Prince

4.1K posts

Prince banner
Prince

Prince

@lughxt11

#Feather ruffler #philanthropist # SDG 11

Tanzania 가입일 Ekim 2021
511 팔로잉1.1K 팔로워
고정된 트윗
Prince
Prince@lughxt11·
@Mrs_Pappi mimi mwanamke wangu tulioana tuna miaka minne kweny ndoa sasa na wote tulisoma koz moja hapohapo ardhi university tunapendana sana na tuna mtot mmoja na mwingne anakuja soon tu before mwaka kuisha. Cha umuhimu ni kupendana
Indonesia
3
0
25
3.4K
MRENO⛑️
MRENO⛑️@mreno255·
Kwenye mshahara wako tukitoa laki 8 unabakiwa na shilingi ngapi?
Filipino
129
53
261
17.1K
Bluckuv
Bluckuv@Bluckuv·
Kuna mrembo Jana kapiga 2 kg ya kitimoto, ndizi mzuzu 5, na bia mchanganyiko. Innocent face💀.
Filipino
33
25
147
6.9K
Prince
Prince@lughxt11·
@Bluckuv Nisamehe kak😂😂😂 ila si umeshapona?
1
0
1
3
Prince 리트윗함
Nathalie Yamb
Nathalie Yamb@Nath_Yamb·
I recorded this video in English for Kenyans and Tanzanians 18 months ago. It discusses France’s redeployment to East Africa after being expelled from the Sahel and Francophone Africa. What I predicted is now happening… Beware, the French are coming.
English
84
1.4K
3.1K
111.9K
Thom Mnkondya
Thom Mnkondya@Thommunkondya·
Kazi yake kubwa, yeye pamoja na serikali yake, ni kuhakikisha ustawi wa wananchi na maendeleo ya nchi. Go Samia Go 💪🏿
Thom Mnkondya tweet media
Filipino
64
6
38
6K
Aruatani✨
Aruatani✨@Aruatani·
Huyu Jamaa pembeni ya Aweso ni nani na anashughulika na nini sehemu alipo Aweso..? 🤔
Aruatani✨ tweet media
Indonesia
11
14
176
19.6K
King Kittah🐇
King Kittah🐇@amani_mfaume·
@Ntobi_ @zittokabwe Mada zinazo hitaji akili unatakiwa utulie sio kuweka uwingi wa comment subiri mada za kumsifu Zito zikija uta tagiwa hapa acha wenye afya ya ubongo wajibu
Indonesia
2
0
7
217
SIR TIVA
SIR TIVA@Sativa255·
😅😅🤣🤣 NGOMA ya KYANDE imetoka. Repost 200
101
259
1.4K
45.1K
Prince
Prince@lughxt11·
@sapro_phyticus4 Binafs nakusapoti. Maisha yenyew haya magumu kwann uteseke wakat Dada yupo? Angekua wakiume alafu anakaa kwa Dada yake hapo ndo ingekua mtihan kidogo ila sion sababu ya kumdis kisa kukaaa kwa dada
Filipino
1
0
1
70
Kaka mkubwa
Kaka mkubwa@sapro_phyticus4·
Yule binti kupikwa kote mpo sahihi ila kwenye suala la kukaa kwa Dada ake sioni kama Kuna haja ya kumpika. Binafsi siwezi kuoa mwanamke aliye na geto na ana maisha yake,mke bora ni yule unaemchukua akiwa kwenye uangalizi wa mtu. na hana uhuru sana.
Indonesia
32
32
120
5K
Veesmart2🌹
Veesmart2🌹@Veesmart2·
Kuna mtu kasema, hakuna watu wanakosea kuoa kama wajeda🙌🏿
Indonesia
64
47
334
16.9K
Prince
Prince@lughxt11·
@Thommunkondya @mhdhamad @kitilam I'm sorry to say this ila ulivyoiweka hio "toka wee" ni too softly which substitute to gayish unless you're female of which you aren't. KAZA BRO.
English
1
0
0
23
Zed
Zed@Zephania_Ndaki·
Ni Siku Nyingine Tena Ya Kupambana Na Chura( Mzee Wa Mijuzo) Mpaka Aache Pombe Jambo Tunalo Liweza Tusimuachie Mwamposa. Ata Kwa Michango CHURA Lazima Aache Pombe🙏🏿
Indonesia
8
25
63
2.7K
#Dr Gudume The PDF Guy 🇹🇿
Nimeambiwa mapenzi ilikuwa zamani Namimi zamani sikuwepo,chukueni bibi yenu🙂‍↕️🙏
#Dr Gudume The PDF Guy 🇹🇿 tweet media#Dr Gudume The PDF Guy 🇹🇿 tweet media#Dr Gudume The PDF Guy 🇹🇿 tweet media#Dr Gudume The PDF Guy 🇹🇿 tweet media
Filipino
47
17
141
15.3K
Prince
Prince@lughxt11·
Watu wanakaza tu fuvu.System ndo iliopo hio lazima uonyeshe kweny interview na interview ni kiingereza.Unatak ni hivyo,hutak ni hivyo unless uwe wa mamb ya practical kam software ambapo utapewa utengeneze program au ufanye certain coding ila wengine esp social science jua kimombo
MTANZANIA 🇹🇿@GilbertPaul095

Nimeitwa Sehemu kuwafanyia INTERVIEW wasomi wa BONGO, ENGLISH ni changamoto kwa WASOMI wetu. Mhitimu wa CHUO anashindwa hata kujieleza kwa Dk 1 tu🥹🥹🥹🥹🥹🥹

Filipino
0
2
1
61