Erick Wizz

921 posts

Erick Wizz banner
Erick Wizz

Erick Wizz

@Wizzy2Ck

가입일 Ocak 2026
188 팔로잉65 팔로워
عبدُل
عبدُل@NMweusi85571·
Huyu hapokei simu tangu juzi hapa kuna msiba kweli au nachapaiwa X wajuaji nimemcheki jana saa 4 kajibu leo saa 10 😏
عبدُل tweet media
Indonesia
69
18
130
9.4K
Travis Kitengo🍆👊🏿
Travis Kitengo🍆👊🏿@Iringasiombali·
WASIFU BINAFSI: Jina kamili: Travis Daudi Kahemele Umri: miaka 24 Degree: Bachelor of Science in Petroleum Engineering Hobby: Squirring Big Mama's Erectile profile: 8.9 inches Hali ya afya: Afya njema Mahali mnapoishi: Iringa mjini Mawasiliano: 07K4T0MB3
Travis Kitengo🍆👊🏿 tweet mediaTravis Kitengo🍆👊🏿 tweet media
Indonesia
23
11
41
1.8K
Erick Wizz 리트윗함
Godbless E.J. Lema
Godbless E.J. Lema@godbless_lema·
Kabla mtu hajawa mzazi, ni vigumu kuelewa kwa undani sacrifice (sadaka) ambazo wazazi wake walichukua ili kumfikisha hapo alipo. Mara nyingi tunaona malezi kama jambo la kawaida, bila kutambua kuwa nyuma yake kulikuwa na kujinyima, machozi, maamuzi magumu, na upendo wa kimya usiohitaji kuthibitishwa kwa maneno. Kadri vizazi vinavyobadilika, imekuwa kawaida kuona wazazi wakitengwa taratibu wanapozeeka. Tunajipa sababu ya “struggle” za maisha, lakini ukweli huo hauondoi ukweli mwingine kuwa wanatuhitaji zaidi kadri wanavyozidi kuzeeka. Sio kwa uwepo wa kila wakati, bali kwa ukaribu unaoonekana na kuhisiwa. Kadri ninavyozidi kukua, ndivyo ninavyotambua kuwa wazazi wengi wanaishi na upweke wa ukimya. Ni hali ambayo huenda hata wao waliirithi, wakaiishi, na sasa inaendelea bila wengi kutambua. Hapa ndipo tunapopaswa kubadilisha mwelekeo kwa vitendo vidogo vya kujali, kusikiliza, na kuwa karibu. Tulipokuwa wadogo tuliwahitaji wazazi wetu kuishi, wanapozeeka wanatuhitaji sisi ili kuhisi kuwa bado wanaishi. Kuishi sio kuwa na pesa, ni upendo wenye hisia na kutambua. Ukitafakari kwa makini unaweza kutambua kuwa wazazi wako walionekana masikini mtaani, kwa sababu mitaji yao ya kujinufaisha wao waliwekwa katika maisha yako. Inawezekana wewe na mzazi / wazazi wako kuna wakati hamkuelewana vizuri wakati wa malezi, lakini Kumbuka wakati wewe huko kwao unakua na wao bado walikuwa wanaendelea kukua na kukomaa vizuri. Hivyo likuwa ni watu wawili wote mnajifunza. Kwa hiyo some flaws does not mean walikuwa wakatili kwako.
Indonesia
20
110
440
16.3K
Big_Nicky01✊️
Big_Nicky01✊️@Nicky__001·
Kabla hamjapost picha zenu mitandaoni ebu shirikisha hata marafiki zako au kama vipi iangalie mara mbili, Nini sasa hiki kmmk 🚮🚮
Big_Nicky01✊️ tweet media
Indonesia
71
24
217
28.4K
MR BEN
MR BEN@Eric__Bernard·
Maafisa ubashiri mnaendeleaje? Vipi Mmempiga Mhindi? Mmelisha Mitaa kama kawaida yenu?
Indonesia
21
8
231
15.8K
Erick Wizz 리트윗함
Buba9️⃣9️⃣
Buba9️⃣9️⃣@massuidentity·
Mashabiki wa hii team wote wanaongea kingereza kasoro Baba ake na Levo😁🙌
Buba9️⃣9️⃣ tweet media
Indonesia
7
16
120
2.7K
Erick Wizz
Erick Wizz@Wizzy2Ck·
Macau ana Fanya nini hapa💔
Indonesia
0
0
0
8
Erick Wizz
Erick Wizz@Wizzy2Ck·
@mhdhamad @SuluhuSamia Hili mpk milad ana post ni watu Wana tengeneza tatizo wenyewe alfu Wana litatua alfu nyie mna dhangalia
Indonesia
0
0
0
230
mhd
mhd@mhdhamad·
Naomba mamlaka za juu za uteuzi @SuluhuSamia kuliangalia upya suala hili kwa kuzingatia maslahi ya umma wa wakazi wa Dar es Salaam. Coco Beach ni public beach moja ya fukwe chache zilizo wazi na zinazofikika kwa kila mwananchi. Jiji liige mfano wa Mamlaka ya Mji Mkongwe Zanzibar liboreshe na kusimamia eneo hili kwa manufaa ya wote, badala ya kulikabidhi kwa mwekezaji. Ukanda mwingi wa fukwe tayari uko chini ya mahoteli ambao kimsingi ni “wawekezaji” kuwe na options mwenye kutaka beach ya mwekezaji aende Sea Cliff au Golden Tulip. Coco Beach ibaki kuwa ya umma. Maendeleo yasimwondoe mwananchi.
millardayo@millardayo

Wafanyabiashara zaidi ya 300 wa mihogo katika eneo la Coco beach Dar es salaam wamepewa siku 30 za kuondoka kwenye eneo hilo ili kupisha Mwekezaji ambaye amepewa eneo hilo na Serikali ili kupatengeneza kisasa. Baadhi ya Wafanyabiashara hao wameeleza kushtushwa na uamuzi huo na kusema waliitwa kwenye kikao na Afisa Masoko wa Manispaa ya Kinondoni na baadaye kuitwa na Meya wa Manispaa hiyo na kuambiwa kuwa wana siku 30 za kuondoka ndani ya eneo hilo na kwamba kila mmoja atapewa shilingi milioni 1.5 Kwa upande wa Serikali kupitia Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni Saad Mtambule, imesema lengo la kuwaondoa Wafanyabiashara hao ni maboresho kuelekea maandalizi ya michuano ya AFCON. #MillardAyoUPDATES

HT
32
9
97
20K
SportyBet Tanzania
SportyBet Tanzania@sportybettz·
Kama ulishindwa kuiua Taifa Stars kwenye mechi ya juzi kati hapo, basi leo nafasi imekuja tena. Tembea na Odds 20 hizo za Macao. 💪🏾💰🤑 Tumia SportyBet App au tovuti kuweka mkeka wako CHAP! #TaifaStars #Macao #FIFAseries
SportyBet Tanzania tweet media
Indonesia
27
6
171
13K
Erick Wizz
Erick Wizz@Wizzy2Ck·
@Sativa2555 Sema me mkeka kuwaonyesha watu nakula bei gani Huwa ndo siwezi Kuna mchungaji aliwahi sema Kuna watu hawatakiwi kuona ng'ombe wako akiwa na mimba yani Wana takiwa waone ndama 2 yani ni nadra sana watu waone una fanikiwa na wafurahi😂
Indonesia
0
0
0
97
SATIVA17 X ( TWEETS)
SATIVA17 X ( TWEETS)@Sativa2555·
Watanzania kwa Uchawi Mmekubuhu aisee Kama Mnaweza kuroga Mvua na Isinyeshe Hamuwezi kushindwa Kumroga Portugal asipate Goli . Na mmefanikiwa 🙌 Kama ulikuwa huamini Uchawi upo basi Anza sasa mmm ! 🙌 hapana
SATIVA17 X ( TWEETS) tweet media
Indonesia
31
17
372
14.2K
just cool it's me👀
just cool it's me👀@awarenesskills·
Asante kwa 200k followers! Kama umewajua kausha😁😁
just cool it's me👀 tweet media
Indonesia
20
5
68
19.3K
عبدُل
عبدُل@NMweusi85571·
Mchana huu sijui nile ndo nianze kula au nianze kula alafu ndo nile bro to bro mwanamke anapenda mwanaume anaejiamini hata awe amekuzidi kipato we jiamini tu unakula haya nikale mara mbili mchana huu 😂
عبدُل tweet media
Indonesia
33
26
225
17.6K
akili
akili@akilnyingi·
Kama hukuwai zile odd 78 leo saa 12 utajilaumu sana😂😂😂
akili tweet media
Indonesia
18
15
217
13.9K
GIPSON BNN
GIPSON BNN@mentor209·
Betting bila exposure ni ngumu sana kwasababu kwanza una share mkeka na watu wanaotamani uchanike wakucheke😂! Pili mtu anajua betting ni bahati nasibu ila ana stake kitu ambacho hawezi ku afford ku lose hii ni mental illness. Bet at your own risk lawama mpe baba ako.
Indonesia
8
20
190
8K