja
Kuboja@Pyroxenite81·
@_zack255 Kalinganishe na uwezo wa kufanya manunuzi (purchasing power) wa wananchi wa hizo nchi
Indonesia
1
0
3
264
𝐃𝐫.𝐙𝐚𝐜𝐤™🇹🇿
TAZAMA KWENYE JEDWALI UNAFUU WA BEI YA MAFUTA TANZANIA NA NCHI NYINGINE Ukilinganisha bei ya mafuta ya Petrol na Dizeli kati ya Tanzania na nchi nyingine utaona Tanzania kuna nafuu kubwa.
𝐃𝐫.𝐙𝐚𝐜𝐤™🇹🇿 tweet media
Filipino
44
19
25
3.5K