Simba 🐈

2.1K posts

Simba 🐈 banner
Simba 🐈

Simba 🐈

@03_S_S

if you obey all the Rules, you will miss all the Fun

Katılım Mart 2012
119 Takip Edilen148 Takipçiler
Simba 🐈
Simba 🐈@03_S_S·
@ChrisBennet_ Ni sahihi.. 200 ya kipindi hicho ni sawa na 200,000 ya sasa... Maana hata mshahara wa mtumishi ilikua 300 hadi 500🤣
Filipino
1
0
0
178
Chris Bennet
Chris Bennet@ChrisBennet_·
Mwaka 1983. Nauli ya Basi kutoka Dar-es-salaam hadi Mwanza ilikuwa Shilingi Mia Mbili tu. (Ndio 200/- tu)
Chris Bennet tweet media
Indonesia
11
11
45
5.7K
S.A.N.T.I.A.G.O 🗽
S.A.N.T.I.A.G.O 🗽@mananajr_·
Nchi gani imewahi kuanzisha mkakati wa kutokomeza umasikini na ikafanikiwa?
Indonesia
19
15
54
2.6K
Ayubu Madenge
Ayubu Madenge@ayubu_madenge·
Hapa ni Ikulu ya Whitehouse ndani ya ofisi ya Rais. Joshua DuBois aliyekuwa mshauri wa Rais masuala ya Imani alienda na familia yake kumtembelea Obama, kisha Obama akawaambia wamuweke mtoto wao chini atambae ndani ya Ofisi ya Rais, naye Obama akapiga magoti akacheza na mtoto huyo
Ayubu Madenge tweet media
Indonesia
25
56
1.4K
35.7K
Çhøpër
Çhøpër@Chopawang·
HIZO NDIO TOP 50 SHULE ZENYE HISTORY KUBWA TANZANIA Kama Hujasoma Moja ya hizi Shule pole Sana, Kuna Vitu vingi vimekupita Kwenye Maisha yako, Vilevile Sahau Kabisa Kuhusu Ajira za Serikali 😁 Angalia Kwa Makini Shule Yako Kama ipo Then Nambie ipi Nimesahau👇👇🧵🧵
Çhøpër tweet mediaÇhøpër tweet mediaÇhøpër tweet mediaÇhøpër tweet media
Filipino
24
16
54
11.4K
Çhøpër
Çhøpër@Chopawang·
41. Uru Seminary - Moshi, Kibosho (Yoriyori, Mayai, Dini sana) 42. Mkwawa High school - Iringa (Complex) 43. Kisimiri Sec School - Arusha (Leo Vipanga, Kesho Viazi) 44. Kwiro boys High School - Moshi. 45. Benjamin Mkapa Sec - DSM (Watoto wa Kkoo, Ujanja Ujanja & Umalaya)
Çhøpër tweet media
Indonesia
3
0
0
762
LOLOTE JAMBO
LOLOTE JAMBO@sinahisa·
Tumeanza kushuhudia Wimbi la akaunti kubwa zinazojiongelesha, alianza KIGOGO, akaja MADENGE, sasa zamu ya BUYOBE imefika, halafu atafuatia yule JAMAA😎
Filipino
50
52
705
32.6K
Lubasha Jr
Lubasha Jr@MarekaMalili·
Mkikaa vibaya wasukuma wanaenda Ku dominate mkua wa Sita 😆
Indonesia
43
22
659
43.9K
Simba 🐈
Simba 🐈@03_S_S·
@kishoka_ May their souls rest in peace... Mimi imenitokea mara 2... Ni mshtuko mkubwa sana
Filipino
0
0
0
149
METRO🎭
METRO🎭@kishoka_·
Ushawahi kuwa na mtu usiku uliopita, mkinywa pamoja, mka share experiences za maisha, mkapanga mipango mbalimbali, mkapiga story nyingi za maisha Halafu unaamka asubuhi unapata taarifa kwamba huyo mtu hayuko tena duniani? Unaanza kujiuliza maswali mengi sana. R.I.P Gorge🕊️
Indonesia
18
36
126
5.5K
Eng.Mapunda Jr
Eng.Mapunda Jr@EngMapundajr·
Hapo zamani kidogo..,Jiji la Miamba na Samaki Kulikuwaga na Tetemesha Record,Afu kukawa na Kiss Fm na Radio Free Africa..,Mwanza Ilishaga wahi kuwa kiwanda cha kuzalisha vipaji katika sekta nzima ya burudani..,🔥🔥🙌🏿
Filipino
35
50
453
14.6K
Simba 🐈
Simba 🐈@03_S_S·
@lifeofmshaba Kipind ule uwanja wa kwenye kitovu cha utalii unajengwa, alikua kimya..
Indonesia
0
0
0
84
Think Different
Think Different@lifeofmshaba·
Ndio maana ya zike degree za UDSM kufungiwa maandazi Huyu hana hizo degree lakini anamzidi Prof Mbarawa
Think Different tweet media
Indonesia
8
25
258
12.6K
Simba 🐈
Simba 🐈@03_S_S·
@Philosophe45141 Ndio kipindi hiko ww una 70 afu wanakuja gen alpha wana 18 - 30 wanapindua meza.
Filipino
2
0
0
11
Deogratius||🕊️
Deogratius||🕊️@Philosophe45141·
Hapana, huu ndio wakati wetu mkali uhuru wa Afrika ulipambaniwa na waliozaliwa 1920-40 japo ulianza mwanzoni mwa 1900. The same na USA waliopambania uhuru na kusaini declaration waliyekuwa na umri mdogo ni miaka 18 na umri mkubwa alikuwa benjamini Franklin miaka 70
Simba 🐈@03_S_S

@Philosophe45141 Kwa akili hiz za Gen z bado ipo wazi CCM haiwezi kutoka madarakani... Labda waje Gen Alpha.

Filipino
1
1
1
43
Adventure-360
Adventure-360@Adventure_36·
Gen Z mmetahiriwa hospital ukifika pale unapewa chocolate, wazazi wako wapo full soda ukirud nyumban unalala tu. Wenzenu tulienda porini watu walikata mazaga tu hakuna chochote unachopewa. Vijana hamuwezi kuelewa 😭
Indonesia
29
33
307
7.3K
Simba 🐈
Simba 🐈@03_S_S·
@Philosophe45141 Kwa akili hiz za Gen z bado ipo wazi CCM haiwezi kutoka madarakani... Labda waje Gen Alpha.
Polski
0
0
1
127
Deogratius||🕊️
Deogratius||🕊️@Philosophe45141·
Millennials Wana amini CCM haiwezi Toka madarakani
Indonesia
17
32
206
4.1K
Simba 🐈
Simba 🐈@03_S_S·
@assengajrr Chama hakina shida.. tatzo ni watu.. ni sawa uihukumu chadema kwa biashara za Mbowe.
Indonesia
0
0
0
5
Assenga Jr
Assenga Jr@assengajrr·
Warioba akiguswa kuhusu chama chake anawaka kama taa, gusia vingine sio chama.
Indonesia
10
5
118
6.2K
Real Nigger
Real Nigger@MrDepalitto9·
Siku moja nilienda bank kuwithdraw 5M(kipindi nafany biashara haramu ya bettting)at 23age Nafika nakuta bwana mdogo umri sawa au naweza kumzidi anatoa kwa kukisia kam 25M alaf hana wenge kama langu,nilijiona bado sana inabid nikaze sema njia yangu haikua sahihi niliangukia pua😂
Indonesia
2
5
119
6.2K
James Munisi
James Munisi@NjiwaFLow·
@lifeofmshaba 💨 Grey Checkmark huwa hazilipiwi zinatolewa bure kwa account ambazo zina vigezo vyote vya kiserikali.
HT
1
0
2
602
Think Different
Think Different@lifeofmshaba·
Kuna mambo ya ajabu sana kwenye hii nchi, Watanganyika wanalipia account ya Mwanafa kama account ya serikali, hizi account kwa mwezi zinalipia karibu sh 3 million Kwenye hiyo account yake ameelezea mambo yake binafsi yeye nani na mpaka anasema ni mfanyabiashara na MC na mwana Muziki na mwisho yeye waziri, sio account amesema yeye ni waziri na akaweka link ya wizara yake hapana, ameweka link za mambo yake binafsi tu Hii account tunalipia mamillioni kwa mwezi kuwekewa TICK ambayo ni ya kiserikali na uwa zina gharama kubwa sana hizi TICK za Taasisi na serikali zinalipia tofauti na TICK za kawaida ambazo ni kama sh 30,000 tu ambayo angeweza kujilipia Ukienda kwa majirani Kesha waziri Mkuu wa nchi hiyo anajilipia mwenyewe hiyo account yake kwa hizo sh 30,000 Nimeangalia account ya Kindiki Naibu Rais wa Kenya @_KithureKindiki naye anajilipia account yake Nimeangalia mawaziri wa Marekani wanaolipia na Serikali, hizo account zao zina Maelezo ni ya serikali na link zimewekwa ni za serikali hata jina ni la wizara au cheo cha muhusika karibu mawaziri wote wana account za serikali zinazobeba wizara zao Kwa Kenya Rais wao Ruto analipiwa kama account inayohusu ofisi ya raisi wengine naona hapana Imekuwaje watanzania tunalipia mamilioni account za watu binafsi wakati hazina mahusiano yoyote na serikali? account za wizara nazo zinalipia japo kuna wizara hazijalipiwa wanaolipia hizo account wanalipiwa kutokana na fungu gani la bajeti kwenye wizara zao Cha ajabu hakuna standard kuna wenye verification ya serikali na wasio na verification ya serikali MwanaAF yuko kwenye wizara tumepigwa billion 127
Think Different tweet mediaThink Different tweet mediaThink Different tweet mediaThink Different tweet media
Indonesia
8
20
159
22.9K
Dr. Thadeus Mihayo
Dr. Thadeus Mihayo@Dr_Thadeus_19·
Orodha ya mikoa inayoongiza Kwa imani za kishirikina (uchawi) nchini Tanzania 1. Mwanza 2. Shinyanga 3. Simiyu 4. Mara 5. Mtwara 6. Lindi 7. Tabora 8. Kigoma 9. Sumbawanga 10. Geita
Indonesia
7
1
13
2.4K
#Dr Gudume The PDF Guy 🇹🇿
Pale kibaha kwa mathias kuna chalii kapanga njama ya kwenda kumpora bibi yake fedha baada ya kuuza nyumba. Bibi mtu wa utamaduni,machale yakamcheza akaandaa kikosi kazi Usiku usiku machalii wanatimba hawakuti nyumba yani ni pori,wanatwist kwenda kuvunja duka wanauliwa wote 6😭
Filipino
8
8
186
13K